Adui Wa Yanga (@aduiwayanga) 's Twitter Profile
Adui Wa Yanga

@aduiwayanga

MATANGAZO KWA BEI YA PUNGUZO NJOO DM

Die fan for @SimbaSCTanzania and @ChelseaFC

Gracias๐Ÿ’•๐Ÿ’•๐Ÿ’•

ID: 1423717477758947334

calendar_today06-08-2021 18:48:03

82,82K Tweet

198,198K Followers

378 Following

Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ“Nyasa, Ruvuma ๐”๐‚๐‡๐”๐Œ๐ˆ ๐–๐€ ๐Š๐ˆ๐Œ๐Š๐€๐Š๐€๐“๐ˆ ๐”๐’๐‡๐Ž๐‘๐Ž๐๐€ ๐–๐€ ๐Š๐”๐’๐ˆ๐๐ˆ #MamaYukoKazini

MWALIMU๐Ÿ™๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@dictatorbin) 's Twitter Profile Photo

Viongozi wa CHADEMA wanajua wazi hakuna watachopoteza kipind machafuko yatakapotokea wote nchini kwetu Maana hawana familia zao Tanzania. Ukiwa na D mbili utaelewa

Viongozi wa CHADEMA wanajua wazi hakuna watachopoteza kipind machafuko  yatakapotokea wote nchini kwetu Maana hawana familia zao Tanzania. Ukiwa na D mbili utaelewa
๊งFatumaCute๐Ÿ’‹๊ง‚ (@fatumacute) 's Twitter Profile Photo

LISSU ANATAKA TUANDAMANE HUKU YEYE NA WANAE SIO WATANZANIA. Watoto wa Tundu Lissu wana uraia wa Marekani na wanaishi huko Marekani. Lissu mwenyewe kwa sasa ana uraia wa Ubelgiji. Ingawa anafahamu kuwa Tanzania hairuhusu uraia pacha, alichukua uraia wa Ubelgiji bila kukana uraia

LISSU ANATAKA TUANDAMANE HUKU YEYE NA WANAE SIO WATANZANIA.

Watoto wa Tundu Lissu wana uraia wa Marekani na wanaishi huko Marekani. Lissu mwenyewe kwa sasa ana uraia wa Ubelgiji. Ingawa anafahamu kuwa Tanzania hairuhusu uraia pacha, alichukua uraia wa Ubelgiji bila kukana uraia
Mzalendo Daily (@mzalendodaily) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿšจ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†๐Ÿšจ ๐“๐ฎ๐ฆ๐ž๐ฉ๐š๐ญ๐š ๐—-๐‘๐š๐ฒ ๐ข๐ฆ๐š๐ ๐ž๐ฌ ๐ณ๐š ๐‹๐ข๐ฌ๐ฌ๐ฎ, ๐ญ๐ก๐ข๐ฌ ๐ข๐ฌ ๐ ๐ซ๐จ๐ฎ๐ง๐ ๐›๐ซ๐ž๐š๐ค๐ข๐ง๐ ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ โžก๏ธImagine, una Rais ambaye anaishi na risasi kiunoni kila miezi mitatu anakwenda kliniki kuangaliwa isije ikafyatuka akapoteza uwezo wa kutembea

๐Ÿšจ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†๐Ÿšจ 

๐“๐ฎ๐ฆ๐ž๐ฉ๐š๐ญ๐š ๐—-๐‘๐š๐ฒ ๐ข๐ฆ๐š๐ ๐ž๐ฌ ๐ณ๐š ๐‹๐ข๐ฌ๐ฌ๐ฎ, ๐ญ๐ก๐ข๐ฌ ๐ข๐ฌ ๐ ๐ซ๐จ๐ฎ๐ง๐ ๐›๐ซ๐ž๐š๐ค๐ข๐ง๐ ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

โžก๏ธImagine, una Rais ambaye anaishi na risasi kiunoni kila miezi mitatu anakwenda kliniki kuangaliwa isije ikafyatuka akapoteza uwezo wa kutembea
cousin 420 (@420cousin) 's Twitter Profile Photo

Mama amedhibiti mianya na njia ya wauzaji wa madawa ya kulevya Tanzania hana huruma kabisa kwa wauzaji wa madawa ya kulevya. Ripoti ya Jarida la Rushwa Afrika, Tanzania chini ya Rais Samia imepanda katika viwango vya juu zaidi katika kuzuia na kupambana na Rushwa. Huyu ndiyo

Mama amedhibiti mianya na njia ya wauzaji wa madawa ya kulevya Tanzania hana huruma kabisa kwa wauzaji wa madawa ya kulevya. 

Ripoti ya Jarida la Rushwa Afrika, Tanzania chini ya Rais Samia imepanda katika viwango vya juu zaidi katika kuzuia na kupambana na Rushwa. 

Huyu ndiyo
Adui Wa Yanga (@aduiwayanga) 's Twitter Profile Photo

Mama anajali Afya za wananchi wake pongezi kwa hatua hii kubwa ni mafanikio makubwa sana kwenye mustakabali wa vizazi vyetu