Dr SALUMU (@dr_salumu) 's Twitter Profile
Dr SALUMU

@dr_salumu

Medical practitioner

ID: 1438252961717686272

calendar_today15-09-2021 21:27:15

25,25K Tweet

8,8K Followers

347 Following

goligani (@goligani) 's Twitter Profile Photo

MUNGU AMENIHURUMIA, TENDO HILI KUBWA SANA, SIKUSTAHILI JAMBO HILI, NIMELIPATA BURE TU...... 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

goligani (@goligani) 's Twitter Profile Photo

BACK BENCHA nawahakikishia kama wangekuwa na NGUVU zinazoendana na VITISHO vyao basi WASINGETUVIZIA ila wangekuja HADHARANI wafanye WANAVYOTAKA ni vile WAO pia ni WAOGA ndo mana WANAJIFICHA na KUTUWINDA kwa KUTUVIZIA. Hakuna aliye na MAMLAKA na UHAI wa mwingine.

BACK BENCHA nawahakikishia kama wangekuwa na NGUVU zinazoendana na VITISHO vyao basi WASINGETUVIZIA ila wangekuja HADHARANI wafanye WANAVYOTAKA ni vile WAO pia ni WAOGA ndo mana WANAJIFICHA na KUTUWINDA kwa KUTUVIZIA.
Hakuna aliye na MAMLAKA na UHAI wa mwingine.
Dr SALUMU (@dr_salumu) 's Twitter Profile Photo

Makosa Saba ya Ulimwengu 1. Utajiri bila maadili 2. Raha bila dhamira 3. Maarifa bila tabia 4. Biashara bila uaminifu 5. Sayansi bila utu 6. Ibada bila kujitolea 7. Siasa bila ubinadamu.

Dr SALUMU (@dr_salumu) 's Twitter Profile Photo

Huwezi kutenganisha roho mbaya,wivu na ubinafsi, vyote vinatenda kazi pamoja,ndivyo vinavyosababisha baadhi ya matukio ya hovyo yanayoendelea kutokea.

goligani (@goligani) 's Twitter Profile Photo

BACK BENCHA tunawakumbusha kuwa tunalazimisha TABASAMU ilimradi tusiwakatishe TAMAA WANAOTUTEGEMEA na tusiwape nafasi ADUI wakiamini kuwa wametuweza. Morning Africa.

DR.Sesema Sk (@sesemashinika) 's Twitter Profile Photo

Ikiwa unajua thamani ya uwepo wako katika familia yako, na namna kukosekana kwako kunaweza athiri familia yako, basi huwezi kuwaza kupoteza mtu mwenye Majukumu sawa na wewe kwa namna yeyote ile It's Monday, tukajaribu tena