Caribbean Legend(@KaJoachim) 's Twitter Profileg
Caribbean Legend

@KaJoachim

learned brother legal officer,chugamaican, proud to be an iraqw, ChelseaπŸ’™πŸ€ die hard fan, Tanzanian

ID:1302576294576750592

calendar_today06-09-2020 11:56:22

16,7K Tweets

2,3K Followers

3,8K Following

Caribbean Legend(@KaJoachim) 's Twitter Profile Photo

Nikikumbuka niliwahi kucheza 50K kwa wiki watu 30 bwana jumamosi sio mbaliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kidogo niongee mwenyewe niliwahi kuzira kucheza alafu kwasababu nilikua mgeni nikawa wa 30 aaah kulaleki una laki unawaza ukale maisha weekend au utoe HeLa ya mchezoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

account_circle
Caribbean Legend(@KaJoachim) 's Twitter Profile Photo

Yule mzee ninaekulaga nae kilaji na kuongea nae Mambo ya msingi atanipiga mtama mmoja kuliko ule wa Adam mchomvu hakika

account_circle
Caribbean Legend(@KaJoachim) 's Twitter Profile Photo

Leo kuna deal tumepiga na brother M.D (πŸ…¨) respect Sana kwako aisee, ila kwa mbinde tumebonga English me na MD mpaka mashavu yameuma watasha wakajaa mtasha mmoja anabonga ngeli kama wamama wa uswazi hapoiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ’ͺ🏾

account_circle
Caribbean Legend(@KaJoachim) 's Twitter Profile Photo

Nimekumbuka 2018 Niko chuga mzee na mother hawapo nikaambiwa nikawakilishe kwenye send off ya sister wa pale mtaani si muda unaenda bwana harusi hatokei acha watu tupigwe bia bwana zikashushwa kwa fujo watu walivyoanza kuchangamka tukasikia MC anasema ni muda wa zawadiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

account_circle
Caribbean Legend(@KaJoachim) 's Twitter Profile Photo

Sasa kama Huyo ni mwarabu ukikutana na warangi kolo na kelema waliozamia ngarenaro si utasema uko Dubai ariif au ukutane na wairaqw wa mbulu, mamaisara mpaka dongobesh utadata kabisaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

account_circle
Caribbean Legend(@KaJoachim) 's Twitter Profile Photo

Uwakute wana mrungi wa kutosha na kiredio cha Bluetooth zinapigwa Taarab asilia alafu wajomba wanaenjoy kweli Mara ya kwanza nilikua nawaona kama mashoga kumbe ndo tamaduni zao miziki ya asili ukanda wa pwani

account_circle
Caribbean Legend(@KaJoachim) 's Twitter Profile Photo

Niliendaga kucheza PlayStation pale barabara ya 12 ghorofani kichalii cha kama 12-15 hivi kikaniambia brother tucheze looser anaefungwa analipa, kitu nilifanywa game 5 straight Chalii ananinyoosha sio chini ya goli 3 madogo wanacheza hivi vitu kama wanalipwaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

account_circle