Daktari Wa Manesi πŸ’‰πŸ’Š(@McinikaWaLamar) 's Twitter Profileg
Daktari Wa Manesi πŸ’‰πŸ’Š

@McinikaWaLamar

Social Media Influencer | Fitness Trainer | Vegetarian | Mwananchi Wa Kawaida | Mswahili ©️ | Founder : @marathonlovers

ID:2341919865

linkhttps://www.clubhouse.com/@daktariwamanesi?utm_medium=ch_profile&utm_campaign=za_lo59B1vObisb00HyytQ calendar_today13-02-2014 19:51:32

167,0K Tweets

600,5K Followers

1,5K Following

Baraka Maviatu πŸ‘žπŸ‘ŸπŸ₯ΎπŸ›οΈπŸ›’(@BarakaSaimon3) 's Twitter Profile Photo

Hii si ya kukosa

Tarehe Nov 3-5 Dar Construction Expo wanafanya maonyesho katika ukumbi wa JNICC
Wewe kama mdau ambaye upo kwenye sekta ya ujenzi, msanifu majengo, mhandisi au mfanyabiashara wa vifaa vya ujenzi,

Jisajili hapa na nunua tickets mapema .
bit.ly/3gRNDan

Hii si ya kukosa Tarehe Nov 3-5 Dar Construction Expo wanafanya maonyesho katika ukumbi wa JNICC Wewe kama mdau ambaye upo kwenye sekta ya ujenzi, msanifu majengo, mhandisi au mfanyabiashara wa vifaa vya ujenzi, Jisajili hapa na nunua tickets mapema . bit.ly/3gRNDan
account_circle
SANUKAnaCHAPO(@chapo255) 's Twitter Profile Photo

Mpira umeisha nirudi kigamboni sasa nikampuzishe fuvu, @LittleRideTz wananipa tafu hadi getini.

Ukitumia promo cose β€˜CHAPO’ kuna punguzo la bei hadi 4,000/= kwa kila safari

Ipo Play store na App store: tinyurl.com/yckb97mn

Mpira umeisha nirudi kigamboni sasa nikampuzishe fuvu, @LittleAppTz wananipa tafu hadi getini. Ukitumia promo cose β€˜CHAPO’ kuna punguzo la bei hadi 4,000/= kwa kila safari Ipo Play store na App store: tinyurl.com/yckb97mn
account_circle
Daktari Wa Manesi πŸ’‰πŸ’Š(@McinikaWaLamar) 's Twitter Profile Photo

Mashabiki wa Simba nawapa ofa ya usafiri sasa download Little ride kisha request ndinga Promo code andika 'Mcinika' upate punguzo la Tsh 4,000 katika safari yako

account_circle
πŒπ€π‘π‹π„π˜(@funjojr) 's Twitter Profile Photo

Mchongo ni @LittleRideTz wanetu, na ma weekend haya, tuwaachie kazi ya kututoa tulipo kutupeleka home, ama kutupeleka tunapotaka kwenda.

Promo code FUNJOMASTA upate zako punguzo la nauli

Mchongo ni @LittleAppTz wanetu, na ma weekend haya, tuwaachie kazi ya kututoa tulipo kutupeleka home, ama kutupeleka tunapotaka kwenda. Promo code FUNJOMASTA upate zako punguzo la nauli
account_circle
TASSAA STUDY ABROAD(@tassaa99) 's Twitter Profile Photo

Baada ya kumaliza MD pale Kairuki, Hilal Bagrasein anategemea TASSAA STUDY ABROAD tumsaidie kupata masters degree nje ya nchi.
Twitter ushauri: Akasome masters ipi na nchi gani?

Baada ya kumaliza MD pale Kairuki, @HilalBagrasein anategemea @tassaa99 tumsaidie kupata masters degree nje ya nchi. Twitter ushauri: Akasome masters ipi na nchi gani?
account_circle
Mwaki(@Officialsam28) 's Twitter Profile Photo

Wikiendi ya Mwisho hii Dar Construction Expo2022 inakupa Nafasi ya Kujipatia
'FREE TICKETS' Yako HapaπŸ‘‡
eventbrite.com/e/dar-construc…
Kwa Mdau ambaye upo Sekta ya Ujenzi, Mfanyabiashara wa Vifaa vya Ujenzi,Msanifu Majengo, Developers,Mhandisi.

Wikiendi ya Mwisho hii Dar Construction Expo2022 inakupa Nafasi ya Kujipatia 'FREE TICKETS' Yako HapaπŸ‘‡ eventbrite.com/e/dar-construc… Kwa Mdau ambaye upo Sekta ya Ujenzi, Mfanyabiashara wa Vifaa vya Ujenzi,Msanifu Majengo, Developers,Mhandisi.
account_circle
Daktari Wa Manesi πŸ’‰πŸ’Š(@McinikaWaLamar) 's Twitter Profile Photo

Usipange kukosa

Tarehe Nov 3-5 Dar Construction Expo wanafanya maonyesho katika ukumbi wa JNICC
Wewe kama mdau ambaye upo kwenye sekta ya ujenzi, msanifu majengo, mhandisi au mfanyabiashara wa vifaa vya ujenzi,

Jisajili hapa na nunua tickets mapema .
bit.ly/3gRNDan

Usipange kukosa Tarehe Nov 3-5 Dar Construction Expo wanafanya maonyesho katika ukumbi wa JNICC Wewe kama mdau ambaye upo kwenye sekta ya ujenzi, msanifu majengo, mhandisi au mfanyabiashara wa vifaa vya ujenzi, Jisajili hapa na nunua tickets mapema . bit.ly/3gRNDan
account_circle
MIRIAMπŸ’œ(@MiriamMkanaka) 's Twitter Profile Photo

Unaweza kuamka mzima ukalala si mzima Bima ya afya ni muhimu sana CRDB Bank PLC wanasema kama huwezi kukata bima pekee yako kwa ajili ya gharama mnaweza kata kwa vikundi.

Mkiwa zaidi ya wanachama 10 mtapunguziwa asilimia 5% ya kiwango kitakacho tajwa.

|

account_circle
Fred Kavishe(@fredkavishe) 's Twitter Profile Photo

'Wakati ni ukuta kuna wakati wa furaha,vicheko kuna nyakati za huzuni na majonzi.

Kuna wakati wa afya njema kuna wakati wa magonjwa mengi kila siku ya maisha yetu ni mitihani hatujui kesho yetu ipi'Juma

Juma ni mwajiriwa kuna wazazi wake hawakuwa na Bima ya Afya.

account_circle
Fortunatus Buyobe(@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Wiki mbili Kabla ya tukio, Mbunge mtundu alienda kwenye Msiba kijijini kwao Ikongo Mkoani Sidangi.

Kikawaida hakuwa mtu wa kuelezea masaibu yake anayopitia kwa ndugu zake,

Alikuwa ni mtu jasiri kila tazizo akipambana nalo.

Lakini hapa msibani akavunja ukimya.

Wiki mbili Kabla ya tukio, Mbunge mtundu alienda kwenye Msiba kijijini kwao Ikongo Mkoani Sidangi. Kikawaida hakuwa mtu wa kuelezea masaibu yake anayopitia kwa ndugu zake, Alikuwa ni mtu jasiri kila tazizo akipambana nalo. Lakini hapa msibani akavunja ukimya.
account_circle
Black_TouristπŸ‘¬(@Babawawili_2) 's Twitter Profile Photo

Mimi Nishawapigia Kura WATERCOM
Katika Vipengele Vyote Walivyopendekezwa na ccawardsafrica

Kwa Sababu Bidhaa Zao Zina Viwango Na Bora Vya Kushinda Hizi Tuzo

Hata Wewe Unaweza Kupiga Kura Kwa Kutembelea Website Hii Chini πŸ‘‡

ccawardsafrica.co.tz

Soma Bango Maelezo Zaidi

Mimi Nishawapigia Kura WATERCOM Katika Vipengele Vyote Walivyopendekezwa na @ccawardsafrica Kwa Sababu Bidhaa Zao Zina Viwango Na Bora Vya Kushinda Hizi Tuzo Hata Wewe Unaweza Kupiga Kura Kwa Kutembelea Website Hii Chini πŸ‘‡ ccawardsafrica.co.tz Soma Bango Maelezo Zaidi
account_circle
Daktari Wa Manesi πŸ’‰πŸ’Š(@McinikaWaLamar) 's Twitter Profile Photo

Je Kikundi chenu kina bima?,

Mwanachama 1 akichangia laki 3 na nusu kwa mwaka anaweza kutibiwa kwa Tsh 2M mwanachama 1 akimbeba mwenzake anachangia laki 5 anatibiwa mpaka kwa Tsh 2.5M mwanachama mmoja akibeba wenzake 2 anachangia laki 6 anapata Million 3

account_circle