Kenny Mmari Snr.(@KennedyMmari) 's Twitter Profileg
Kenny Mmari Snr.

@KennedyMmari

A Voice of Reason in a Confused World | Sworn Adversary of GroupThink | Communication, Technology and Impact | TZ State-affiliated Media | CE @SerengetiBytes

ID:2309651022

linkhttps://cosoc.com/KennedyMmari calendar_today25-01-2014 08:28:36

8,1K Tweets

165,0K Followers

1,0K Following

Kenny Mmari Snr.(@KennedyMmari) 's Twitter Profile Photo

Kwa wanaosoma-soma wanafahamu kuwa magari ya umeme yalikuwa London mwaka 1906 na yalifanya kazi kwa ufanisi mkubwa.

Sababu ya kufa ilidaiwa kuwa ufisadi, ila wengi wanaamini kuwa kuna teknolojia nyingi tu zimezimwa kimkakati.

Soma en.m.wikipedia.org/wiki/London_El…

Kwa wanaosoma-soma wanafahamu kuwa magari ya umeme yalikuwa London mwaka 1906 na yalifanya kazi kwa ufanisi mkubwa. Sababu ya kufa ilidaiwa kuwa ufisadi, ila wengi wanaamini kuwa kuna teknolojia nyingi tu zimezimwa kimkakati. Soma en.m.wikipedia.org/wiki/London_El…
account_circle
Kenny Mmari Snr.(@KennedyMmari) 's Twitter Profile Photo

Wavumbuzi wakiangalia hii, lazima waogope (kama kuna chembe ya ukweli). Ni Podcast ya dakika 50 tu.

Killer Patents & Secret Science Vol. 1 | Free Energy & Anti-Gravity Cover ups youtu.be/-ZRwlYtAMps?si…

account_circle
Kenny Mmari Snr.(@KennedyMmari) 's Twitter Profile Photo

Barabara ya Mlimani City kwenda Goba ina mwaka mmoja, ila ina mashimo ya kutosha na yakiachwa muda kidogo yatafaa kufugia Samaki kama Rose Garden.

Engineering integrity is dead. Tupende, tusipende. Watu wakiamua wanaweza kujenga hata baharini, hatuna kisingizio cha mvua.

account_circle
Kenny Mmari Snr.(@KennedyMmari) 's Twitter Profile Photo

Hii imenifanya nifikiri kuwa pengine stesheni ya mwisho ya treni haikupaswa kujengwa katikati ya jiji bali hata karibu na Kibaha huko.

Kwenye majiji yote niliyosafiri, stesheni za mwisho za treni hujengwa kubwa na kwenye nafasi nje ya mji kidogo, kama ambavyo tulihamisha stendi…

account_circle
Bernie Sanders(@BernieSanders) 's Twitter Profile Photo

Mr. Netanyahu, antisemitism is a vile and disgusting form of bigotry that has done unspeakable harm to millions.

Do not insult the intelligence of the American people by attempting to distract us from the immoral and illegal war policies of your extremist and racist government.

account_circle
Bernie Sanders(@SenSanders) 's Twitter Profile Photo

No, Mr. Netanyahu. It is not antisemitic or pro-Hamas to point out that in a little over six months your extremist government has killed 34,000 Palestinians and wounded more than 77,000 – 70% of whom are women and children.

You will not distract us from this immoral war.

No, Mr. Netanyahu. It is not antisemitic or pro-Hamas to point out that in a little over six months your extremist government has killed 34,000 Palestinians and wounded more than 77,000 – 70% of whom are women and children. You will not distract us from this immoral war.
account_circle
Kenny Mmari Snr.(@KennedyMmari) 's Twitter Profile Photo

Iran inahusishwa na wanafunzi wanaoandamana vyuoni mchini Marekani kupinga mauaji ya kimbari Gaza.

Hawa watu ni waongo hadi wanatisha. Wananifanya nifikirie historia yote ya ubinadamu inaweza kuwa ya kupikwa na ya uongo kama wanaweza kudanganya mbele ya kadamnasi.

account_circle
Kenny Mmari Snr.(@KennedyMmari) 's Twitter Profile Photo

Hii hashtag ni ndefu sana wakuu.

Nipo tayari kuwapa mafunzo ya mawasiliano ya kidigitali bure. ;)👋🏾😂

NB: Nasisitiza kuwa nia yangu ni njema hivyo msije kunipeleka kwetu Kilimanjaro kunipekua.

account_circle
Kenny Mmari Snr.(@KennedyMmari) 's Twitter Profile Photo

Kuna makala niliandika kwa The Chanzo. Ninafikiri ‘waliogopa’ kuichapisha kwa kuwa umepita muda mrefu na ilikuwa makala chokozi kidogo. Nitaichapisha sehemu huru.

Isome👇🏾

50/50 is Inhuman: Let’s Go For 100/100 in Gender Dynamics.

Kuna makala niliandika kwa @TheChanzo. Ninafikiri ‘waliogopa’ kuichapisha kwa kuwa umepita muda mrefu na ilikuwa makala chokozi kidogo. Nitaichapisha sehemu huru. Isome👇🏾 50/50 is Inhuman: Let’s Go For 100/100 in Gender Dynamics.
account_circle
Kenny Mmari Snr.(@KennedyMmari) 's Twitter Profile Photo

Kwanini anatumia milioni 500 (wapo wanaofanya hivyo) kuhakikisha anaingia bungeni ikiwa anaenda kukusanya milioni 300 kwa miaka yote mitano?😀

account_circle
Kenny Mmari Snr.(@KennedyMmari) 's Twitter Profile Photo

Imagine Americans are arrested and they are restricted and prohibited to protest against atrocities perpetuated by Israel in Gaza.

What a democracy it is where even academicians are silenced! Unbelievable turn of events.

account_circle
Kenny Mmari Snr.(@KennedyMmari) 's Twitter Profile Photo

Ni sahihi. Ndiyo sababu nimependa ulipoweka rekodi sawa hapahapa.

Watu wanadai hukupaswa kujibu kwa kuwa aliyetoa tuhuma hana nafasi kwenye serikali.

Majibu ni kuwa ana jukwaa na hadhira kubwa. Ni sawa na chombo cha habari kingetoa taarifa za kupotosha kuhusu Tanzania kisha…

account_circle
Kenny Mmari Snr.(@KennedyMmari) 's Twitter Profile Photo

Waziri Bashe anapenda sekta yake.

Panga imechomolewa alani Kenya, na Tanzania wamechomoa ya kwao.

Jukwaa wanalotumia kutoa tuhuma, ndiyo jukwaa linalotumika kutoa majibu. Hii ni nzuri katika kuweka rekodi sawa.

account_circle
Kenny Mmari Snr.(@KennedyMmari) 's Twitter Profile Photo

Mheshimiwa Balozi,
Why not encourage BYD to establish EV dealerships in Tanzania? While our market may still be nascent, the potential for Tanzania to emerge as a gateway and hub for East, Central, and Southern Africa in the coming years and decades is undeniable.

account_circle
Kenny Mmari Snr.(@KennedyMmari) 's Twitter Profile Photo

On behalf of the people of Stanza, I wholeheartedly denounce the appalling police brutality witnessed in the US. Such actions not only undermine democratic values within the US but also tarnish the image of ‘our friends and allies” in the international community.

No student…

account_circle