Presenter Noah (@presenternoah) 's Twitter Profile
Presenter Noah

@presenternoah

Just a Local Man | Cars 🚘

ID: 1391718177097371648

linkhttps://g.co/kgs/mi6kRiJ calendar_today10-05-2021 11:34:18

147,147K Tweet

172,172K Followers

659 Following

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Hey US Embassy Tanzania Ambassador Michael Battle my safety in TANZANIA by now is 0%. They are planning to abduct me once again as they say "they have unfinnished business with me". My pinned post through this page says it all who did the first attempt 23/6/2024 to kill me Department of State State Department: Democracy, Human Rights, & Labor

Hey <a href="/usembassytz/">US Embassy Tanzania</a> <a href="/USAmbTanzania/">Ambassador Michael Battle</a>  my safety in TANZANIA by now is 0%.

They are planning to abduct me once again as they say "they have unfinnished business with me".

My pinned post through this page says it all who did the first attempt 23/6/2024 to kill me

<a href="/StateDept/">Department of State</a> <a href="/StateDRL/">State Department: Democracy, Human Rights, & Labor</a>
Presenter Noah (@presenternoah) 's Twitter Profile Photo

Zamani wakati nina ndoto za kuja kua Rais wa nchi siku moja, kuna mzee aliniambia kua Rais wa nchi ni lazima aangalie taarifa ya habari kwenye vyombo vya habari tofauti tofauti na asome magazeti kila siku. La ahadithiwe habari au asomewe magazeti. But mpaka muda huu nahisi yule

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Jeshi la Polisi limesema linaendelea na uchunguzi wa tukio la kusikitisha la mauaji ya Kiongozi wa CHADEMA, Ali Kibao na timu ya uchunguzi wa matukio makubwa toka Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai toka Makao Makuu imetumwa kuongeza nguvu kwenye timu ya awali ili

Jeshi la Polisi limesema linaendelea na uchunguzi wa tukio la kusikitisha la mauaji ya Kiongozi wa CHADEMA, Ali Kibao na timu ya uchunguzi wa matukio makubwa toka Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai toka Makao Makuu imetumwa kuongeza nguvu kwenye timu ya awali ili
Jogoo la Shamba Mjini (@jmariotz) 's Twitter Profile Photo

UVCCM mnaongozwa na akili ndogo mno, hivi how come that guy alipata nafasi kubwa na nyeti kama ile ndani ya chama? Inasikitisha.

Presenter Noah (@presenternoah) 's Twitter Profile Photo

Tanzania imekua ikisifika kwa Upendo na amani na watu wake kua wakarimu kwa muda mrefu lakini kuna watu wachache wanataka kuitia doa sifa hii Matukio ya watu kutekwa kuuwawa, na kupotea katika mazingira yakutatanisha yamekua mengi kwa siku za hivi karibuni, familia zinapoteza

Webiro Wakazi Wassira #TheLeader (@wakazi) 's Twitter Profile Photo

I AM READY TO DIE FOR MY COUNTRY, BUT NOT TO BE KILLED BY IT. Sio kwenye filamu, sio kwa kushuhudia kwa macho… Nimeona jinsi nchi zingine ambavyo wanayapa maisha ya kila mtu kipaumbele! Jeshi la Marekani wana kitu kinaitwa NO MAN LEFT BEHIND. Yaani hata ukichukuliwa mateka,

I AM READY TO DIE FOR MY COUNTRY, BUT NOT TO BE KILLED BY IT.

Sio kwenye filamu, sio kwa kushuhudia kwa macho… Nimeona jinsi nchi zingine ambavyo wanayapa maisha ya kila mtu kipaumbele! 

Jeshi la Marekani wana kitu kinaitwa NO MAN LEFT BEHIND. Yaani hata ukichukuliwa mateka,