KBC Radio Taifa
@RadioTaifaFM
Ukurasa Rasmi wa KBC Radio Taifa. Stesheni ya shirika la utangazaji nchini KBC, Inayoongoza kwa vipindi komavu na watangazaji wenye tajriba.
ID:1410105788
https://radiotaifa.kbc.co.ke/ 07-05-2013 12:11:20
87,8K Tweets
67,9K Followers
1,0K Following
Follow People
Majina yote mazuri ni Yako
Nikuite jina gani Jina Bwana!
#MwambaWaBaraka
KBC Radio Taifa
Dorah Manya
Je ume update meter token Yako?Kama Bado,ni Kwa Nini?
Afisa wa Kenya Power Engineer Raphael Ndolo Yuko nasi,,una swali?
#Zinga
Dorah Manya
Rashid Mwamkondo
KBC Radio Taifa
The Kenya Power & Lighting Company Plc.
The Kenya Power & Lighting Company Plc._Care
Mzima ulipo?
Team #Zinga Rashid Mwamkondo na Dorah Manya tayari kwa kazi
Unatupata ukiwa wapi?
KBC Radio Taifa
Himizo la siku up next
Joshua 24:15
Mimi na nyumba yangu tunamtumikia Bwana
#MwambaWaBaraka
KBC Radio Taifa
Dorah Manya
Happy Father's Day kwa akina baba wote
Karibu kwa ibaada ya #MwambaWaBaraka na Dorah Manya .Unabarikiwa ukiwa wapi? KBC Radio Taifa
Ni kipi ulifurahia katika makadirio ya Bajeti iliyosomwa Jana?Una swali kwa wageni wetu studioni? #Zinga
Dorah Manya
Elias Kipchumba
IBP_SA
KBC Radio Taifa
Sasa hivi mjadala kuhusu mtoto wa kiafrika
Unafahamu haki za watoto?
Tunaangazia siku ya mtoto wa kiafrika to be celebrated on Sunday 16th June
#Zinga
KBC Radio Taifa
Dorah Manya
Leo Waziri Prof Njuguna Ndung'u atasoma Bajeti ya mwaka 2024/2025.Tupe matarajio yako...Ni sekta gani unahisi inafaa kutengewa pesa zaidi? #Zinga
Dorah Manya
Rashid Mwamkondo
KBC Radio Taifa
Sasa hivi ndani ya #Zinga
Gumzo Pevu
Una swali kuhusu mswaada wa Fedha mwaka 2024?
Bidhaa zipi unahisi hazifai kuongezwa ushuru?
KBC Radio Taifa
Dorah Manya
Rashid Mwamkondo
#Zinga