Mishy🇲🇫 (@sharonmontana20) 's Twitter Profile
Mishy🇲🇫

@sharonmontana20

🇷🇼🇺🇬
Queen of WakAnDa (Okukwagala is My Mission)

ID: 1471026929058856962

calendar_today15-12-2021 07:59:02

128,128K Tweet

29,29K Followers

296 Following

Jessie J🌺 (@mrs_pappi) 's Twitter Profile Photo

Shule gani nzuri ya sekondari ambayo mtoto mwenye ndoto ya kuwa mcheza mpira anaweza enda na akaendeleza kipaji chake???? Mtoto wa kike???

CHURA WA LAUTI MKALI (@maestrowafact) 's Twitter Profile Photo

Saikolojia inasema mabuli wengi wana maisha ya upweke hivyo hubuli kama sehemu ya kujifari, pia saikolojia hujazilishia kwa kusema mabuli wengi wana asili ya utesi( psychopath) hali ambayo huwafanya kufurahia maumivu ya watu wengine.

Mishy🇲🇫 (@sharonmontana20) 's Twitter Profile Photo

Hivi Wachina wapoje aiseee 😂 Kuna Mmoja Napiga nae story hapa Ananiambia ana Miaka 40 wakati nikimuangalia anakaa kijana wa 25 🙌🙌😂

169 🍁 (@imdior01) 's Twitter Profile Photo

Si kila muda nikikuambia ukuje unitembelee huwa nataka kukudinya, sometimes huwa nataka tu ukam tutulie tupige story, tuongee kuhusu maisha alafu tukimaliza, round moja sio mbaya jamani..😂😂

Si kila muda nikikuambia ukuje unitembelee huwa nataka kukudinya, 
sometimes huwa nataka tu ukam tutulie tupige story, tuongee kuhusu maisha alafu tukimaliza, round moja sio mbaya jamani..😂😂
Frida .F. Musilimu ✨ (@fmusilimu) 's Twitter Profile Photo

Katika pita pita zangu za kufuta mambo kwenye simu nimekuta message moja nime itwa Angel huko ila you people are big big liars 😂