Radio 47
@Radio47KE
Stesheni inayovuma kwa kasi zaidi.... Na Bado! ☎️ +254793047047 or WhatsApp 📱+254719739487
22-08-2022 07:34:02
66,1K Tweets
18,2K Followers
70 Following
#Neno ...MUNGU HAHESABU MAOVU YETU. Zaburi 130....Kwa Mungu Kuna msamaha na huruma ili watu wamwogope na kumheshimu. Litumainie neno lake, mngojee, na umtarajie, kwake kuna fadhili. Tukutane Galilaya!
#NuruNaEvahMwalili #HapaNdipo