Mahmud Jaffer(@JafferMahmud) 's Twitter Profileg
Mahmud Jaffer

@JafferMahmud

Farmer| Enterprenuer | Mr No Body

Knowledge is the key of simplicity| Public Relation Officer

ID:1430114641917718539

calendar_today24-08-2021 10:28:47

11,2K Tweets

2,6K Followers

1,9K Following

Natalia John(@NataliaJohn19) 's Twitter Profile Photo

RAIS SAMIA AMESIKIA KILIO CHETU AMETUPATIA X-RAY MPYA- MBUNGE NGASA
'Kwa muda mrefu tulikuwa na changamoto ya mashine ya mionzi (X Ray) kwenye Hospitali yetu ya Wilaya jambo lililofanya Wananchi kwenda Nzega au Tabora kupata huduma ya kupiga picha za mionzi.

RAIS SAMIA AMESIKIA KILIO CHETU AMETUPATIA X-RAY MPYA- MBUNGE NGASA 'Kwa muda mrefu tulikuwa na changamoto ya mashine ya mionzi (X Ray) kwenye Hospitali yetu ya Wilaya jambo lililofanya Wananchi kwenda Nzega au Tabora kupata huduma ya kupiga picha za mionzi. #MamaYukoKazini
account_circle
Annastazia Sarungi(@AnnaSarungi) 's Twitter Profile Photo

📌NAWAKUMBUSHA

Sera ya elimu bila ada imewezesha watoto wengi zaidi kwenda shule, hivyo kupunguza mimba na ndoa za utotoni. Hii ni moja ya njia za kumlinda mtoto wa kike.

📌NAWAKUMBUSHA Sera ya elimu bila ada imewezesha watoto wengi zaidi kwenda shule, hivyo kupunguza mimba na ndoa za utotoni. Hii ni moja ya njia za kumlinda mtoto wa kike. #MamaYukoKazini
account_circle
Adv.Nazneen Akhtar(@NazneenAkhtar10) 's Twitter Profile Photo

बच्चों के साथ ऐसी लापरवाही बिल्कुल भी ना करें, वरना मुश्किल का सामना करना पड़ सकता है..🙏🙏


twitter.com/i/spaces/1OdJr…

account_circle
Mahmud Jaffer(@JafferMahmud) 's Twitter Profile Photo

Tume ya madini yakusanya Tsh Bilioni 178 kwa robo ya kwanza ya mwaka 2022-2023.
Mafanikio makubwa yameonekana katika sekta ya madini kutokana na elimu inayotolewa na Tume ya madini chini ya Rais Samia Suluhu, hayo yalisemwa na Kamishna wa Tume ya Madini

Tume ya madini yakusanya Tsh Bilioni 178 kwa robo ya kwanza ya mwaka 2022-2023. Mafanikio makubwa yameonekana katika sekta ya madini kutokana na elimu inayotolewa na Tume ya madini chini ya Rais Samia Suluhu, hayo yalisemwa na Kamishna wa Tume ya Madini #mamayukokazini
account_circle
Alias crazy ass(@Paxcahl) 's Twitter Profile Photo

One annoying part about being a Nigerian is filling out a form online,now it gets to the point of selecting your coutry,arranged alphabetically and now you have to scroll the hell off that page.

account_circle
Rakhi sawant(@SAW_Rakhi1) 's Twitter Profile Photo

कोशिशें ख़ुद ही करना पड़ती हैं
भीड़ में रास्ता नहीं होता।

twitter.com/i/spaces/1PlJQ…

account_circle
Mahmud Jaffer(@JafferMahmud) 's Twitter Profile Photo

Serikali ya Rais Samia Suluhu imeongeza fedha katika maeneo muhimu kwenye sekta ya kilimo kuongeza ufanisi na uzalishaji.

▶️Utafiti: 7bn hadi 11.63bn
▶️Huduma ya ugani: 603m hadi 11.5bn
▶️Umwagiliaji: 17bn hadi 51.48
▶️Uzalishaji mbegu: 5.42bn hadi 10.58bn

Serikali ya Rais Samia Suluhu imeongeza fedha katika maeneo muhimu kwenye sekta ya kilimo kuongeza ufanisi na uzalishaji. ▶️Utafiti: 7bn hadi 11.63bn ▶️Huduma ya ugani: 603m hadi 11.5bn ▶️Umwagiliaji: 17bn hadi 51.48 ▶️Uzalishaji mbegu: 5.42bn hadi 10.58bn #MamaYukokazini
account_circle
Malkia Nyuki 👑🇹🇿(@nyuki_malkia) 's Twitter Profile Photo

Msiogope maumbile yenu ya kiume kuwa madogo kuwa hutamridhisha wanawake ndio wanahofia maumbile yao kuwa makubwa haitakaa poa ndio mana wanajificha kwenye kivuli cha kuwaita vibamia

account_circle