Tanzania Investment Centre(@InvestTanzania) 's Twitter Profileg
Tanzania Investment Centre

@InvestTanzania

First point of call for all investors interested to invest in Tanzania. Established to coordinate, encourage, promote and facilitate investment in Tanzania.

ID:918730351475875840

linkhttp://www.tic.go.tz calendar_today13-10-2017 06:49:19

1,6K Tweets

25,7K Followers

340 Following

Tanzania Investment Centre(@InvestTanzania) 's Twitter Profile Photo

MBEYA CITY EXPO 2024🕹️

Karibu katika banda la TIC ujipatie elimu ya bure na kufahamu fursa za uwekezaji zilizopo kanda ya nyanda za juu kusini na Tanzania kwa ujumla!

Wakati wa kuwekeza ni SASA changamkia fursa!

MBEYA CITY EXPO 2024🕹️ Karibu katika banda la TIC ujipatie elimu ya bure na kufahamu fursa za uwekezaji zilizopo kanda ya nyanda za juu kusini na Tanzania kwa ujumla! Wakati wa kuwekeza ni SASA changamkia fursa!
account_circle
Tanzania Investment Centre(@InvestTanzania) 's Twitter Profile Photo

Tuko live muda huu katika siku ya pili ya Kongamano la Uwekezaji linafungwa rasmi na Naibu Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Doto Biteko

Kufuatilia kongamano hili bonyesa link hii👇🏻👇🏻👇🏻

youtube.com/live/BiOFiNuSr…

Tuko live muda huu katika siku ya pili ya Kongamano la Uwekezaji linafungwa rasmi na Naibu Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Doto Biteko Kufuatilia kongamano hili bonyesa link hii👇🏻👇🏻👇🏻 youtube.com/live/BiOFiNuSr…
account_circle
Tanzania Investment Centre(@InvestTanzania) 's Twitter Profile Photo

The China Enterprise Association, accompanied by esteemed representatives including the Counselor from the Chinese Embassy Mr. Chun Kun visited the TIC office in Dar es Salaam.

Led by the association's chairman, they introduced their newly established entity, endorsed by both

The China Enterprise Association, accompanied by esteemed representatives including the Counselor from the Chinese Embassy Mr. Chun Kun visited the TIC office in Dar es Salaam. Led by the association's chairman, they introduced their newly established entity, endorsed by both
account_circle
Tanzania High Commission | Malawi(@UbaloziMalawi) 's Twitter Profile Photo

Leo, tarehe 23 Mei, 2024, Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Malawi umeshiriki kwenye ufunguzi wa Maonesho ya 34 ya Kimataifa ya Biashara ya nchini Malawi yaliyofanyika Jijini Blantyre.

Leo, tarehe 23 Mei, 2024, Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Malawi umeshiriki kwenye ufunguzi wa Maonesho ya 34 ya Kimataifa ya Biashara ya nchini Malawi yaliyofanyika Jijini Blantyre.
account_circle
Ministry of Foreign Affairs - Uganda 🇺🇬(@UgandaMFA) 's Twitter Profile Photo

: Mr. Daudi Riganda, Investment Promotion Manager at Tanzania Investment Centre, highlighted TIC's role as a pivotal one-stop facilitation center for investors, providing support with permits, approvals, and licenses through representatives from 14 different government

#UGTZBusinessForum: Mr. Daudi Riganda, Investment Promotion Manager at @InvestTanzania, highlighted TIC's role as a pivotal one-stop facilitation center for investors, providing support with permits, approvals, and licenses through representatives from 14 different government
account_circle
Tanzania Investment Centre(@InvestTanzania) 's Twitter Profile Photo

Tuko Live Muda huu Kongamano la Uwekezaji Kati ya Uganda na Tanzania!

Bofya link …hii kufuatulia youtube.com/live/PzwVyyOHi…

Tuko Live Muda huu Kongamano la Uwekezaji Kati ya Uganda na Tanzania! Bofya link …hii kufuatulia youtube.com/live/PzwVyyOHi…
account_circle
Tanzania Investment Centre(@InvestTanzania) 's Twitter Profile Photo

TIC inatoa huduma mbalimbali kwa wawekezaji, kama vile ushauri, taratibu za uwekezaji, nk.

Kwa taratibu na habari zaidi za kujua hatua za kukamilisha upatikanaji wa huduma pamoja na nyinginezo tembelea tovuti yetu kwa tic.go.tz.

TIC inatoa huduma mbalimbali kwa wawekezaji, kama vile ushauri, taratibu za uwekezaji, nk. Kwa taratibu na habari zaidi za kujua hatua za kukamilisha upatikanaji wa huduma pamoja na nyinginezo tembelea tovuti yetu kwa tic.go.tz.
account_circle
Tanzania Investment Centre(@InvestTanzania) 's Twitter Profile Photo

The TIC's Executive Director, Gilead Teri, met and held a discussion with Japan's State Minister for Foreign Affairs, H.E.
Kiyoto Tsuji, at the Japanese Embassy in Dar es Salaam.

The discussion marks a significant step towards fostering a robust economic partnership through

The TIC's Executive Director, Gilead Teri, met and held a discussion with Japan's State Minister for Foreign Affairs, H.E. Kiyoto Tsuji, at the Japanese Embassy in Dar es Salaam. The discussion marks a significant step towards fostering a robust economic partnership through
account_circle
Tanzania Investment Centre(@InvestTanzania) 's Twitter Profile Photo

Join the TIC WhatsApp channel now and stay in the loop!

Don't miss out on the latest updates!

Simply follow the channel by clicking the link.

whatsapp.com/channel/0029Va…

Join the TIC WhatsApp channel now and stay in the loop! Don't miss out on the latest updates! Simply follow the channel by clicking the link. whatsapp.com/channel/0029Va…
account_circle
Tanzania Investment Centre(@InvestTanzania) 's Twitter Profile Photo

The TIC Executive Director Gilead Teri had an enriching visit from JICA, led by Mr. Ara Hitoshi, Chief Representative of JICA Tanzania Office, accompanied by Mr. Urano Yoshihito, JICA Senior Representative, and Mr. Yoshitaka Toyonaga, JICA's Project Formulation Advisor.

Mr.

The TIC Executive Director Gilead Teri had an enriching visit from JICA, led by Mr. Ara Hitoshi, Chief Representative of JICA Tanzania Office, accompanied by Mr. Urano Yoshihito, JICA Senior Representative, and Mr. Yoshitaka Toyonaga, JICA's Project Formulation Advisor. Mr.
account_circle
Gilead Teri(@GileadTeri) 's Twitter Profile Photo

USICHOKIJUA kuhusu SINGIDA

Ina HEKTA 520,325 za MISITU (wapi carbon credit people?)

Ina MIZINGA 129,110 ya nyuki

Ina FURSA za kuchimba madini ya dhahabu, shaba, chuma, gypsum, almasi, quartz na chumvi

SINGIDA - THE LAND OF WONDER

account_circle
Tanzania Investment Centre(@InvestTanzania) 's Twitter Profile Photo

Usikose kuwa nasi katika mkutano huu muhimu ni leo saa NNE asubuhi !

Mada: Kutana na fursa mpya za Uwekezaji Singida(Tanzania)
Muda: Mei 22, 2024 10:00 AM Dar-Es-Salaam

Jiunge na Kikao cha Zoom
zoom.us/j/91918128971?…

Meeting ID: 919 1812 8971
Passcode: 746227

---

Usikose kuwa nasi katika mkutano huu muhimu ni leo saa NNE asubuhi ! Mada: Kutana na fursa mpya za Uwekezaji Singida(Tanzania) Muda: Mei 22, 2024 10:00 AM Dar-Es-Salaam Jiunge na Kikao cha Zoom zoom.us/j/91918128971?… Meeting ID: 919 1812 8971 Passcode: 746227 ---
account_circle
President's Office - Planning and Investment(@Ofisiya_Rais_MU) 's Twitter Profile Photo

Wataalamu na wadau wa sekta zinazohusika uwekezaji nchini wameshiriki katika warsha ya kupitia rasimu ya ripoti ya uwekezaji ya mwaka 2023 na kutoa maoni yatakayosaidia Serikali kuwa na mfumo jumuishi wa ukusanyaji taarifa za uwekezaji ili kurahisisha upatikanaji wa taarifa hizo.

Wataalamu na wadau wa sekta zinazohusika uwekezaji nchini wameshiriki katika warsha ya kupitia rasimu ya ripoti ya uwekezaji ya mwaka 2023 na kutoa maoni yatakayosaidia Serikali kuwa na mfumo jumuishi wa ukusanyaji taarifa za uwekezaji ili kurahisisha upatikanaji wa taarifa hizo.
account_circle
Tanzania Investment Centre(@InvestTanzania) 's Twitter Profile Photo

Watch this video showcasing investment trends between Belgium and Tanzania.

Discover the dynamic economic relationship shaping our partnership.

account_circle
Tanzania Investment Centre(@InvestTanzania) 's Twitter Profile Photo

FURSA MPYA SINDIGA🕹️

Save the date 🗓️

Usikose Kujiunga na Mjadala huu tunakufungulia Fursa kokote ulipo!

TIC inakukaribisha kushiriki kwenye kikao cha Zoom.( kikao mtandao)

Mada: Kutana na fursa mpya za Uwekezaji Singida(Tanzania)
Muda: Mei 22, 2024 10:00 AM Dar-Es-Salaam

FURSA MPYA SINDIGA🕹️ Save the date 🗓️ Usikose Kujiunga na Mjadala huu tunakufungulia Fursa kokote ulipo! TIC inakukaribisha kushiriki kwenye kikao cha Zoom.( kikao mtandao) Mada: Kutana na fursa mpya za Uwekezaji Singida(Tanzania) Muda: Mei 22, 2024 10:00 AM Dar-Es-Salaam
account_circle
Tanzania Investment Centre(@InvestTanzania) 's Twitter Profile Photo

It's Japan's investment promotion mission .🇹🇿 🇯🇵

In partnership with : TIC, UNIDO ITPO JAPAN, UNDP ,Tanzania Embassy in Japan have organised this mission!

Explore investment opportunities, strengthen economic ties, and engage in fruitful discussions.

Cities for the

It's Japan's investment promotion mission .🇹🇿 🇯🇵 In partnership with : TIC, UNIDO ITPO JAPAN, UNDP ,Tanzania Embassy in Japan have organised this mission! Explore investment opportunities, strengthen economic ties, and engage in fruitful discussions. Cities for the
account_circle
Tanzania Investment Centre(@InvestTanzania) 's Twitter Profile Photo

China Kunshan International Fair for Coffee Industry 2024 yaliyofanyika katika jiji la Kunshan nchini China.

Wadau wa Utalii kutoka Duniani Kote, Tanzania ikiwa imewakilishwa na kampuni tatu za Mbinga Coffee Curing Company Limited, Magnacio Company Limited na City Connect

China Kunshan International Fair for Coffee Industry 2024 yaliyofanyika katika jiji la Kunshan nchini China. Wadau wa Utalii kutoka Duniani Kote, Tanzania ikiwa imewakilishwa na kampuni tatu za Mbinga Coffee Curing Company Limited, Magnacio Company Limited na City Connect
account_circle