M.D (πŸ…¨)(@ReganTesha_) 's Twitter Profileg
M.D (πŸ…¨)

@ReganTesha_

M.D & Life Coach 🌳

✊🏿GOD FIRST | TIME WILL TELL | TUISHI✊🏽
πŸ“ž 0716006808

ID:1279039735906938881

calendar_today03-07-2020 13:10:26

88,5K Tweets

97,0K Followers

3,8K Following

M.D (πŸ…¨)(@ReganTesha_) 's Twitter Profile Photo

Zikiwekwa lines 2 then tukaambiwa line 1 waende wanaotaka kupata pesa na line ya 2 waende wanaotaka kutafuta pesa basi line ya 2 huenda ikakosa watu au wakaenda wachache sana.

The reason is Wengi hatupo tayari kukosa au kupoteza..

account_circle
M.D (πŸ…¨)(@ReganTesha_) 's Twitter Profile Photo

Kwenye kutafuta maisha elewa una marafiki wachache sana au hauna kabisa...
Take care carefully πŸ™‡πŸΎβ€β™‚οΈ

account_circle
M.D (πŸ…¨)(@ReganTesha_) 's Twitter Profile Photo

Kwenye kukimbizia pesa (fursa) kuna possibility ya kupoteza pesa nyingi kuliko hizo unazozitamani.. Take care.. πŸ‘ŠπŸ½

account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

Naibu Waziri wa Elimu, Omary Kipanga, amesema kuwa katika sera mpya inayotarajiwa kuzinduliwa hapo baadaye, elimu ya msingi itakomea darasa la 6 na hakutakuwa na mtihani wa mwisho wa elimu ya msingi na kwamba mtihani utakuwa ni kidato cha nne tu.

#HABARI Naibu Waziri wa Elimu, Omary Kipanga, amesema kuwa katika sera mpya inayotarajiwa kuzinduliwa hapo baadaye, elimu ya msingi itakomea darasa la 6 na hakutakuwa na mtihani wa mwisho wa elimu ya msingi na kwamba mtihani utakuwa ni kidato cha nne tu. #EastAfricaRadio
account_circle
M.D (πŸ…¨)(@ReganTesha_) 's Twitter Profile Photo

Najaribu kujitengenezea Monthly budget hapa, naona kabisa watu tunaishi kwa neema za Mungu tu πŸ™ŒπŸ˜„.
Yaani kila nikijaribu kubalance Kipato na Matumizi naona mzani unalalia upande wa matumizi tuπŸ™„.

Najaribu kujitengenezea Monthly budget hapa, naona kabisa watu tunaishi kwa neema za Mungu tu πŸ™ŒπŸ˜„. Yaani kila nikijaribu kubalance Kipato na Matumizi naona mzani unalalia upande wa matumizi tuπŸ™„.
account_circle
M.D (πŸ…¨)(@ReganTesha_) 's Twitter Profile Photo

Kwenye mdomo na akili yako pendelea kuongea au kutafakari vitu ambavyo hauna (Unavyotamani kuwa navyo). Hiyo itakusaidia katika kukujenga na mwisho kupata njia bora ya kuvifikia. ✊🏽

account_circle
Dr. Mlaluko, MD(@drmlalukoMD) 's Twitter Profile Photo

: KUKATWA KIMEO (UVULECTOMY)

Kimeo (uvula) ni sehemu ya kinywa inayosaidia kusukuma chakula. Baadhi ya watu wanaamizi Kimeo kinafanya mtu kuwa anakohoakohoa, hivyo hulazimishwa kukatwa kienyeji.

Wataalamu wa kinywa, sikio na koo hawashauri kabisa kitendo hicho.

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡RT

#FAHAMU: KUKATWA KIMEO (UVULECTOMY) Kimeo (uvula) ni sehemu ya kinywa inayosaidia kusukuma chakula. Baadhi ya watu wanaamizi Kimeo kinafanya mtu kuwa anakohoakohoa, hivyo hulazimishwa kukatwa kienyeji. Wataalamu wa kinywa, sikio na koo hawashauri kabisa kitendo hicho. πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡RT
account_circle
M.D (πŸ…¨)(@ReganTesha_) 's Twitter Profile Photo

Kujiajiri kuna changamoto nyingi na ngumu kuliko kuajiriwa. Faida ya hizi changamoto ni kuwa zinakujenga kiakili zaidi.

account_circle
M.D (πŸ…¨)(@ReganTesha_) 's Twitter Profile Photo

Katika harakati za kuvunja miamba migumu kwenye maisha (Kuondokana na umaskini) kamwe usitegemee nyundo (Sururu) la jirani yako.. Ni heri ukatafute zana zako kuliko kusimama kwenye mwamba kusubiri jirani akuazime zana zake.

Sijui unanielewa?? πŸ€”

account_circle