Milele FM
@Milele_FM
Milele Fm, Washa Milele, Fika Kilele, is the leading Swahili Radio station in Kenya .
ID:360486564
http://www.milelefm.co.ke 23-08-2011 08:43:48
837,3K Tweets
385,0K Followers
958 Following
Leo ndani ya Katiana ni rastaman Hillary.
Yeye anataka mtu ambaye hapaki makeup na ni natural.
Kama unamtaka rastaman tuma SMS tukuunganishe naye.
Meshack Jillani
#MileleDrive
Karibu ndani ya Milele drive na meshack dzombo mpaka saa nne usiku.
Unaskiza show ukiwa maeneo gani?
#MileleDrive
Karibu ndani ya #ShowKonki na malikia wa kizazi kipya Malkia wa kizazi kipya 🌟 na MULAMWAH™ .
Unaskiza show ukiwa maeneo gani?
Mgeni wetu wa leo ni Pamela Otieno kutoka Biovision. Uko na swali gani kwa mgeni wetu? #MileleMidMorning Mercy Tyra Murengu Mitch
Tuko ndani ya #MileleMidMorning kuanzia 10.00am hadi 2.00pm. Unatupata ukiwa wapi? Mercy Tyra Murengu Mitch
Eric kutoka Embu amekuwa na mpenzi tangu 2020 ila wiki jana mpenzi wake alimwambia hataki mapenzi tena. Eric afanye vipi? #LuchivyaNaWilbrodaMilele Francis Luchivya Wilbroda (Jacquey Nyaminde)
Hon Oparanya amewajibu wambea 🤣 #LuchivyaNaWilbrodaMilele Francis Luchivya Wilbroda (Jacquey Nyaminde)
Karibu ndani ya number one breakfast show tukiwa naye Kigogo Francis Luchivya kuanzia 6.00am hadi 10.00am. Unatupata ukiwa maeneo gani? #LuchivyaNaWilbrodaMilele