(---) Onesmo Mushi(@EduTalkTz) 's Twitter Profileg
(---) Onesmo Mushi

@EduTalkTz

Education Activist | Researcher | Academic Coach | Scholarly Writing Consultant | Social Justice | #SDGs 4 & 8 | I only tweet about EDUCATION | Decolonizing

ID:1388257473036005378

calendar_today30-04-2021 22:22:48

27,6K Tweets

15,7K Followers

853 Following

Madenge(@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Kama una tattoo za wazi hakikisha potential yako kwenye utendaji wako wa kazi inazificha la sivyo utaonekana muhuni. Ngozi nyeusi wanajaji vitu vidogo vidogo sana

account_circle
John Pambalu(@John_Pambalu) 's Twitter Profile Photo

Tunaposema tupiganie Katiba Mpya tunamaanisha, yaani huko Misungwi leadership opposition party ACT wamepata kura 18 nyuma ya ADC wenye kura 268 na CUF yenye kura 19. Hizo ndiyo 4R's za Mhe. Rais Samia Suluhu. Unaibiwa mpaka unadharirishwa.

Tunaposema tupiganie Katiba Mpya tunamaanisha, yaani huko Misungwi leadership opposition party ACT wamepata kura 18 nyuma ya ADC wenye kura 268 na CUF yenye kura 19. Hizo ndiyo 4R's za Mhe. Rais @SuluhuSamia. Unaibiwa mpaka unadharirishwa.
account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

Leo wakuu wa nchi wanaojielewa wako NYC
👉🏽Kenya 🇰🇪 William Samoei Ruto, PhD yuko bize mikutano mara World bank mara SDG mara ngano ya Ukraine
👉🏽Rwanda 🇷🇼 Paul Kagame bize na Pfizer na Global strategies
👉🏽 South Africa 🇿🇦 Cyril Ramaphosa 🇿🇦 baraza la UN

🇹🇿 😅 “mama” bize na Harmonize Lindi

Leo wakuu wa nchi wanaojielewa wako NYC 👉🏽Kenya 🇰🇪 @WilliamsRuto yuko bize mikutano mara World bank mara SDG mara ngano ya Ukraine 👉🏽Rwanda 🇷🇼 @PaulKagame bize na Pfizer na Global strategies 👉🏽 South Africa 🇿🇦 @CyrilRamaphosa baraza la UN 🇹🇿 😅 “mama” bize na Harmonize Lindi
account_circle
Sammy (mhaini) Awami 🇹🇿(@awamisammy) 's Twitter Profile Photo

Ila hizi kelele za mitandaoni, za hao asilimia 16, ndio zilikikurupua na kukizungusha chama nchi nzima kutetea mkataba wa bandari!

account_circle
(---) Onesmo Mushi(@EduTalkTz) 's Twitter Profile Photo

Hakuna chama tawala kinachoweza kuachia dola kwa porojo za maridhiano na vikao vya ikulu, labda kama tumeamua kujidanganya.

Mtawala gani mjinga kiasi hicho atakayejadiliana na wewe namna ya kumtoa madarakani? Yani anakaa chini kujadili na wewe namna ya kumnyang’anya madaraka,…

Hakuna chama tawala kinachoweza kuachia dola kwa porojo za maridhiano na vikao vya ikulu, labda kama tumeamua kujidanganya. Mtawala gani mjinga kiasi hicho atakayejadiliana na wewe namna ya kumtoa madarakani? Yani anakaa chini kujadili na wewe namna ya kumnyang’anya madaraka,…
account_circle
(---) Onesmo Mushi(@EduTalkTz) 's Twitter Profile Photo

Johannesburg 700,000 (laki saba) nauli. Hapo ukiweka muda utakaotumia halafu ukagawanya kwa uchovu wa mwili, kwa nini usipande ndege tu?🤔

account_circle
Kenny Mmari Snr.(@KennedyMmari) 's Twitter Profile Photo

Mtaani watu wana mawazo yanayofanana na ya kwenye mitandao.

Watu wa mitandaoni siyo aliens. Tusiwageuze kuwa ni maadui.

Wanalipenda taifa lao sana tu.

account_circle
(---) Onesmo Mushi(@EduTalkTz) 's Twitter Profile Photo

Idadi wa wapiga kura walioandikishwa ni 335 lakini waliopiga kura ni 70?????🤔🤔

Kuna haja ya kuwa mfumo mwingine wa demokrasia, maamuzi ya watu 70 hayawezi kureflect maamuzi ya watu 335. Tunahitaji threshold inayoeleweka katika idadi ya wapiga ili kura za kituo zikubalike kuwa…

Idadi wa wapiga kura walioandikishwa ni 335 lakini waliopiga kura ni 70?????🤔🤔 Kuna haja ya kuwa mfumo mwingine wa demokrasia, maamuzi ya watu 70 hayawezi kureflect maamuzi ya watu 335. Tunahitaji threshold inayoeleweka katika idadi ya wapiga ili kura za kituo zikubalike kuwa…
account_circle
(---) Onesmo Mushi(@EduTalkTz) 's Twitter Profile Photo

Mwanachi akishachangia BIMA, serikali inachangia nini kusubsidize?🤔

Mnapochukuwa pesa za wananchi za BIMA na kuziingiza kwenye biashara, return yake ni nini?🤔

account_circle
Kenny Mmari Snr.(@KennedyMmari) 's Twitter Profile Photo

TCRA wanasema kuna watumiaji milioni 33 wa Internet (Users) ambao ni zaidi ya 50% ya idadi ya watu Tanzania. Hata tukipunguza na kusema ni milioni 20, watakuwa ni zaidi ya 33% ya watu.

Asilimia 40 ya watu milioni 33 ni takribani milioni 15, na 40 ya watu milioni 20 ni kama 8m.…

TCRA wanasema kuna watumiaji milioni 33 wa Internet (Users) ambao ni zaidi ya 50% ya idadi ya watu Tanzania. Hata tukipunguza na kusema ni milioni 20, watakuwa ni zaidi ya 33% ya watu. Asilimia 40 ya watu milioni 33 ni takribani milioni 15, na 40 ya watu milioni 20 ni kama 8m.…
account_circle
(---) Onesmo Mushi(@EduTalkTz) 's Twitter Profile Photo

Mhe. Rais Samia Suluhu , kiongozi anayeweza kukudanganya kwa ujasiri kiasi hiki mbele ya umma, ataweza kukwambia ukweli nyuma ya milango ya ofisi?🤔

Zile internet subscription milioni 34 kwenye report ya TCRA_TANZANIA ya June 2023 zimetoka wapi?🤔

account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Mjumbe wa Timu ya Kampeni ya Mgombea wa Ubunge wa ACT Wazalendo Jimbo la Mbarali Ndugu Masoud Abasi ametekwa na watu wasiojulikana, kuteswa, kujeruhiwa sana kwa misumari, vyuma na shoti ya umeme kisha kutelekezwa Wilayani Mbarali leo kunafanyika uchaguzi mdogo kuziba nafasi ya…

Mjumbe wa Timu ya Kampeni ya Mgombea wa Ubunge wa ACT Wazalendo Jimbo la Mbarali Ndugu Masoud Abasi ametekwa na watu wasiojulikana, kuteswa, kujeruhiwa sana kwa misumari, vyuma na shoti ya umeme kisha kutelekezwa Wilayani Mbarali leo kunafanyika uchaguzi mdogo kuziba nafasi ya…
account_circle
(---) Onesmo Mushi(@EduTalkTz) 's Twitter Profile Photo

Demokrasia ya Tanzania ni ya kuombea mikopo kwa wahisani tu. Ni bahati mbaya sana wananchi tunanyamazia matendo ya liga udi kama haya.

account_circle
(---) Onesmo Mushi(@EduTalkTz) 's Twitter Profile Photo

Huu mjadala unanikumbusha Swali lile lile ninaloulizaga kila mara; UCHI NI NINI? Kwa nini iwe nongwa kwa mwanamke kutembea sehemu ya kitovu ikiwa wazi lakini isiwe tatizo mwanaume anapotembea bila shati??

Kwa nini iwe nongwa mwanamke kuvaa pensi lakini isiwe nongwa anapofanya…

account_circle
Ezekiel ‘Top Pen’ Kamwaga(@ezekiel_kamwaga) 's Twitter Profile Photo

Rasmi.

Mimi sasa ni mwandishi wa Azam Media. Unaruhusiwa kusema Ezekiel Kamwaga wa Azam Media. Mwanzo wa safari mpya. Hapa nguli Barwan Muhuza anamkata kamba kuku mgeni😂😂.

Rasmi. Mimi sasa ni mwandishi wa Azam Media. Unaruhusiwa kusema Ezekiel Kamwaga wa Azam Media. Mwanzo wa safari mpya. Hapa nguli Barwan Muhuza anamkata kamba kuku mgeni😂😂.
account_circle
Madenge(@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Ongezeko la kundi la watu wanaoishi kwa kubet ni matokeo ya ukosefu wa ajira,betting imekuwa source of income.

Kuna watu wanaishi kwa betting tu hawana kazi nyingine.

account_circle
Madenge(@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Taifa la watu janja janja na chawa limetengenezwa na viongozi walioko madarakani,wametengeneza vijana tegemezi waliitwa wapambe sahivi wanaitwa 'chawa' kazi yao ni kuwasifia na wanawalipa. Ingekuwa uchawa ni kujitolea(bure) wasingekuwepo.

account_circle