The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profileg
The Chanzo

@TheChanzo

We Are Bilingual Multimedia Storytellers Looking At The World From Ground Up. Una habari? WhatsApp/Telegram 0753815105

ID:1298181821134446594

linkhttp://www.thechanzo.com calendar_today25-08-2020 08:56:33

7,2K Tweets

62,7K Followers

155 Following

The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profile Photo

Mazungumzo na Dkt. Aikande Clement Kwayu : Anaeleza historia ya uhusiano wa dini na dola hapa Tanzania, mustakabali wa siasa na sera ya mambo ya nje ya Tanzania

youtu.be/Wril1x4GMM8?si…

account_circle
The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profile Photo

Kwa kuomba omba barabarani, mama huyu mkazi wa Dodoma mwenye ulemavu wa macho anayeishi na watoto wake wawili baada ya kuachana na mumewe anasema ameweza kujenga nyumba anayoishi hivi sasa.

account_circle
The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profile Photo

Watanzania Tupo Kwenye Hali Nyerere Alitutahadharisha Nayo: Utii ukizidi unakuwa woga, na uoga huzaa unafiki na kujipendeza

thechanzo.com/2024/04/12/wat…

account_circle
The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profile Photo

Surely Tanzanians Do Not Want to See Their Beloved Leaders Being Humiliated on Their Behalf, Do They?
thechanzo.com/2024/04/12/sur…

account_circle
The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profile Photo

Habari Kubwa Leo Aprili 9, 2024:

⚫️Tanzania yathibitisha askari wake watatu kupoteza maisha DRC

⚫️PPRA yaokoa fedha za umma kiasi cha Shilingi Bilioni 16.27

⚫️Serikali yatangaza kufunguliwa dirisha la usajili wa MAKISATU

⚫️Mufti wa Tanzania atangaza kuwa kesho Aprili 10,2024,…

account_circle
The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profile Photo

Teuzi za Watu Wasio Waadilifu Zinawapa Motisha Viongozi Kutumia Vibaya Ofisi za Umma

Na Tito Magoti, PG

Imekuwa siyo ajabu hapa nchini kwetu Tanzania kusikia mtu anayetuhumiwa kwa uhalifu ameteuliwa kushika ofisi ya umma. Tumeona teuzi nyingi ambazo zinabishaniwa, kwamba, mtu…

Teuzi za Watu Wasio Waadilifu Zinawapa Motisha Viongozi Kutumia Vibaya Ofisi za Umma Na @TitoMagoti Imekuwa siyo ajabu hapa nchini kwetu Tanzania kusikia mtu anayetuhumiwa kwa uhalifu ameteuliwa kushika ofisi ya umma. Tumeona teuzi nyingi ambazo zinabishaniwa, kwamba, mtu…
account_circle
The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profile Photo

Waandishi wa habari watakiwa kuwaeleza vijana fursa kuelekea ukuaji wa uchumi wa buluu katika ziwa Victoria.

account_circle
The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profile Photo

Reflecting on the Lyrical Activism of Wagosi Wa Kaya

By Nicodemus Minde

Bongo Flava music, Tanzania’s brand of hip-hop, has undergone significant transformation. In its inception during the 1990s, the genre was characterised by wordplay, clever and sometimes provocative racy…

Reflecting on the Lyrical Activism of Wagosi Wa Kaya By Nicodemus Minde Bongo Flava music, Tanzania’s brand of hip-hop, has undergone significant transformation. In its inception during the 1990s, the genre was characterised by wordplay, clever and sometimes provocative racy…
account_circle