GetrudeM (@getrudemligo) 's Twitter Profile
GetrudeM

@getrudemligo

Author of 13 Books FT Korea | G.E.C @UN_Women| Supporting Your Digital Dream @Natokajekidigit| Storyteller| Digital Media Consultant| By Grace Through Faith๐Ÿ’

ID: 898230328342462464

linkhttps://mstack.me/getrudemligo calendar_today17-08-2017 17:09:33

38,38K Tweet

17,17K Followers

499 Following

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

.๐‡๐ž๐ฅ๐ฅ๐ž๐ง ๐’๐ข๐ฌ๐ฒ๐š ni mfano wa ujasiri kwangu, kwani alitumia hadithi yake kuhamasisha wasichana kurudi shuleni, hata katika wakati ambapo Rais aliyekuwa madarakani alipinga uwezekano wa mabinti kurudi shule baaada ya ujauzito" Kyoga Msichana Initiative #JamiiPamoja #ArudiShule

.๐‡๐ž๐ฅ๐ฅ๐ž๐ง ๐’๐ข๐ฌ๐ฒ๐š ni mfano wa ujasiri kwangu, kwani alitumia hadithi yake kuhamasisha wasichana kurudi shuleni, hata katika wakati ambapo Rais aliyekuwa madarakani alipinga uwezekano wa mabinti kurudi shule baaada ya ujauzito"
Kyoga Msichana Initiative
#JamiiPamoja
#ArudiShule
AmosiNyanda (@nyandaamosi) 's Twitter Profile Photo

Watanzania Wananunua Kile Wanachokitaka wao Mfano: 1). Mmoja Akitengeneza Kozi inayofundisha Ujuzi wa Kutengeneza Pesa Mtandaoni Na: 2). Mwingine akaandika eBook ya Jinsi ya Kumnasa Mwanamke wa ndoto zako Usishangae wa 2 akapiga Mpunga Mwingi zaidi

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

"Leo tunapoitazama Nafasi, tukumbuke kuwa mabinti wengi wanapitia changamoto kama hizi. Ni jukumu letu kuona jinsi tunavyoweza kuwasaidia kuvuka salama," Kyoga Msichana Initiative #JamiiPamoja #ArudiShule

"Leo tunapoitazama Nafasi, tukumbuke kuwa mabinti wengi wanapitia changamoto kama hizi.
Ni jukumu letu kuona jinsi tunavyoweza kuwasaidia kuvuka salama,"
Kyoga Msichana Initiative
#JamiiPamoja
#ArudiShule
Zahara Tunda (@zahratunda) 's Twitter Profile Photo

Uzinduzi wa filamu ya #Nafasi iliyoandaliwa na her_education_foundation ,ikisimulia hadithi ya msichana aliyepata ujauzito katika umri mdogo na kuamua kurudi shuleni kuendelea na masomo yake bila kujali changamoto anazokutana nazo.

Uzinduzi wa filamu ya #Nafasi iliyoandaliwa na her_education_foundation ,ikisimulia hadithi ya msichana aliyepata ujauzito katika umri mdogo na kuamua kurudi shuleni kuendelea na masomo yake bila kujali changamoto anazokutana nazo.
Ty | The Marketing Bully (@marketingbully_) 's Twitter Profile Photo

Email marketing is more than just sending newsletters. You NEED a strategy! ๐Ÿ› ๏ธ Build your email funnel & campaigns with my FREE 6-figure strategy. โฌ‡๏ธโฌ‡๏ธโฌ‡๏ธ

AmosiNyanda (@nyandaamosi) 's Twitter Profile Photo

Mtandaoni Kuna Aina 2 za Contents 1). Contents za Kukupa FOLLOWERSโ€”Mfano Memes, Mahusiano, Story nk 2). Contents za Kuku-Position Kama EXPERT kwenye Niche yakoโ€”Hapa Unashusha Madini Hasa

AmosiNyanda (@nyandaamosi) 's Twitter Profile Photo

Ndani ya October Naachia eBooks 2 za Moto sana 1). $1M CONVOโ€”Humu nime-share Kila kitu nilichojifunza ndani ya miaka 5 kuhusu Marketing, Sales, Offers, Online business, Copywriting nk 2). CODESโ€”Hii ni eBook ya Mahusiano Ina Madini yote ya Nyashebo

Imani Henrick Luvanga (@imaniluvanga) 's Twitter Profile Photo

Mmesikiliza episode mpya ya Dig It with Imani the Podcast wakuu? Ni episode muhimu kwa waandishi wa habari kwani tumezungumzia wajibu wao katika kuzingatia maadili kwenye kazi zao ili wasisababishe au kuchochea ukatili mtandaoni hasa kwa wanawake. ๐Ÿ”— youtu.be/7Sn-21hfJS4?siโ€ฆ

Mmesikiliza episode mpya ya Dig It with Imani the Podcast  wakuu?

Ni episode muhimu kwa waandishi wa habari kwani tumezungumzia wajibu wao katika kuzingatia maadili kwenye kazi zao ili wasisababishe au kuchochea ukatili mtandaoni hasa kwa wanawake.

๐Ÿ”— youtu.be/7Sn-21hfJS4?siโ€ฆ
Ishengoma Irene (@ishengomairene) 's Twitter Profile Photo

Katika uzinduzi wa filamu fupi ya NAFASI yenye dhamira kuu #ArudiShule ๐Ÿ“Œ #JamiiPamoja tuelimishe vijana wawapo shuleni juu ya kuzuia mimba zisizotarajiwa. ๐Ÿ“ŒPia, Tutokomeze unyanyapaa juu ya binti aliyebeba mimba akiwa mwanafunzi na kupata nafasi ya pili ya kuendelea na masomo.

Katika uzinduzi wa filamu fupi ya NAFASI yenye dhamira kuu #ArudiShule
๐Ÿ“Œ #JamiiPamoja tuelimishe vijana wawapo shuleni juu ya kuzuia mimba zisizotarajiwa.
๐Ÿ“ŒPia, Tutokomeze unyanyapaa juu ya binti aliyebeba mimba akiwa mwanafunzi na kupata nafasi ya pili ya kuendelea na masomo.
Ambassador of Sweden to Tanzania (@sweambtz) 's Twitter Profile Photo

Hongera sana Jamii Forums for empowering voices & driving change. And deeply impressed and optimistic seeing TAKUKURU.TZ rewarding a young man who saw corruption ๐Ÿ‘๐Ÿฝ! #storiesofchange2024

Hongera sana Jamii Forums for empowering voices & driving change.  And deeply impressed and optimistic seeing  TAKUKURU.TZ rewarding a young man who saw corruption ๐Ÿ‘๐Ÿฝ! #storiesofchange2024
Young Africans SC (@youngafricanssc) 's Twitter Profile Photo

๐…๐”๐‹๐‹ ๐“๐ˆ๐Œ๐„โฑ๏ธ| #CAFCL Young Africans SC 6-0 CBE FC #GoliLaMama #TheClubAboveAll #DaimaMbeleNyumaMwiko

๐…๐”๐‹๐‹ ๐“๐ˆ๐Œ๐„โฑ๏ธ| #CAFCL

Young Africans SC 6-0 CBE FC

#GoliLaMama
#TheClubAboveAll
#DaimaMbeleNyumaMwiko