Dullah_theKing🇹🇿(@DullahTheking2) 's Twitter Profileg
Dullah_theKing🇹🇿

@DullahTheking2

There's no one who can stop you except yourself...
I refuse to stop🙌🏽..

https://t.co/lCJQZQ0Mcn

ID:1527071464402391040

calendar_today18-05-2022 23:40:10

340,4K Tweets

87,4K Followers

2,3K Following

#NIPENI_MAUA_YANGU💐(@Roma_Mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Save The Record 🏆

In Less Than Two Weeks

HipHop Album Over 1M Streams

💐

Naitwa Ebra Wengi Hupenda Kuniita Roma.

ASANTENI SANA MASHABIKI ZANGU NA MAADUI ZANGU PIA!!❤️

NIMELIA SAAANAAAA 😁

Save The Record 🏆 In Less Than Two Weeks HipHop Album Over 1M Streams #NIPENI_MAUA_YANGU💐 Naitwa Ebra Wengi Hupenda Kuniita Roma. ASANTENI SANA MASHABIKI ZANGU NA MAADUI ZANGU PIA!!❤️ NIMELIA SAAANAAAA 😁
account_circle
Iam Salum Ally(@iamsalumally) 's Twitter Profile Photo

Nilikuwaga naficha nguo zangu ili nisiende shule tunaanza kuzitafuta na Maza Asubuhi Anaanza kuziotea anakuta soksi kwenye kochi shati nimeficha chini ya kitanda hapo jiandae kwenda shuleni na kifinyo zikipatikana😀

account_circle
Dullah_theKing🇹🇿(@DullahTheking2) 's Twitter Profile Photo

Enzi hizo watoto wakishua walikuwa wakipoteza soksi moja hawaendi shule ...

Ila sisi hiyo moja inakatwa katikati halafu kile kipande kingine kinatobolewa 😅

Na hapo tayari unakuwa na Soksi mbili 😅

account_circle
Dullah_theKing🇹🇿(@DullahTheking2) 's Twitter Profile Photo

Enzi hizo watoto wakishua walikuwa wakipoteza soksi moja hawaendi shule ...

Ila sisi hiyo moja inakatwa katikati halafu kile kipande kingine kinatobolewa 😅

Na hapo tayari unakuwa na Soksi mbili 😅

account_circle
Dullah_Maplanet(@maplanetd) 's Twitter Profile Photo

*nyuma ya kila unachokionea wivu kuna hadithi usiyoijua, ufundishe moyo wako kukinai usichoweza kukimiliki….. ✊🏿❤️

*nyuma ya kila unachokionea wivu kuna hadithi usiyoijua, ufundishe moyo wako kukinai usichoweza kukimiliki….. ✊🏿❤️
account_circle
Ngadu(@Ngadu01) 's Twitter Profile Photo

Mimi mwenyewe nilikuwaga na tabia ya kumpigia sana simu usiku lakini tuliachana kwahiyo lala tu ndugu yangu.

account_circle
Bukujero Elfujero…!!!(@bukujero_1500) 's Twitter Profile Photo

Odds mbili tu🥶

Code: EDJCZ

Na leo kama jana

Hauna account ya 888starz?

Jiunge hapa⤵️

Link ya kujisajili: aff1ect8.com/7wq1VG
Promocode jaza: BUKUJERO

Cc: ODDS MBILI

Odds mbili tu🥶 Code: EDJCZ Na leo kama jana Hauna account ya 888starz? Jiunge hapa⤵️ Link ya kujisajili: aff1ect8.com/7wq1VG Promocode jaza: BUKUJERO Cc: @_Mkatalunya
account_circle
MIRIAM💜(@MiriamMkanaka) 's Twitter Profile Photo

Asanteni kwa wote mlio tune in tumekuwa na mazungumzo mazuri na Yenye tija kwa Taifa, kwakweli tunaweza tumia hata masaa 40 tusimalize

Tumechukua maoni yenu na nitayaweka kwenye document na nitashare kabla ya kuyatuma for final check, Poleni Space imeshuka but Yote Mema🙏

account_circle