Ipyana M.K. (@ipyanajr007) 's Twitter Profile
Ipyana M.K.

@ipyanajr007

Tunaishi mara moja tu l Enjoy your life l Music heals l Job 14:1-2 💉💊

ID: 1612449955943223297

calendar_today09-01-2023 14:03:40

62,62K Tweet

9,9K Followers

2,2K Following

Ipyana M.K. (@ipyanajr007) 's Twitter Profile Photo

1.HAKIKISHA UNAKUWA KARIBU NA MUNGU WAKO. Unapojiweka Karibu na Mungu wako katika nyakati zako zote; kwenye wakati wa raha na wakati wa magumu. Hii itakusaidia kukuepusha na majanga katika Safari yako ya maisha.

1.HAKIKISHA UNAKUWA KARIBU NA MUNGU WAKO.

Unapojiweka Karibu na Mungu wako katika nyakati zako zote; kwenye wakati wa raha na wakati wa magumu. Hii itakusaidia kukuepusha na majanga katika Safari yako ya maisha.