๐ˆฬ๐ฆ๐ฆ๐š๐ง๐ฎ๐ž๐ฅ(@Njamasi__) 's Twitter Profileg
๐ˆฬ๐ฆ๐ฆ๐š๐ง๐ฎ๐ž๐ฅ

@Njamasi__

Mpwapwa home!!

ID:1638046931573153792

calendar_today21-03-2023 05:17:06

101,9K Tweets

10,8K Followers

925 Following

Jabiry(@Jabirysuleiman7) 's Twitter Profile Photo

Kama aliweza kukuacha bila sababu yeyote ya msingii basii Kuwa nae makini anaweza akarudii Kwa kisingizio Fulani

account_circle
The pama๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@pama_maganza) 's Twitter Profile Photo

Imagine unaenda kwa mpenzi wako alafu unawasikia majirani wanasema, Huyu atawamaliza na UKIMWI.

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

account_circle
m.s.a.k.i โ€ (@raphyrodrick) 's Twitter Profile Photo

Usiwaze utapata wapi suti kali maana suit_mseleleko tuna official suits kali kwa 180,000, unapata Three pieces (koti, suruali na kizibao)

Location: Msimbazi kariakoo , Mtaa wa Mchikichi na Manyema (Nyuma ya jengo la club ya simba)

๐Ÿ“ž 0762617089

Delivery popote tunafanya ๐Ÿššโœˆ๏ธ

Usiwaze utapata wapi suti kali maana @suitmseleleko tuna official suits kali kwa 180,000, unapata Three pieces (koti, suruali na kizibao) Location: Msimbazi kariakoo , Mtaa wa Mchikichi na Manyema (Nyuma ya jengo la club ya simba) ๐Ÿ“ž 0762617089 Delivery popote tunafanya ๐Ÿššโœˆ๏ธ
account_circle
Master_plan๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@Master_plan88) 's Twitter Profile Photo

Tunaishi Kwenye Dunia Ambayo Wanaume na Wanawake Wengi Wanaingia Kwenye Mahusiano sio Wakihitaji Penzi bali Kusaidiwa, Hawahitaji Moyo Wako Wanahitaji MFUKO WAKO.....

Kumjua wa Kweli imekuwa Ngumu Mkuu Amua Kwa BUSARA.๐Ÿซก

account_circle
Bob kipara(@_yourBoyli4) 's Twitter Profile Photo

Kuna vitu Ronaldo anavyo huwezi kuvikuta kwa Messi na kuna vitu Messi anavyo huwezi kuvikuta kwa Ronaldo, But They are the best๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ™Œ๐Ÿป

Kuna vitu Ronaldo anavyo huwezi kuvikuta kwa Messi na kuna vitu Messi anavyo huwezi kuvikuta kwa Ronaldo, But They are the best๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ™Œ๐Ÿป
account_circle