Mahmud Jaffer
@JafferMahmud
Farmer| Enterprenuer | Mr No Body
Knowledge is the key of simplicity| Public Relation Officer
ID:1430114641917718539
24-08-2021 10:28:47
23,5K Tweets
2,3K Followers
1,8K Following
RAIS SAMIA AMESIKIA KILIO CHETU AMETUPATIA X-RAY MPYA- MBUNGE NGASA
'Kwa muda mrefu tulikuwa na changamoto ya mashine ya mionzi (X Ray) kwenye Hospitali yetu ya Wilaya jambo lililofanya Wananchi kwenda Nzega au Tabora kupata huduma ya kupiga picha za mionzi. #MamaYukoKazini
📌NAWAKUMBUSHA
Sera ya elimu bila ada imewezesha watoto wengi zaidi kwenda shule, hivyo kupunguza mimba na ndoa za utotoni. Hii ni moja ya njia za kumlinda mtoto wa kike. #MamaYukoKazini
बच्चों के साथ ऐसी लापरवाही बिल्कुल भी ना करें, वरना मुश्किल का सामना करना पड़ सकता है..🙏🙏
#गुड_मॉर्निंग_इंडिया__
twitter.com/i/spaces/1OdJr…
Tume ya madini yakusanya Tsh Bilioni 178 kwa robo ya kwanza ya mwaka 2022-2023.
Mafanikio makubwa yameonekana katika sekta ya madini kutokana na elimu inayotolewa na Tume ya madini chini ya Rais Samia Suluhu, hayo yalisemwa na Kamishna wa Tume ya Madini #mamayukokazini
Serikali ya Rais Samia Suluhu imeongeza fedha katika maeneo muhimu kwenye sekta ya kilimo kuongeza ufanisi na uzalishaji.
▶️Utafiti: 7bn hadi 11.63bn
▶️Huduma ya ugani: 603m hadi 11.5bn
▶️Umwagiliaji: 17bn hadi 51.48
▶️Uzalishaji mbegu: 5.42bn hadi 10.58bn
#MamaYukokazini