Emmanuel L. Mvula(@Immamvula) 's Twitter Profileg
Emmanuel L. Mvula

@Immamvula

Advocate of High Court

ID:2437045050

calendar_today10-04-2014 13:50:21

1,3K Tweets

829 Followers

398 Following

Emmanuel L. Mvula(@Immamvula) 's Twitter Profile Photo

Video📍Rufiji

'Tunasisitiza, wote ambao mashamba yao yameangamizwa na maji; na nyumba zao zimeangamizwa na maji—walipwe fidia.'

Waziri Mkuu Kivuli wa ACTWazalendo
Isihaka Mchinjita

account_circle
Emmanuel L. Mvula(@Immamvula) 's Twitter Profile Photo

Video 📍Rufiji

'CAG amefanya utafiti na ametoa taarifa zaidi ya miaka minne, juu ya uzambe unaoendelea kwenye Bwawa la Mwalimu Nyerere.'

Waziri Mkuu Kivuli wa ACTWazalendo
Isihaka Mchinjita

Wasemaji wa Kisekta

account_circle
Emmanuel L. Mvula(@Immamvula) 's Twitter Profile Photo

Wa pili kutoka kulia ni Kiongozi wa ACTWazalendo, Ndg Dorothy Semu; na kushoto kwake ni Waziri Mkuu Kivuli, Ndg Isihaka Mchinjita

Wa kwanza kulia ni Waziri Kivuli wa Fedha, Ndg Kiza Mayeye. ; na kwanza kushoto ni naibu wake, Ndg shangwe Ayo.



Wa pili kutoka kulia ni Kiongozi wa @ACTwazalendo, Ndg @SemuDorothy; na kushoto kwake ni Waziri Mkuu Kivuli, Ndg @MchinjitaIR Wa kwanza kulia ni Waziri Kivuli wa Fedha, Ndg @kizamayeye_ ; na kwanza kushoto ni naibu wake, Ndg @ayo_shangwe. #CAG #KaziInaendelea #KufujaFedhaZaUmma
account_circle
Emmanuel L. Mvula(@Immamvula) 's Twitter Profile Photo

'Serikali inashikilia shilingi bilioni 208 inayodaiwa na NHIF, CAG katika ripoti yake 2022/23 ameonesha Serikali inadaiwa na NHIF kutokana na fedha ilizokopa tangu mwaka 2020.'

Kiongozi wa ACTWazalendo
Dorothy Semu



'Serikali inashikilia shilingi bilioni 208 inayodaiwa na NHIF, CAG katika ripoti yake 2022/23 ameonesha Serikali inadaiwa na NHIF kutokana na fedha ilizokopa tangu mwaka 2020.' Kiongozi wa @ACTwazalendo @SemuDorothy #RipotiyaCAG #10MaslahiYaWote #10MamlakaKamili
account_circle
Emmanuel L. Mvula(@Immamvula) 's Twitter Profile Photo

Wa pili kutoka kulia ni Kiongozi wa ACTWazalendo, Ndugu Dorothy Semu.

Wa kwanza kulia ni Waziri Mkuu Kivuli, Ndugu Isihaka Mchinjita

Wa pili kutoka kushoto ni Katibu Kiongozi wa Wasemaji wa Kisekta, Ndugu Idrisa Kweweta.

Wa kwanza kushoto ni, Waziri Kivuli wa Fedha, Kiza Mayeye..

Wa pili kutoka kulia ni Kiongozi wa @ACTwazalendo, Ndugu @SemuDorothy. Wa kwanza kulia ni Waziri Mkuu Kivuli, Ndugu @MchinjitaIR Wa pili kutoka kushoto ni Katibu Kiongozi wa @ACTBarazaKivuli, Ndugu @idrisa_kweweta. Wa kwanza kushoto ni, Waziri Kivuli wa Fedha, @kizamayeye_.
account_circle
Emmanuel L. Mvula(@Immamvula) 's Twitter Profile Photo

Live Naibu Mwenezi wa ACTWazalendo, Ndugu shangwe Ayo anazungunza na waandishi wa habari. Fuata kwa link hiyo hapo chini

youtube.com/live/nQptOMibe…

account_circle
Emmanuel L. Mvula(@Immamvula) 's Twitter Profile Photo

Muhtasari wa kile kilichotokea Rufiji, chanzo chake, athari zake na tamko tulilolitoa ACTWazalendo wakati Waziri Mkuu Kivuli, Ndg Isihaka Mchinjita alipofanya ziara huko Aprili 06, 2024.

Serikali imesababisha haya; na yatakiwa kuwalipa fidia Wananchi.

Nishati

account_circle
Emmanuel L. Mvula(@Immamvula) 's Twitter Profile Photo

'Maafa ya Rufiji yameacha maumivu makubwa. Serikali ilipe fidia Wananchi. Kitendo cha kufungua Bwawa la Nyerere bila tahadhari wala tathmini ya athari zake ni uzembe. Tunataka Waziri wa Nishati ajiuzulu.'

Waziri Mkuu Kivuli wa ACTWazalendo
Isihaka Mchinjita

'Maafa ya Rufiji yameacha maumivu makubwa. Serikali ilipe fidia Wananchi. Kitendo cha kufungua Bwawa la Nyerere bila tahadhari wala tathmini ya athari zake ni uzembe. Tunataka Waziri wa @Nishati2017 ajiuzulu.' Waziri Mkuu Kivuli wa @ACTwazalendo @MchinjitaIR #WaRufijiWafidiwe
account_circle
shangwe Ayo(@ayo_shangwe) 's Twitter Profile Photo

06/04/2024

Makamu mwenyekiti bara ACT Wazalendo aliongoza jopo la viongozi na wanachama kwenda kuwafariji wa hanga wa mafuriko Rufiji.

Serikali ili likalia kimya jambo hili ili kuficha chanzo. Niwape hongera ACT kwa kulisemea hili mpaka wanaona aibu sasa wanaenda kutoa misaada.…

06/04/2024 Makamu mwenyekiti bara ACT Wazalendo aliongoza jopo la viongozi na wanachama kwenda kuwafariji wa hanga wa mafuriko Rufiji. Serikali ili likalia kimya jambo hili ili kuficha chanzo. Niwape hongera ACT kwa kulisemea hili mpaka wanaona aibu sasa wanaenda kutoa misaada.…
account_circle
Emmanuel L. Mvula(@Immamvula) 's Twitter Profile Photo

'ACTWazalendo tulizipinga kanuni mpya za kikokotoo na kutoa rai kwa Serikali kurejesha kanuni za mwaka 2017 ambazo zilikuwa zinamwezesha mfanyakazi angalau kupata kiwango cha kuishi kwa staha na kumudu maisha yake baada ya kulitumikia taifa.'

Waziri Mkuu Kivuli
Isihaka Mchinjita

account_circle
Emmanuel L. Mvula(@Immamvula) 's Twitter Profile Photo

Chama cha ACTWazalendo Mkoa wa Dar es salaam, leo kimeungana na Chama Taifa kutaka Tume ya Uchaguzi ijiuzulu ili kupisha kuundwa kwa Tume Huru ya Uchaguzi itakayosimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Tamko limetolewa leo na Mwenezi wa Dar, Ndugu Monalisandala.

account_circle
Monalisandala(@Monalisandala1) 's Twitter Profile Photo

Kwakua Raisi amesha saini sheria ya Tume Huru ya Uchaguzi, tunaitaka Tume iliopo madarakani Ijiuzulu ili kupisha mchakato wa tume huru kupatikana.


account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

WAZIRI MCHENGERWA UNAMUONGOPEA RAIS KWA MANUFAA YA NANI?

Na. John Marwa

(Fuatilia uzi huu)

Machi 13.2024 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan alikuwa akiwaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni, wengi kati ya waliokula kiapo hicho ni…

WAZIRI MCHENGERWA UNAMUONGOPEA RAIS KWA MANUFAA YA NANI? Na. John Marwa (Fuatilia uzi huu) Machi 13.2024 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan alikuwa akiwaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni, wengi kati ya waliokula kiapo hicho ni…
account_circle