M.D (๐Ÿ…จ) (@regantesha_) 's Twitter Profile
M.D (๐Ÿ…จ)

@regantesha_

M.D & Life Coach ๐ŸŒณ

โœŠ๐ŸฟGOD FIRST | TIME WILL TELL | TUISHIโœŠ๐Ÿฝ
๐Ÿ“ž 0716006808

ID: 1279039735906938881

calendar_today03-07-2020 13:10:26

91,91K Tweet

103,103K Followers

3,3K Following

M.D (๐Ÿ…จ) (@regantesha_) 's Twitter Profile Photo

So only thing the government can offer to us ni Salamu za rambirambi kutoka kwa Kiongozi atakaeteuliwa. Suala la usalama wetu ni juu yetu na Mungu wetu.

M.D (๐Ÿ…จ) (@regantesha_) 's Twitter Profile Photo

Lema anamuomba Waziri Wa Mambo ya Ndani angalau wamuache aje ashuhudie Send-off ya Binti yake. ๐Ÿ’”๐Ÿฅฒ Yaani imefikia hatua watu kuamini uhai wetu upo chini ya Viongozi. Really? Hili ndilo Taifa la amani?

M.D (๐Ÿ…จ) (@regantesha_) 's Twitter Profile Photo

Jeshi la Polisi haliombi taarifa huwa linazitafuta kwa kutumia intelligence yao. Hivyo hii statement imekaa kimkakati tu sababu wanaelewa fika kabisa watu wanapenda kuskia maneno ya kudanganywa.

Bob Chacha Wangwe (@bobwangwe) 's Twitter Profile Photo

Updates: Kesi ya maombi ya ruhusa ya kufungua shauri la kupinga TAMISEMI kusimamia Uchaguzi. Mahakama imetupilia mbali mapingamizi manne ya Upande wa Serikali. Maombi yetu yamekubaliwa na ruhusa imetolewa kufungua shauri hilo la Judicial Review.

Thomas J. Kibwana (@thomasjkibwana) 's Twitter Profile Photo

Tume ya Kijaji ya Kimahakama (Judicial Commission of Inquiry) ni tume inayoundwa rasmi na mamlaka ya kiserikali, kawaida kwa madhumuni ya kuchunguza masuala maalum ya umma au migogoro, kwa mujibu wa sheria au maamuzi ya serikali. Mara nyingi hufanywa ili kuchunguza masuala yenye

M.D (๐Ÿ…จ) (@regantesha_) 's Twitter Profile Photo

Mdomo ni chanzo cha mabaya na mazuri mengi sana. Viongozi wetu wanatakiwa kuwa makini sana na kauli wanazozitoa kwani zinaweza kuamua kuua au kuliponya Taifa. Leo hii Kiongozi anaweza kuhusishwa na mambo makubwa mabaya hata yatakayoishi vizazi na vizazi sababu ya neno moja tu.

fatma karume aka Shangazi (@fatma_karume) 's Twitter Profile Photo

Wapinzani wanatekwa. Watu wanalalamika. Rais anasema โ€œAcheni Dramaโ€. Wapinzani wanatekwa. Watu wanalalamika. Rais anasema โ€œTanpol wanafanya kazi nzuriโ€ Wapinzani wanatekwa na kuuwawa. Watu wanalamika Rais ana-tweet na kutuma pesa za rambirambi! Watu wana HASIRA kweli! Careful!

M.D (๐Ÿ…จ) (@regantesha_) 's Twitter Profile Photo

Wow! Kumbe kuna watu ambao Mahakama zao zinaweza kuamua kulinda rasilimali zao bila kujali nani kafanya maamuzi. Safi sana ๐Ÿ‘๐Ÿฝ๐Ÿ‘๐Ÿฝ

Joseph Mbilinyi (@therealjongwe) 's Twitter Profile Photo

Tumeshamzika Mzee wetu Meddy Tanga, sasa waachieni huru Kipanya wa Rukwa na Soka na wenzake wa Dar pamoja na wengine wote mnaowashikilia NB:Kama nao mmeshawaua na kuwamwagia tundikali, basi nendeni mkawatupe pale pale UNUNIO mnapotutupaga angalau tuipate miili yao tujue moja ๐Ÿ˜ญ

Tumeshamzika Mzee wetu Meddy Tanga, sasa waachieni huru Kipanya wa Rukwa na Soka na wenzake wa Dar pamoja na wengine wote mnaowashikilia
NB:Kama nao mmeshawaua na kuwamwagia tundikali, basi nendeni mkawatupe pale pale UNUNIO mnapotutupaga angalau  tuipate miili yao tujue moja ๐Ÿ˜ญ
M.D (๐Ÿ…จ) (@regantesha_) 's Twitter Profile Photo

Serikali haitekelezi masuala mengi sana ya muhimu kwa sababu tu ushauri au mapendekezo ya suala hilo yametolewa na Wapinzani. Na sometimes hutelekeza kwa namna ya tofauti ili tu kuonyesha Serikali ina nguvu na inaweza kufanya chochote mwisho Taifa linaingia hasara.

M.D (๐Ÿ…จ) (@regantesha_) 's Twitter Profile Photo

Ok! Tuachane na suala la Watekaji hawa wauaji wakubwa kwenye nchi yetu. Tuje kwetu sisi Wananchi, Je! Tunajali kuhusu uhai wa wengine? Mzee wetu anatolewa uhai kwa sababu tu waliomteka waliingia kwenye gari na bunduki au hakuna aliefanya juhudi zozote kuokoa uhai wake.

M.D (๐Ÿ…จ) (@regantesha_) 's Twitter Profile Photo

So mshkaji yupo sehemu ambapo hana mawasiliano na yeyote na yeyote anayemjua. Anakula asichokitaka, Anaongea asivyovitaka, Amejaa hofu muda wote labda kwa mateso na maumivu makali. Huyu Mshkaji sio kwamba ameua au labda ni jambazi NO! Amechagua tu kuikosoa Serikali. ๐Ÿ’”๐Ÿ’”

So mshkaji yupo sehemu ambapo hana mawasiliano na yeyote na yeyote anayemjua. Anakula asichokitaka, Anaongea asivyovitaka, Amejaa hofu muda wote labda kwa mateso na maumivu makali. Huyu Mshkaji sio kwamba ameua au labda ni jambazi NO! Amechagua tu kuikosoa Serikali. ๐Ÿ’”๐Ÿ’”
M.D (๐Ÿ…จ) (@regantesha_) 's Twitter Profile Photo

Wanaoamua Taifa liwe na nuru au giza ni VIONGOZI wenye mamlaka kwenye Mataifa hayo.. Kulewa madaraka, Kupuuza sauti ya Umma, tamaa ya madaraka na kuweka ubinafsi mbele hakuwezi kuliweka Taifa lolote salama hasa ikiwa unaowaongoza ni watu timamu. Mungu atusaidie sana.

M.D (๐Ÿ…จ) (@regantesha_) 's Twitter Profile Photo

Mnaletewa Mamluki wa CCM humu mnaonyeshwa picha ya paja tu mnasahau kila kitu mnaanza kujadili mapaja.. Humu tunajisifu tu ila kimsingi ni moja ya platform yenye ujinga mwingi sana.