Draick Bavon󱢏 (@draickb324) 's Twitter Profile
Draick Bavon󱢏

@draickb324

ID: 1701674280327450625

calendar_today12-09-2023 19:09:21

9,9K Tweet

2,2K Followers

4,4K Following

MAIPAMBO JR (@maipambomteta) 's Twitter Profile Photo

Ukizaliwa automatically ubao unasoma 1-0, Wazazi wakiwa hawana pesa tayari ni 2-0, ukiwa huna connection ni 3-0, wakati unapambana usawazishe unaenda kupalamia wanawake ama Ulevi mzigo unasoma 6-0, Umri nao unakutupa unazikwa ukiwa Umepigwa 10-0.🙌

KIDUKU (@tanzaniaonejezi) 's Twitter Profile Photo

Watu Wengi Sana Hasa Vijana Wakipatwa Na MATATIZO Wanaamua Kutumia POMBE, SIGARA, BANGI Wanaamini Wakitumia Hivi Vilevi Matatizo Yao Yanakwisha Kumbe Ndio Wanazidi Kujiongezea Matatizo Makubwa Zaidi. Ukipatwa Na TATIZO Tatua Tatizo Acha Kujiongezea Matatizo Kwakutumia Vilevi.

Daktari Wa Manesi 💉💊 (@mcinikawalamar) 's Twitter Profile Photo

Kamwe hupaswi kufanya mambo haya maishani 1. Kamwe usidharau afya yako. 2. Kamwe usiolewe/Kuoa kwa ajili ya ngono tu. 3. Kamwe usitumie zaidi ya unachopata. 4. Kamwe usiwadharau wazazi wako. 5. Usisahau kamwe nani aliyekusaidia katika nyakati ngumu. 6. USIKATE TAMAA KAMWE

Taivina James (@thereal_taivina) 's Twitter Profile Photo

Chaula na Soka wana familia wamepotea hatujui walipo sasa Leo siombi m repost Kamari ni jambo la kijamii na kibinadamu hakuna ubaguzi. Ukikutana na Hii post weka Retweet moja tu na Mungu atakubariki🙏

Chaula na Soka wana familia wamepotea hatujui walipo sasa Leo siombi m repost Kamari ni jambo la kijamii na kibinadamu hakuna ubaguzi.

Ukikutana na Hii post weka Retweet moja tu na Mungu atakubariki🙏