Radio 47(@Radio47KE) 's Twitter Profileg
Radio 47

@Radio47KE

Stesheni inayovuma kwa kasi zaidi.... Na Bado! ☎️ +254793047047 or WhatsApp πŸ“±+254719739487

ID:1561617605626060802

linkhttps://radio47.fm calendar_today22-08-2022 07:34:02

66,1K Tweets

18,2K Followers

70 Following

Evans Serede(@evansserede28) 's Twitter Profile Photo

Radio 47 Radio 47 Mkamburi Chigogo si vibaya kula kwa mwanaume chakula lala,bore imechemka iwe moto,hata chukula watu wengi huwekwa kwa fridge na unachemusha ,nikiwa Embakasi nawakilisha show kama kawaida

account_circle
Pascal Kwena Wa The Exodus shop Makwara(@PascalKwena) 's Twitter Profile Photo

Radio 47 Chakula ni kuliwa kikiwa freshy,,ndio Nile nkimsifu mtoto wa mama mkwe..kipikwe Ile aroma niipate Toka Kule jikoniiiii kama Bado nmeketi sebuleni,,unavyo vichikicha viungo vipate kupandisha hamu ya kukila chakula hicho..oven ama fridge ya nn?..

account_circle
Muyoti Abdul Malik(@MuyotiM96697) 's Twitter Profile Photo

Radio 47 Hello it's muyoti Abdul Malik from makwara... Busia kwa mada.. ukweli ni kwamba itategemea ni chakula gani.. alaf matembezi Yako ni yapi. Inaeza kupata on time... Alaf hiyo swali ni ya wale wanajiweza I hope so 🀣🀣🀣πŸ”₯

account_circle
Radio 47(@Radio47KE) 's Twitter Profile Photo

The Ministry of Education has revised the half-term break dates for pre-primary, primary, and secondary schools.
The new dates are June 26th to 30th, replacing the initial dates of June 20th to 23rd, 2024.

The Ministry of Education has revised the half-term break dates for pre-primary, primary, and secondary schools. The new dates are June 26th to 30th, replacing the initial dates of June 20th to 23rd, 2024. #HapaNdipo
account_circle
Radio 47(@Radio47KE) 's Twitter Profile Photo

Kenya Association of Manufacturers says price of a litre of cooking will rise to over Ksh450 due to new taxes proposed in Finance Bill 2024.

Kenya Association of Manufacturers says price of a litre of cooking will rise to over Ksh450 due to new taxes proposed in Finance Bill 2024. #HapaNdipo
account_circle
sheldon simbah shap(@SShap26074) 's Twitter Profile Photo

Radio 47 Nafikiria ni vema mume ukimbatie majukumu yako kwa vyovyote ville..mwenzako iwek kwa hiari tu akitaka ..ama kila mtu ajue 🀣

account_circle
Bonventure Makari(@BonventureMaka4) 's Twitter Profile Photo

Radio 47 Hapa Kaunda Village Lusumu Navakholo sub county tuko tuned in hadi tamati tunategea kipindi pamoja na my yf Joan Wangwe

account_circle