Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profileg
Jambo TV

@Jambotv_

Independent News Source | WhatsApp+255767252999

ID:570641129

linkhttps://www.jambo.or.tz calendar_today04-05-2012 08:15:47

13,8K Tweets

903,3K Followers

35 Following

Follow People
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO:

“Kuhusu mikopo ya wanafunzi mimi leo wakisema wanipe nafasi ya kuamua mikopo ya wanafunzi nitakachokifanya mimi ni kupata wanafunzi wenye sifa ya kupata mikopo ningewalipia karo , nitakwenda kupunguza habari ya matumizi, hii kitu inaitwa Boom ni matatizo, wanaopata…

account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia afya Festo Dugange amesema takwimu zinaonesha kuwa kiwango cha udumavu kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano bado ni kikubwa ambapo kwa mkoa wa Kigoma ni 27.1%, Katavi…

Balozi wa Tanzania nchini Italia Mahmoud Thabit Kombo amewataka Watanzania kutumia lugha ya Kiswahili kama fursa ya kukuza uchumi wao.

Amesema hayo wakati akizungumza na wadau wa Kiswahili, wasanii na wanafunzi kwenye tamasha la hamasa ya shamrashamra ya Swahili festival…

Balozi wa Tanzania nchini Italia Mahmoud Thabit Kombo amewataka Watanzania kutumia lugha ya Kiswahili kama fursa ya kukuza uchumi wao. Amesema hayo wakati akizungumza na wadau wa Kiswahili, wasanii na wanafunzi kwenye tamasha la hamasa ya shamrashamra ya Swahili festival…
account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Sekta ya afya nchini imeajiri wataalamu wa kada mbalimbali ambao kwa nyakati tofauti wana jukumu la kuhakikisha wanaokoa maisha ya wagonjwa wanaofika kwenye maeneo ya kutolea huduma za afya kwa njia moja au nyingine

Hivi karibuni Fundi Sanifu Vifaa tiba Joshua Kusaga ambaye ni…

Sekta ya afya nchini imeajiri wataalamu wa kada mbalimbali ambao kwa nyakati tofauti wana jukumu la kuhakikisha wanaokoa maisha ya wagonjwa wanaofika kwenye maeneo ya kutolea huduma za afya kwa njia moja au nyingine Hivi karibuni Fundi Sanifu Vifaa tiba Joshua Kusaga ambaye ni…
account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Serikali imeamua kuboresha uelewa wa somo la Kiingereza kuanzia shule za msingi darasa la kwanza badala ya kuanzia darasa la tatu kama hapo awali ili kuwajengea uwezo wanafunzi mapema kuelewa somo hilo kwa weledi

Naibu Katibu Mkuu Tamisemi (Elimu) Dkt. Charles Msonde amezungumza…

Serikali imeamua kuboresha uelewa wa somo la Kiingereza kuanzia shule za msingi darasa la kwanza badala ya kuanzia darasa la tatu kama hapo awali ili kuwajengea uwezo wanafunzi mapema kuelewa somo hilo kwa weledi Naibu Katibu Mkuu Tamisemi (Elimu) Dkt. Charles Msonde amezungumza…
account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO:

Hivi karibuni Fundi Sanifu Vifaa tiba Joshua Kusaga ambaye ni mtumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya kwa kushirikiana na wenzake Elias Mshana na Frank Ndauzi wamegundua kifaa chenye uwezo wa kudhibiti joto kwa ajili ya kuwasaidia watoto wachanga

Katika maelezo…

account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO:

“ Nianze kwanza kukipongeza Chama changu cha ACT Wazalendo kwa kutimiza miaka 10 toka kuanzishwa kwake lakini kutimiza miaka kumi bila migogoro,”

Hayo yamesemwa bungeni Jijini Dodoma na Mbunge wa Jimbo la Konde Mohamed Said Issa (ACT-Wazalendo) wakati akichangia…

account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO:

Watanzania wameombwa kutumia nishati safi na salama ya kupikia ili kulinda afya zao na uhai wa mazingira.

Msisitizo huu mkubwa unajiri wakati ambao dunia inashuhudia mabadiliko ya tabia nchi ambayo yanatajwa kuchochewa na uchafuzi wa mazingira unaosababishwa na ukataji…

account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO:

Mbunge wa Gairo (CCM) Ahmed Shabiby amehoji mfanano wa gharama za leseni kwa baadhi ya vyombo vya usafiri ardhini kama pikipiki za miguu miwili na minne, na makato yanayochukuliwa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) kupitia tiketi mtandao kuwa yanawakandamiza…

account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO:

Hilda Msigwa mkazi wa mkoa wa Songwe na Rose Masebo mkazi wa mtaa wa Mabatini Mbeya ni miongoni mwa kinamama mashuhuda (wa maboresho ya sekta ya afya yalivyookoa maisha ya watoto njiti) ambapo wawili hao kwa sasa wamelazwa kwenye Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya…

account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Imeelezwa kuwa maboresho makubwa yaliyofanywa na serikali ya awamu ya sita (6) inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye sekta ya afya yamepunguza vifo vya watoto wachanga kwa kiasi kikubwa, kutokana na uwepo wa vifaa tiba vya kisasa na Madaktari Bingwa wanaosaidia…

Kwa muda mrefu kinamama waliokuwa wanajifungua watoto kabla ya wakati (njiti) wamekuwa wakipatwa na hofu na mashaka kuhusu mustakabali wa maisha ya watoto wao kwakuwa inaelezwa wengi wa watoto hao walikuwa wakipoteza maisha kutokana na kukosa huduma bora za uangalizi kwa mama na…

Mkoa wa Dar es Salaam utapokea Mwenge wa Uhuru 2024 kutoka Mkoa wa Pwani tarehe 08 Mei, 2024 na kukimbizwa katika wilaya zote za mkoa hadi kufikia tarehe 13 Mei, 2024 ambapo utakabidhiwa kwa mkoa wa kusini Pemba.

Akizungumza na waandishi wa habari siku ya Jumanne Mei 07,…

account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Elimu, Prof Adolf Mkenda amesema Serikali itaendelea kuboresha miundombinu ya vyuo vya ufundi na mafunzo ya ufundi stadi pamoja na sekondari za amali ili kuongeza fursa za mafunzo kwa kuwezesha ujenzi wa shule mpya za sekondari za amali 100 ambapo kati ya hizo shule 26…

Hakuna hadithi nyingine zaidi ya wewe kupata haki yako, muhimu njoo na nyaraka zako zote na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda yuko tayari kukuhudumia na kupambana kwa ajili yako dhidi ya wanaozuia haki yako kwa muda mrefu, hivi ndiyo kauli inayosikika mitaa mbalimbali ya jiji…

Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE) kimeeleza kufurahishwa na uamuzi wa serikali wa kukubali ombi lao la kuongeza siku ya likizo ya uzazi kwa wafanyakazi wanawake wanaojifungua watoto njiti kama ilivyotangazwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya…

account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema litaendelea kuwashukuru wananchi wanaoendelea kushiriki katika jitihada za serikali katika kuboresha mazingira bora na ya kisasa katika vituo vya Polisi Mkoani humo huku likibainisha kuwa litaendelea kutoa huduma bora na za kisasa kwa…

Imeelezwa kuwa maboresho makubwa yaliyofanywa na serikali ya awamu ya sita (6) inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye sekta ya afya yamepunguza vifo vya watoto wachanga kwa kiasi kikubwa, kutokana na uwepo wa vifaa tiba vya kisasa na Madaktari Bingwa…

account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO:

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kigoma Chiriku Chilumba, ameeleza mafanikio katika ukusanyaji mapato katika halmashauri hiyokwa kuongeza kiwango cha ukusanyaji wa mapato kutoka wastani wa Shilingi milioni 59kwa mwezi hadi shilingi milioni 170 na kueleza kuwa mafanikio hayo…

account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO:

Chama Cha Mawakili Kanda ya Kaskazini kimesema kimejiandaa vyema katika utoaji wa huduma ya msaada wa kisheria kwa wananchi wote wa Arusha watakaojitokeza kwenye programu maalumu iliyoandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda.

Akizungumza na Wanahabari…

account_circle