Gift Kimaro (@giftkimaro7) 's Twitter Profile
Gift Kimaro

@giftkimaro7

Accountant | Entrepreneur | Social Media Influencer| Yangasc

Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu 💪💪

ID: 929275584227799040

calendar_today11-11-2017 09:12:19

29,29K Tweet

7,7K Takipçi

2,2K Takip Edilen

Gift Kimaro (@giftkimaro7) 's Twitter Profile Photo

Serikali imefanya uzinduzi wa Kampeni ya Mtu ni Afya kwa awamu ya pili ambayo inahimiza kuhusu kujengo vyoo bora, lishe bora, udhibiti wa taka, udhibiti wa magonjwa yasiyo ya kuambukiza sambamba na unawaji wa mikono kwa maji na Sabuni. #MamaYukoKazini

Serikali imefanya uzinduzi wa Kampeni ya Mtu ni Afya kwa awamu ya pili ambayo inahimiza  kuhusu kujengo vyoo bora, lishe bora, udhibiti wa taka, udhibiti wa magonjwa yasiyo ya kuambukiza sambamba na unawaji wa mikono kwa maji na Sabuni. 

#MamaYukoKazini