profile-img
JOH wa mbeya

@joh_Wa_Mbeya

@Tukuyu_star fan #Banyambala

MBEYA KWETU
#AchaUpendoUtuongoze
#MaweloFinest

calendar_today24-05-2019 14:22:29

5,4K Tweet

849 Takipçi

846 Takip Edilen

JOH wa mbeya(@joh_Wa_Mbeya) 's Twitter Profile Photo

Jana iliisha na shida zetu zikiwa bado hazijaisha na hatukua sehemu ya walio ufurahia usiku wao ila uwezi kutuona leo tukiudhunika kwa sababu tu tunaamin kile kidonda cha jana leo hii hakiwez kua kidonda tena bali litakua kovu.

Good morning God's people 🙏

account_circle