Issa Shivji(@IssaShivji) 's Twitter Profileg
Issa Shivji

@IssaShivji

Professor Emeritus of Public Law & First Julius Nyerere University Prof, Uni of Dar es Salaam. THE ART OF KNOWING IS KNOWING WHAT TO IGNORE -Rumi

ID:4634787227

calendar_today28-12-2015 18:12:38

6,2K Tweets

149,1K Followers

66 Following

Issa Shivji(@IssaShivji) 's Twitter Profile Photo

Azimio hatarejea, amekataa katakata
Tuzae Azimio II, kijana wa sasa
Aje atuongoze kupambana
Na wapiga maadili
Na walaji mabata
Wawekezaji wa mirija
Na wanyonyaji wa kisasa
Wakilindwa na wanasiasa wachwara
Na kuhalalishwa na wasomaji bandia
Wenye fikra finyu
Na ulimi ndefu.

account_circle
Issa Shivji(@IssaShivji) 's Twitter Profile Photo

Leo ni birthday ya mpenzi wangu Azimio. Alizaliwa tarehe 5 Februari 1967 miaka 55+1 iliyopita. Alipoadhimisha miaka 50, mwaka wa 2007, nilimzawadia. Sasa majukuu wangependa kuiona zawadi tena. Hii hapa -

Barua kwa mpenzi wangu academia.edu/96056747/Barua… via Academia

account_circle
Nyahucho(@EngNyahucho) 's Twitter Profile Photo

Denis Moses Think Different Maria Sarungi Tsehai Tundu Antiphas Lissu Martin Maranja Masese Issa Shivji Joseph Moses Oleshangay Huu ni mgogoro mwingine uliotengenezwa na serikali na vyombo vyake, hapa hatuwezi kuwalaum wafugaji au wakulima, ni serikali tu. Baada ya miaka kadhaa huu mzozo utakuwa mkubwa sana, na inatakiwa waishie hapo watu wanaohamishwa lakini kwa vile inaongea basi wahamishe tu..

account_circle
Denis Moses(@DenisMoses14) 's Twitter Profile Photo

Wananchi wa kijiji cha Msomera ambao inakadiriwa kuwa ni 6500 wanalia kunyang'anywa makazi yao na mashamba yao ili kupewa watu waliohamishwa kutoka Ngorongoro. Wanapojaribu kulalamika wanakamatwa.Think Different Maria Sarungi Tsehai Tundu Antiphas Lissu Martin Maranja Masese Issa Shivji Joseph Moses Oleshangay

account_circle
(---) Onesmo Mushi(@EduTalkTz) 's Twitter Profile Photo

Me nadhani hoja ya Prof Issa Shivji ITATEKELEZEKA siku sisi wazazi tukitambua nafasi yetu katika elimu. Kwa muda mrefu tumeruhusu wanasiasa na watawala watufanyie maamuzi ya elimu bila sisi kuwa na leverage ya aina yoyote. Hili limewapa hawa jamaa nguvu ya kufanya wanavyotaka.

account_circle
Issa Shivji(@IssaShivji) 's Twitter Profile Photo

Watawala wa Afrika msikubali kuwa wapigadebe wa DAVOS. DAVOS ina wenyewe na wanajua wanachotaka. Nia yao ni kutawala Ulimwengu kwa faida yao.
Prelude to the 2023 WEF Davos Meetings. 'Cooperation' in Triggering 'Depopulation' and a 'Fractured World' -Global globalresearch.ca/prelude-2023-w…

account_circle
Issa Shivji(@IssaShivji) 's Twitter Profile Photo

Uzito wa ujumbe hauna maana
Uzito wa hoja hauna wana...

Uzito kwa mizani ipi?
Ya utii wa mamlaka?
Au uchu wa madaraka?
Ya uzalendo wa kiTaifa?
Au unafiki wa kisomi?
Ya uchambuzi wa kufikirika?
Au ushirikina wa kusadikika?

Issa Bin Mariam

account_circle
Issa Shivji(@IssaShivji) 's Twitter Profile Photo

Those who are mesmerized by the offer of USD55 billion at US-Africa may do well to read this. For the US this summit was no less than a plank in Cold War II against China and Russia. thetricontinental.org/newsletterissu…

account_circle
Issa Shivji(@IssaShivji) 's Twitter Profile Photo

Recurrent debt crises have to end. We need to develop a global approach to correct the harmful impact of excessive foreign currency debt — including that issued by the IMF — and odious debts. Widespread, deep, and swift debt write-downs are essential.
Dakar Declaration Nov 2022

account_circle
Karamagi Andrew(@karamagi_andrew) 's Twitter Profile Photo

A good day to express my heartfelt gratitude to great minds like Kalundi Serumaga, Naomi Klein, George Monbiot, Yanis Varoufakis, Mary Serumaga, and Issa Shivji for—over the years—helping me understand the scourge of neoliberalism and what can be done to confront and defeat it.

A good day to express my heartfelt gratitude to great minds like @NativeLandgrab, @NaomiAKlein, @GeorgeMonbiot, @yanisvaroufakis, @MKSerumaga, and @IssaShivji for—over the years—helping me understand the scourge of neoliberalism and what can be done to confront and defeat it.
account_circle
Kijiweni Productions(@KijiweniP) 's Twitter Profile Photo

Jordan 🇯🇴 🇯🇴

Vuta N’Kuvute (Tug of War) is playing at today's closing ceremony of KARAMA Film Festival in Jordan.

We are also a Karama Feather Award Fiction nominee.

🕗 8PM EET
📍Royal Cultural Center (Main Theater)Jordan 🇯🇴 🇯🇴 Vuta N’Kuvute (Tug of War) is playing at today's closing ceremony of @KaramaFestival in Jordan. We are also a Karama Feather Award Fiction nominee. 🕗 8PM EET 📍Royal Cultural Center (Main Theater) #closingfilm #vnv2021 #tugofwar2021
account_circle