Lady JayDee (@jidejaydee) 's Twitter Profile
Lady JayDee

@jidejaydee

ID: 45583495

calendar_today08-06-2009 15:03:34

29,29K Tweet

855,855K Followers

78 Following

fatma karume aka Shangazi (@fatma_karume) 's Twitter Profile Photo

Swali: Wanaoujiuza hawawezi kubakwa nchi hii? Au ndio yale ya Ibrahim Juma, mnaona hawajatimiza WAJIB kwa hivyo hawana HAKI ya kutokubakwa? Stop this nonsense. Mna watoto wa KIKE jamani!

Swali:

Wanaoujiuza hawawezi kubakwa nchi hii?

Au ndio yale ya Ibrahim Juma, mnaona hawajatimiza WAJIB kwa hivyo hawana HAKI ya kutokubakwa?

Stop this nonsense. Mna watoto wa KIKE jamani!
fatma karume aka Shangazi (@fatma_karume) 's Twitter Profile Photo

Tanpol naomba muelewe: Mtu anayejiuza anatoa IDHNI kuingiliwa mwilini kwa makubaliano ya MALIPO. Mtu anayebakwa, HAJATOA IDHNI kuingiliwa mwilini. Kwa hivyo Kahaba anaweza kubakwa kama hajatoa IDHNI ya kuingiliwa mwilini. IDHNI ndio muhimu si KAZI ya mtu!

fatma karume aka Shangazi (@fatma_karume) 's Twitter Profile Photo

Kama MKE anaweza kubakwa na MUME pale anapoingiliwa mwilini bila ya IDHNI basi KAHABA anaweza kubakwa na wanajeshi 5 pale asipotoa IDHNI ya kuingiliwa mwilini. UKAHABA wake si IDHNI ni KAZI tu.

Smooth98.1FM (@smooth981fm) 's Twitter Profile Photo

#NP Yahaya Lady JayDee on #TheKazbah981 with Oluwaseun R. Olusegun Listen Live: smoothlive.smooth981.fm:8000/smoothlivefm128 β€πŸ’™πŸ€ #Smooth981 #LoveMusic #LoveLifeΒ #SmoothFmLagos

#NP  Yahaya <a href="/JideJaydee/">Lady JayDee</a> 

on #TheKazbah981 with <a href="/oluwaseun_ro/">Oluwaseun R. Olusegun</a> 
 
Listen Live: smoothlive.smooth981.fm:8000/smoothlivefm128
β€πŸ’™πŸ€

#Smooth981 #LoveMusic #LoveLifeΒ #SmoothFmLagos
Lady JayDee (@jidejaydee) 's Twitter Profile Photo

Kwakweli nimemaliza mwezi mmoja wa shift za jikoni na za kuitumikia jamii. Muda wa kuchukua likizo tena sasa nikale zangu upepo Spain πŸ‡ͺπŸ‡Έ 😊. Si eti ? Jazee