๐‘ฉ๐’‚๐’ƒ๐’‚ ๐‘พ๐’‚ ๐‘ฝ๐’Š๐’‹๐’‚๐’๐’‚ ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ|๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ(@KamigakikuMbise) 's Twitter Profileg
๐‘ฉ๐’‚๐’ƒ๐’‚ ๐‘พ๐’‚ ๐‘ฝ๐’Š๐’‹๐’‚๐’๐’‚ ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ|๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ

@KamigakikuMbise

Son Of Jesus/ Entrepreneur/ Farmer/ Let Your Kingdom Come To Me๐Ÿ™๐Ÿพ/ Smile more than U cry/ Give more than U take/ Love more than U hate. ~|Psalms 128,46:1-3

ID:1845267631

linkhttp://Jesuslovesyou.com calendar_today09-09-2013 12:41:48

218,3K Tweets

49,3K Followers

1,9K Following

Son of God(@EliabuDanford) 's Twitter Profile Photo

Duadi alienda kuomba chakula kwa Nabali kabla ya kuwa Mfalme. Alipoinuliwa ndipo akaandika Bwana ndiye Mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu. Si kwamba hajawahi kupungukiwa. Ila kuna viwango alikuwa hajafika vya kutokupungikiwa. Hali ya sasa isikutishe. Utafika hivyo viwango.

account_circle
Rev. Dr. Eliona Kimaro(@ElionaKimaro) 's Twitter Profile Photo

Kama Yesu alipokutana na mtu mwenye mapepo 3,000, alipona na akawa mhubiri mkubwa.

Changamoto zako 3,000 ulizonazo leo wala si kitu, na kamwe haziwezi kukuzuia kufika katika kusudi alilokupangia Mungu.

Asubuhi ya leo ninakuombea Neema ya Mungu iwe juu yako, na ufanikiwe sana

account_circle
Mkanaani ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@Mkanaani_) 's Twitter Profile Photo

GONGA INJILI ๐Ÿ”ฅ Hakuna atakayesema hakusikia

Kanisa la Bwana ni kubwa sana na Yesu Kristo anawajua walio wake ndani ya kanisani

account_circle
Mkanaani ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@Mkanaani_) 's Twitter Profile Photo

Unapoongoka hujapewa neno la ugomvi umepewa neno la upatanisho mahali ulipo ili watu wakipata shifa ofisni wawe na mahali pa kwenda Mungu anakutazama watu wanapopata shida wawe na mahali pa kukimbilia

account_circle
Baraka Maviatu ๐Ÿ‘ž๐Ÿ‘Ÿ๐Ÿฅพ๐Ÿ›๏ธ๐Ÿ›’(@BarakaMaviatu) 's Twitter Profile Photo

Not without my father in the picture. ๐Ÿ–ผ

The only human i wish he could appear in my best moments. I failed him big time. Perhaps he should be there when i win.

The only person i want to tell Baba nimeweza hii. โค๏ธ

account_circle
Baraka Maviatu ๐Ÿ‘ž๐Ÿ‘Ÿ๐Ÿฅพ๐Ÿ›๏ธ๐Ÿ›’(@BarakaMaviatu) 's Twitter Profile Photo

Hoja inakuaga dhaifu hii, sisi ni masikini sababu tumechagua kua masikini. Uongozi mbovu elimu mbovu na mifumo yote mibovu.

Nawafahamu watu wanasali vibaya na wana hela mbaya mimi ambae sisali sina mia.

Unashindwa kemea ufisadi wa serikali kaa uoga unasingizia DINI, Man up.

account_circle
Son of God(@EliabuDanford) 's Twitter Profile Photo

WOKOVU [SALVATION]

MAANA YA NENO KUOKOKA.

๐Ÿงต
Neno wokovu/kuokolewa/kuokoka limetokana na maneno la Kigriki SOZO/SOTERIA. Neno SOZO kwa kingereza ni, to save, deliver, make whole, restore be whole. Inamanisha kuokolewa/kuokoka kwa kurudishiwa kila kitu

WOKOVU [SALVATION] MAANA YA NENO KUOKOKA. ๐Ÿงต Neno wokovu/kuokolewa/kuokoka limetokana na maneno la Kigriki SOZO/SOTERIA. Neno SOZO kwa kingereza ni, to save, deliver, make whole, restore be whole. Inamanisha kuokolewa/kuokoka kwa kurudishiwa kila kitu
account_circle