The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profileg
The Chanzo

@TheChanzo

We Are Bilingual Multimedia Storytellers Looking At The World From Ground Up. Una habari? WhatsApp/Telegram 0753815105

ID:1298181821134446594

linkhttp://www.thechanzo.com calendar_today25-08-2020 08:56:33

7,4K Tweet

63,5K Takipçi

159 Takip Edilen

The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profile Photo

Jumuiya ya Wanawake CCM, LHRC wakerwa na ‘udhalilishaji’ uliofanywa na RC Makonda

'Haikuwa jambo jema, wala siyo jambo zuri hata kidogo. Kama wewe ni kiongoziwa Serikali unamuona Mtendaji wako wa chini amekosea huwezi ukawa na kauli na ulimi usiyokuwa mzuri,' Mary

account_circle
The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profile Photo

Mtaalamu ashauri wananchi waruhusiwe kuendesha, kusimamia hifadhi za taifa.

Mahojiano kamili youtu.be/WYmjzi_fV9w?si…

account_circle
The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profile Photo

Kwa Nini Nchi Zingine za Afrika Hazijiungi na Muungano wa Tanzania Kama Ilivyokuwa Lengo la Awali?
thechanzo.com/2024/04/26/kwa…

account_circle
The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profile Photo

'We are looking more at financing, you will get money but you still need people to sit down and do the work. And for a startup to be able to hire good quality talent. It is expensive.'

account_circle
The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profile Photo

Mtwara: Vichaka kwenye maeneo ya viwanja vya taasisi na watu binafsi vyakera wananchi, wadai vinatishia usalama.

account_circle
The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profile Photo

Wananchi Goba Walilia Dampo Bubu Liendelee Kukaa Kwenye Makazi Yao

Na Lukelo Francis

“Umekuja hapa kufanya nini? Umeambiwa hapa kuna changamoto gani? Nani aliyekuelekeza kuwa huku kuna matatizo, nitajie huyo mtu.” Haya yalikuwa ni maswali niliyokutana nayo mara tu baada ya

Wananchi Goba Walilia Dampo Bubu Liendelee Kukaa Kwenye Makazi Yao Na @FrancisLukelo “Umekuja hapa kufanya nini? Umeambiwa hapa kuna changamoto gani? Nani aliyekuelekeza kuwa huku kuna matatizo, nitajie huyo mtu.” Haya yalikuwa ni maswali niliyokutana nayo mara tu baada ya
account_circle
The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profile Photo

Mamlaka Ngorongoro, Wananchi Wavutana Ufadhili wa Wanafunzi Elimu ya Juu

Kuna sintofahamu inaendelea kati ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) na Baraza la Wafugaji Tarafa ya Ngorongoro (NPC) inayohusiana na madai kwamba mamlaka hiyo imesitisha, bila taarifa, ufadhili wa

Mamlaka Ngorongoro, Wananchi Wavutana Ufadhili wa Wanafunzi Elimu ya Juu Kuna sintofahamu inaendelea kati ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) na Baraza la Wafugaji Tarafa ya Ngorongoro (NPC) inayohusiana na madai kwamba mamlaka hiyo imesitisha, bila taarifa, ufadhili wa
account_circle
The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profile Photo

In our briefing today:

🔴Tanzania to open 100 centers for teaching Kiswahili to expand its global influence;

🔴Boiler explosion kills 11 people at Mtibwa Sugar factory;

🔴Tanzania declare the end of cyclone Ialy.

thechanzo.com/2024/05/24/the…

In our briefing today: 🔴Tanzania to open 100 centers for teaching Kiswahili to expand its global influence; 🔴Boiler explosion kills 11 people at Mtibwa Sugar factory; 🔴Tanzania declare the end of cyclone Ialy. thechanzo.com/2024/05/24/the…
account_circle
The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profile Photo

Kabudi aonya juu ya kubananga, Kufubaza na Kudumaza Kiswahili

'Maneno mengi ya matumizi ya kawaida kwa sababu ya kufikiria ngono ngono tumeyapa maana isiyokuwa yenyewe. Na matokeo yake tumeyaondoa katika matumizi ya kawaida ya Kiswahili. Badala ya matiti tunasema nyonyo toka

account_circle