Farhan Kihamu Jr(@FKihamu) 's Twitter Profileg
Farhan Kihamu Jr

@FKihamu

VISIT MOROGORO 🇹🇿 | MKULIMA| Presenter @cloudsmedialive| Brand Ambassador @betwaytanzania

ID:4401120681

linkhttps://instagram.com/jr_farhanjr?igshid=YmMyMTA2M2Y= calendar_today07-12-2015 04:36:39

12,5K Tweets

399,5K Followers

981 Following

Farhan Kihamu Jr(@FKihamu) 's Twitter Profile Photo

Al Ahly ameruhusu bao moja pekee kutoka hatua ya makundi mpaka fainali ya klabu bingwa Afrika, bao hilo ameruhusu dhidi ya Yanga ya Tanzania 🇹🇿 yaani mpaka anabeba ubingwa leo ni Pacome Zouzoua pekee amefanikiwa kutikisa nyavu zake ni yeye pekee.

account_circle
Farhan Kihamu Jr(@FKihamu) 's Twitter Profile Photo

Ila Al Ahly acha tu😀 nakumbuka nilienda mbali sana baada ya mechi dhidi ya Simba kwenye African Football League nikasema kiukweli kwasasa tumekaribia level zao, haki ya Mungu mdomo koma nimechoka kabisaa😀

Mechi ya mwisho kwa fundi ndani ya gwanda za Real Madrid akiwa Bernabeu, Raul kamuambia anamtaka kwenye mechi za malejendi, Toni awe chini na Zizzou wampe pasi afumanie nyavu! Lakini hiyo huwa ni mara 1 au 2 tu kwa mwaka. Uwanja wa Bernabeu leo tiketi ni “sold out” tokea juzi.

“Mpaka sasa Mimi ni Mchezaji wa Yanga na nafasi kubwa zaidi nawapa Yanga, namwamini Rais wa Yanga @caamil_88 yeye ndie amenileta hapa, tuna makubaliano yetu mimi na yeye kuwa Yanga inapaswa kucheza fainali ya Afrika na tutwae kikombe, hiyo ndio ndoto yangu na ikitokea tumecheza

Wakiwa na muendelezo bora wa kiwango, chini ya mwalimu mzuri huenda tukashuhudia wachezaji wa kiwango kikubwa tu miaka ya mbeleni. Potential ipo, Wanangu wa United Nani alikua man of the match kwenye chama lako leo? Dondoka hapo 👇

Pale Mdhamini NBC, kideo ni AZAM TV, redio ni TBC ila vita ni ya Feisal Salum wa Kizimkazi na Burkina Faso ya Aziz Ki, vita ya Matajiri wawili wenye asili ya Yemen, GSM na SSB! Vita ya kutisha usiwashe airdrop leta USB, mchuano mkali zaidi ambao hauamuliwi kwa kura wala namba za

Saido Ntibazonkiza mpaka sasa ndie Top Scorer wa Simba kwa msimu huu na pia ni msimu wa pili mfululizo.

Mnasemaje? Mkataba uongezwe ama kwaheri ya kuonana??____😀

Saido Ntibazonkiza mpaka sasa ndie Top Scorer wa Simba kwa msimu huu na pia ni msimu wa pili mfululizo. Mnasemaje? Mkataba uongezwe ama kwaheri ya kuonana??____😀
account_circle
Farhan Kihamu Jr(@FKihamu) 's Twitter Profile Photo

Kuna ugomvi gani kati ya uwanja wa Mkapa na Mashabiki wa Yanga?__Timu ina mafanikio makubwa sana, wanafanya kampeni nzuri sana ila Mashabiki mwitikio wao uwanjani ni mdogo saaana haswa kwa Mkapa, Chopper imeshatua na kombe lipo uwanjani ila Mkapa bado haijatema kabisaaa___

Leo

Kuna ugomvi gani kati ya uwanja wa Mkapa na Mashabiki wa Yanga?__Timu ina mafanikio makubwa sana, wanafanya kampeni nzuri sana ila Mashabiki mwitikio wao uwanjani ni mdogo saaana haswa kwa Mkapa, Chopper imeshatua na kombe lipo uwanjani ila Mkapa bado haijatema kabisaaa___ Leo
account_circle
Farhan Kihamu Jr(@FKihamu) 's Twitter Profile Photo

Kuna utata mkubwa hapa kwenye Kipa bora wa msimu, hii vita ya Djigui Diarra (Yanga) dhidi ya Ley Matampi (Coastal Union) sio nyepesi hata kidogo😀

Nani Kipa wako bora??____

Kuna utata mkubwa hapa kwenye Kipa bora wa msimu, hii vita ya Djigui Diarra (Yanga) dhidi ya Ley Matampi (Coastal Union) sio nyepesi hata kidogo😀 Nani Kipa wako bora??____
account_circle
Farhan Kihamu Jr(@FKihamu) 's Twitter Profile Photo

Yule Bwana Mdogo Najim Mussa wa Tabora United angekuwa Msenegal au Mnigeria leo hii angekuwa anavaa uzi wa taifa lake halafu kwa haraka sana wangempeleka nje ya bara la Afrika, National Team ni CV kubwa sana ya kuuza Mchezaji akiwa na uwezo.

Najim Mussa hakuitwa wakaitwa

Yule Bwana Mdogo Najim Mussa wa Tabora United angekuwa Msenegal au Mnigeria leo hii angekuwa anavaa uzi wa taifa lake halafu kwa haraka sana wangempeleka nje ya bara la Afrika, National Team ni CV kubwa sana ya kuuza Mchezaji akiwa na uwezo. Najim Mussa hakuitwa wakaitwa
account_circle
Farhan Kihamu Jr(@FKihamu) 's Twitter Profile Photo

🚨BENJAMIN TANIMU kutoka IHEFU ameitwa tena kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Nigeria 🇳🇬 kuelekea michezo miwili ya kufuzu Kombe la dunia dhidi ya Afrika Kusini na Benin.

Beki huyo mwenye umri wa miaka 23 ana offer kutoka klabu mbalimbali ndani na nje ya Tanzania huku offer

🚨BENJAMIN TANIMU kutoka IHEFU ameitwa tena kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Nigeria 🇳🇬 kuelekea michezo miwili ya kufuzu Kombe la dunia dhidi ya Afrika Kusini na Benin. Beki huyo mwenye umri wa miaka 23 ana offer kutoka klabu mbalimbali ndani na nje ya Tanzania huku offer
account_circle
Farhan Kihamu Jr(@FKihamu) 's Twitter Profile Photo

Miaka kumi sasa imepita. Di maria ndiye alipiga kona karibia zote wakati wote wa mechi….ya mwisho ya mchezo ikamuangukia mtakatifu wa boli Luka Modric, dakika ya 92 sekunde ya 48 hii. Ulikua wapi hii? Kazini? Chuo? Shule? Share story ya vibe lilivyokuja kuwa baada ya hapo…..👇