KBC Radio Taifa(@RadioTaifaFM) 's Twitter Profileg
KBC Radio Taifa

@RadioTaifaFM

Ukurasa Rasmi wa KBC Radio Taifa. Stesheni ya shirika la utangazaji nchini KBC, Inayoongoza kwa vipindi komavu na watangazaji wenye tajriba.

ID:1410105788

linkhttps://radiotaifa.kbc.co.ke/ calendar_today07-05-2013 12:11:20

87,4K Tweets

67,5K Followers

1,0K Following

Follow People
KBC Radio Taifa(@RadioTaifaFM) 's Twitter Profile Photo

Shirika la msalaba mwekundu humu nchini limeonya wakazi wanaoishi pembezoni mwa kunakopita reli ya Old Kijabe kuchukua tahadhari mapema.
^FN

Shirika la msalaba mwekundu humu nchini limeonya wakazi wanaoishi pembezoni mwa kunakopita reli ya Old Kijabe kuchukua tahadhari mapema. #KBCRadioTaifa ^FN
account_circle
KBC Radio Taifa(@RadioTaifaFM) 's Twitter Profile Photo

Mwanaume mmoja mwenye umri wa kati amehukumiwa kifungo cha miaka 18 jela baada ya kupatikana na hatia ya kumnajisi msichana wa miaka 12 huko Busia.
^FN

Mwanaume mmoja mwenye umri wa kati amehukumiwa kifungo cha miaka 18 jela baada ya kupatikana na hatia ya kumnajisi msichana wa miaka 12 huko Busia. #KBCRadioTaifa ^FN
account_circle
KBC Radio Taifa(@RadioTaifaFM) 's Twitter Profile Photo

'Pale tunaambiwa twende ni maji' ... Wakazi wa kijiji cha Kenton mpakani mwa kaunti za Kiambu, Nyandarua na Nakuru wanaishi kwa hofu baada ya ardhi wanakoishi kuanza kumomonyoka kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha.
^FN

account_circle
KBC Radio Taifa(@RadioTaifaFM) 's Twitter Profile Photo

Karibu ndani ya ; wakati wa kujibamba ngoma za Rege umebisha.....

Sign In mwana Radio Taifa..... ..Leo unataka kuchezewa kibao kipi ...?
^FN

Karibu ndani ya #ReggaeVibes ; wakati wa kujibamba ngoma za Rege umebisha..... Sign In mwana Radio Taifa..... ..Leo unataka kuchezewa kibao kipi ...? #KBCRadioTaifa ^FN
account_circle
KBC Radio Taifa(@RadioTaifaFM) 's Twitter Profile Photo

Kocha wa zamani wa Man United Ralf Rangnick amekataa pendekezo la kujiunga na klabu ya Bayern Munich kutokana na kile amesema ni sababu za kifamilia.
^FN

Kocha wa zamani wa Man United Ralf Rangnick amekataa pendekezo la kujiunga na klabu ya Bayern Munich kutokana na kile amesema ni sababu za kifamilia. #KBCRadioTaifa ^FN
account_circle
KBC Radio Taifa(@RadioTaifaFM) 's Twitter Profile Photo

Rais William Ruto amempandisha cheo luteni Jenerali Charles Muriu Kahariri mpaka kwenye hadhi ya Jenerali na kumteua Moja kwa Moja kuwa mkuu mpya wa Majeshi ya Ulinzi ya Kenya (KDF)
^FN

Rais William Ruto amempandisha cheo luteni Jenerali Charles Muriu Kahariri mpaka kwenye hadhi ya Jenerali na kumteua Moja kwa Moja kuwa mkuu mpya wa Majeshi ya Ulinzi ya Kenya (KDF) #KBCRadioTaifa ^FN
account_circle
KBC Radio Taifa(@RadioTaifaFM) 's Twitter Profile Photo

Eliud Kipchoge: Naamini katika mazoezi yangu na kama yote yatakuwa sawa nitashinda mashindano ya riadha ya Olimpiki, Paris 2024
^FN

account_circle