AshaDii (@ad_abinallah) 's Twitter Profile
AshaDii

@ad_abinallah

Working at the Intersection of Technology, Internet Governance, Data, Innovation and New Media

ID: 1283364247246864384

linkhttps://bit.ly/AshaDii calendar_today15-07-2020 11:34:31

62,62K Tweet

19,19K Followers

998 Following

US Embassy Tanzania (@usembassytz) 's Twitter Profile Photo

Muda wa kusubiri umekwisha! Uko tayari kuwaona washindi wa Fainali za Shindano la Teknolojia la Tanzania na Marekani - U.S.-Tanzania Tech Challenge? Ungana nasi kesho, Septemba 19, 2024, siku nzima ya vipindi vya kuvutia na kutangazwa kwa washindi wa U.S.-Tanzania Tech

Muda wa kusubiri umekwisha! Uko tayari kuwaona washindi wa Fainali za Shindano la Teknolojia la Tanzania na Marekani - U.S.-Tanzania Tech Challenge?

Ungana nasi kesho, Septemba 19, 2024, siku nzima ya vipindi vya kuvutia na kutangazwa kwa washindi wa U.S.-Tanzania Tech
Mwananchi Newspapers (@mwananchinews) 's Twitter Profile Photo

Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikisema kada wake aliyekuwa meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob 'Boni Yai' amekamatwa na Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamanda wa Polisi wa Kinondoni, Mtatiro Kitwinkwi amesema hana taarifa. Akizungumza na

Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikisema kada wake aliyekuwa meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob 'Boni Yai' amekamatwa na Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamanda wa Polisi wa Kinondoni, Mtatiro Kitwinkwi amesema hana taarifa.

Akizungumza na
CHADEMA Tanzania (@chadematz) 's Twitter Profile Photo

#BreakingNews Boniface Jacob Boniface Jacob amekamatwa eneo la hotel ya Golden Fork ,Sinza majira ya saa 11.09 jioni ya leo tarehe 18 Septemba 2024 ambapo polisi wawili (2) wenye sare na askari watatu (3) waliokuwa wamevaa kiraia na wenye silaha walifika hotelini hapo na

#BreakingNews Boniface Jacob <a href="/ExMayorUbungo/">Boniface Jacob</a> amekamatwa eneo la hotel ya Golden Fork ,Sinza majira ya saa 11.09 jioni ya leo tarehe 18 Septemba 2024 ambapo polisi wawili (2) wenye sare na askari watatu (3) waliokuwa wamevaa kiraia na wenye silaha walifika hotelini hapo na
Jacqueline Lawrence (@jackielawrencem) 's Twitter Profile Photo

Ahead of the U.S.-Tanzania Tech Challenge we got to meet Daniel from the Global Engagement Center (GEC) at the U.S. State Department. Happy to conversate on areas we can collaborate with GEC to enhance media literacy in fight against misinformation.

Ahead of the U.S.-Tanzania Tech Challenge we got to meet Daniel from the Global Engagement Center (GEC) at the U.S. State Department. Happy to conversate on areas we can collaborate with GEC to enhance media literacy in fight against misinformation.
Tech & Media Convergency (TMC) (@mediaconvergecy) 's Twitter Profile Photo

πŸ“£πŸ“£ π‰πšπ§πžπ­ 𝐊𝐚𝐑𝐒𝐧𝐝𝐒 #πˆπ†π…π€πŒππ€π’π’π€πƒπŽπ‘ We are thrilled to congratulate our β€œPrograms & Policy Lead” also the coordinator of the #InternetGovernance Tanzania Working Group (#IGTWG) on her selection for the #PAYAIG Fellowship 2024! #IGF2024 #ETHIOPIA2024

πŸ“£πŸ“£ π‰πšπ§πžπ­ 𝐊𝐚𝐑𝐒𝐧𝐝𝐒 #πˆπ†π…π€πŒππ€π’π’π€πƒπŽπ‘

We are thrilled to congratulate our β€œPrograms &amp; Policy Lead” also the coordinator of the #InternetGovernance Tanzania Working Group (#IGTWG) on her selection for the #PAYAIG Fellowship 2024!

#IGF2024 #ETHIOPIA2024
Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

So long as tuendelea kuachana na "kawaida zetu" katika Jamii, kama familia kula pamoja na kuongea, vikao vya ukoo, jamii ambayo mtoto analindwa na kulelewa na wote,kushirikiana kwenye magonjwa na sherehe, watoto kuheshimu wakubwa, ndivyo tunachimba kaburi letu kwa same speed.

Jalilu Zaid (@jaliluzaid) 's Twitter Profile Photo

AshaDii Allah amenijaalia kitu kinaitwa Contentment ya moyo. I believe what’s written for me will definitely work out and if it doesn’t work out then that’s not for me.

US Embassy Tanzania (@usembassytz) 's Twitter Profile Photo

Mubashara Sasa! Tazama Shindano la Teknolojia la Marekani-Tanzania 2024 likiwakilisha mawazo bunifu kutoka kwa wazungumzaji mashuhuri waliojitoa kwa dhati kuendeleza uadilifu na kuaminika kwa taarifa (information integrity). Kiunganishi: bit.ly/techchallengel… #USTZTech

Mubashara Sasa! Tazama Shindano la Teknolojia la Marekani-Tanzania 2024 likiwakilisha mawazo bunifu kutoka kwa wazungumzaji mashuhuri waliojitoa kwa dhati kuendeleza uadilifu na kuaminika kwa taarifa (information integrity).

Kiunganishi: bit.ly/techchallengel…
#USTZTech
AshaDii (@ad_abinallah) 's Twitter Profile Photo

Leo kuna event ya mhimu sana, itakuwa ni sehemu nzuri ya kujifunza masuala ya Media Literacy, Technology and Solutions drawn from local context. Follow through the link in this post πŸŽ‰

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

#UsTzTech inalenga kuibua teknolojia zinazochangia kuimarisha demokrasia katika zama za kidijitali, huku ikihakikisha kuwa teknolojia mpya zinalinda haki za binadamu." Jerry Silaa