Farhan Kihamu Jr(@FKihamu) 's Twitter Profileg
Farhan Kihamu Jr

@FKihamu

VISIT MOROGORO 🇹🇿 | MKULIMA| Presenter @cloudsmedialive| Brand Ambassador @betwaytanzania

ID:4401120681

linkhttps://instagram.com/jr_farhanjr?igshid=YmMyMTA2M2Y= calendar_today07-12-2015 04:36:39

12,5K Tweets

399,5K Followers

981 Following

Farhan Kihamu Jr(@FKihamu) 's Twitter Profile Photo

Nitakuwa tayari kuomba radhi mara 10 kila siku kwa muda wa miezi 10 kama Mtu atakuja na majibu tofauti ya hichi nachokiandika hapa muda huu, nitakiri kuwa nilifeli kwenye research yangu kama ni tofauti hichi nachokiandika.

- Simba ndio klabu yenye kikosi ghali zaidi Afrika

Nitakuwa tayari kuomba radhi mara 10 kila siku kwa muda wa miezi 10 kama Mtu atakuja na majibu tofauti ya hichi nachokiandika hapa muda huu, nitakiri kuwa nilifeli kwenye research yangu kama ni tofauti hichi nachokiandika. - Simba ndio klabu yenye kikosi ghali zaidi Afrika
account_circle
Aloyce_Builders(@AloyceBuilders) 's Twitter Profile Photo

🙌🏿🙌🏿🙌🏿 Hatufanyi Tu Kubahatisha, Tunafanya Ili Boss Apate Kitu Roho Inapenda

📌PIA UNAWEZA UKATEMBELEA MOJA KWA MOJA OFISINI KWETU SHEKILANGO (Nyuma ya Rombo Green View Hotel) KWA USHAURI WA RAMANI

KARIBU UJIPATIE RAMANI ZA NYUMBA

DESIGN. Four bedrooms

🙌🏿🙌🏿🙌🏿 Hatufanyi Tu Kubahatisha, Tunafanya Ili Boss Apate Kitu Roho Inapenda 📌PIA UNAWEZA UKATEMBELEA MOJA KWA MOJA OFISINI KWETU SHEKILANGO (Nyuma ya Rombo Green View Hotel) KWA USHAURI WA RAMANI KARIBU UJIPATIE RAMANI ZA NYUMBA DESIGN. Four bedrooms
account_circle
Fortunatus Buyobe(@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Angalia windscreen, utaona jinsi risasi kutoka kwa binadamu mwenye shabaha ilivyofanya kazi yake.

Angalia tairi la nyuma, ni flat-tyre.

Hili ni gari la kivita (Armored Personel Carrier) APC mali ya jeshi la Afrika kusini

This wasn't a damn show..

Tulipoteza mtanzania mmoja

Angalia windscreen, utaona jinsi risasi kutoka kwa binadamu mwenye shabaha ilivyofanya kazi yake. Angalia tairi la nyuma, ni flat-tyre. Hili ni gari la kivita (Armored Personel Carrier) APC mali ya jeshi la Afrika kusini This wasn't a damn show.. Tulipoteza mtanzania mmoja
account_circle
Farhan Kihamu Jr(@FKihamu) 's Twitter Profile Photo

Wakubwa zangu niwaambie kitu? Wazungu wana msemo maarufu wa Eras do come to an end yaani zama huwa zinafika mwisho kama mipango mizuri haitokuwepo, Azam kushika nafasi ya pili sio bahati mbaya, Azam kucheza fainali mbili za FA sio kwa bahati mbaya, maana yake nje ya Yanga

🚨YUSUPH KAGOMA TRANSFER SAGA

Simba na Yanga wote walikuwa wanaitaka huduma ya Yusuph Kagoma kutoka Singida, ila walioenda mbele ni YANGA ambao waliwasiliana na Mchezaji pamoja na timu yake, ni Yusuph Kagoma aliyepeleka offer kwa Viongozi wa Singida kuwa anahitaji kujiunga na

🚨YUSUPH KAGOMA TRANSFER SAGA Simba na Yanga wote walikuwa wanaitaka huduma ya Yusuph Kagoma kutoka Singida, ila walioenda mbele ni YANGA ambao waliwasiliana na Mchezaji pamoja na timu yake, ni Yusuph Kagoma aliyepeleka offer kwa Viongozi wa Singida kuwa anahitaji kujiunga na
account_circle
Farhan Kihamu Jr(@FKihamu) 's Twitter Profile Photo

🚨SIMBA ipo katika hatua za mwisho kukamilisha usajili wa Mshambuliaji Steven Dese Mukwala kutoka Asante Kotoko ya Ghana 🇬🇭 nyota huyo anakipiga kwenye timu ya taifa ya Uganda pia akiwahi pia kuchukua tuzo ya Mchezaji bora wa Mashabiki nchini Uganda.

Mukwala atawasili Afrika

🚨SIMBA ipo katika hatua za mwisho kukamilisha usajili wa Mshambuliaji Steven Dese Mukwala kutoka Asante Kotoko ya Ghana 🇬🇭 nyota huyo anakipiga kwenye timu ya taifa ya Uganda pia akiwahi pia kuchukua tuzo ya Mchezaji bora wa Mashabiki nchini Uganda. Mukwala atawasili Afrika
account_circle
Farhan Kihamu Jr(@FKihamu) 's Twitter Profile Photo

Focus ya kwenda kimataifa sio suala la Wanasoka tu, ni task ya taaluma karibia zote ikiwemo Waandishi wa Habari, tunapopiga kelele kwanini yule hajaenda Ulaya, kwanini huyu hachezi Ligi kubwa nje maana yake swali linarudi kwetu pia nalo linaitwa DENI.

Je uendelee kumlaumu

account_circle
Farhan Kihamu Jr(@FKihamu) 's Twitter Profile Photo

Binafsi sioni kosa la Mashabiki wa Yanga kumzomea Maestro Feisal Salum jana na bado sioni kosa kwa Feisal kuweka penati kambani na kuwanyamazisha Mashabiki jana, huo ndio mpira wa miguu tangu zama hizo yani una raha na karaha, jeuri na ubabe wake.

Kinachoendelea naona kuna chuki

Binafsi sioni kosa la Mashabiki wa Yanga kumzomea Maestro Feisal Salum jana na bado sioni kosa kwa Feisal kuweka penati kambani na kuwanyamazisha Mashabiki jana, huo ndio mpira wa miguu tangu zama hizo yani una raha na karaha, jeuri na ubabe wake. Kinachoendelea naona kuna chuki
account_circle
Farhan Kihamu Jr(@FKihamu) 's Twitter Profile Photo

Mlitazama Captain Bakari Nondo Mwamnyeto jana? Achana na penati ambayo aliipiga ya uhakika ila rejea mechi zote dume za Yanga ama nyakati zote ngumu Muungwana kutoka Tanga huwa anakuonesha kitu, nimefanya tafiti zangu nimegundua watu kutoka TANGA wana roho ngumu mno, Imagine

Djigui Diarra ni Golikipa wa viwango vya juu sana, kabla ya penati kupigwa rudia mechi utaona aliwafuata Wachezaji wote wakiwa kwenye mstari na kuwaambia “Tumieni sana akili” alisisitiza kama mara mbili kuwa mikwaju inataka akili na utulivu, alirudia sana kwakuwa huwa wanampa

YANGA na sasa narudi kwenu nimewaombea dua nyingi mbaya pale mchana, Nimekosa mimi, nimekosa Mimi, nimekosa sana! Sasa basi nimeona sasa niwaombe ninyi wenyewe, nina ombi mawili tu Wananchi.

1- Tafadhalini Wananchi msifanye parade tena la kombe hili la FA, tumeteseka sana na

YANGA na sasa narudi kwenu nimewaombea dua nyingi mbaya pale mchana, Nimekosa mimi, nimekosa Mimi, nimekosa sana! Sasa basi nimeona sasa niwaombe ninyi wenyewe, nina ombi mawili tu Wananchi. 1- Tafadhalini Wananchi msifanye parade tena la kombe hili la FA, tumeteseka sana na
account_circle
Farhan Kihamu Jr(@FKihamu) 's Twitter Profile Photo

Ifike wakati Wananchi ifike wakati mtambue hii nchi sio yenu peke yenu lakini pia mtambue nchi ina taratibu zake, kila siku tunapiga vita Ufisadi tangu zama za Mwalimu ila ninyi mnaendelea tu kujilimbikizia mali za Makombe, kwani kulikuwa na ulazima gani na leo kubeba? Yaani kila

Simba dhidi ya Yanga kwa maana ya Kariakoo Derby itabaki kuwa mechi maarufu tu ila Azam dhidi ya Yanga naiona kabisa ndio mechi ya maana sana kwa miaka miwili sasa, huwa ni mechi ya maana sana, huwa mechi haswa kuliko Derby ya Kariakoo.

Unaenda na Derby ipi? Kariakoo Derby ama

Simba dhidi ya Yanga kwa maana ya Kariakoo Derby itabaki kuwa mechi maarufu tu ila Azam dhidi ya Yanga naiona kabisa ndio mechi ya maana sana kwa miaka miwili sasa, huwa ni mechi ya maana sana, huwa mechi haswa kuliko Derby ya Kariakoo. Unaenda na Derby ipi? Kariakoo Derby ama
account_circle
Farhan Kihamu Jr(@FKihamu) 's Twitter Profile Photo

Mimi Farhan Mangungu na Vijana wenzangu saba tulikuwa madhabahuni tukiendelea na sala maalum ili Azam ashinde leo hii, lakini wakati tunashuka tumekuta kikaratasi kimeandikwa Kumbukumbu la Torati 28:7

Torati inasema “Kumbukumbu la Torati 28:7

“BWANA atawafanya adui zako

Mimi Farhan Mangungu na Vijana wenzangu saba tulikuwa madhabahuni tukiendelea na sala maalum ili Azam ashinde leo hii, lakini wakati tunashuka tumekuta kikaratasi kimeandikwa Kumbukumbu la Torati 28:7 Torati inasema “Kumbukumbu la Torati 28:7 “BWANA atawafanya adui zako
account_circle