Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile
Tito Magoti

@titomagoti

Attorney-Activist | Don at @lawdonstz | Associate @civicspaceaf.

ID: 1965568524

linkhttps://www.linkedin.com/in/tito-elia-magoti-7b2aa5a4/ calendar_today16-10-2013 22:09:17

99,99K Tweet

256,256K Followers

10,10K Following

Thabit Jacob, PhD (@thabitsenior) 's Twitter Profile Photo

Swali kubwa la kujiuluza leo Kama digital activism, emails ikulu na Twitter space ya #ZuiaUtekaji imeleta paranoia kubwa hivi kwa Police Force TZ , je siku vijana wote hawa wakiamua kwenda mtaani hali itakuwaje? Mnaona nguvu mlizonazo? Msiache kupiga kelele #ZuiaUtekaji Tito Magoti

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Polisi Police Force TZ wamemuachia FB Fortunatus Buyobe muda huu. Wamejaribu kila kitu: awe wao au wamshitaki, bila mafanikio. Ila wamechukua devices zake, kwa sababu wanazozijua wao. Be what it may, FB shall prevail. Vitisho, hofu sio fungu letu. Mguseni anuke. Na bado.

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Panic mode. They are afraid of losing political power, but none of us has shown ambition for anything closer to that. All we need is peace & tranquility. The guilty are afraid.

Human Rights Foundation (@hrf) 's Twitter Profile Photo

1/ Since Aug. 18, Tanzania’s security services have held opposition youth activist Deusdedith Soka without charge at an unknown location. Soka expressed fears about his safety and called for protests prior to his abduction. thechanzo.com/2024/08/22/pre…

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Theories za watekaji Police Force TZ: a) Soka na wenzake walijiteka kuzua taharuki b) Soka na wenzake walikuwa kwa wapenzi wao c) Soka na wenzake wana mgogoro na chama chao d) Soka na wenzake wamekutwa hifadhi ya Taifa ya Mikumi Be what it may.. RELEASE THE BOYS NOW. #ZuiaUtekaji

Free Soka πŸ’” (@frediejustine) 's Twitter Profile Photo

… Hakuna Furaha kubwa na tamu kama Ushindi baada ya Mapambano dhidi ya Udhalimu, Leo mkuu Tito Magoti najua utalala usingizi Poa sana πŸ˜πŸ‘ŠπŸΌ We are far from winning this game, but ni vyema kushinda mapambano madogo madogo ili kuimarika. TUSIJIDHARAU, tunanguvu kubwa na Leo mmeona

… Hakuna Furaha kubwa na tamu kama Ushindi baada ya Mapambano dhidi ya Udhalimu, Leo mkuu <a href="/TitoMagoti/">Tito Magoti</a> najua utalala usingizi Poa sana πŸ˜πŸ‘ŠπŸΌ

We are far from winning this game, but ni vyema kushinda mapambano madogo madogo ili kuimarika. TUSIJIDHARAU, tunanguvu kubwa na Leo mmeona
Ι±Tαɳɠαɳყιƙα❄ (@tanganyika_m) 's Twitter Profile Photo

...maandamano ya ONLINE tuu wamepaniki...siku ikiwa LIVE kama kishindo cha Wakoma watafanyaje?.... long live mjukuu Tito Magoti πŸ’ͺ🏿πŸ’ͺ🏿πŸ’ͺ🏿... βš½οΈπŸ‘¨πŸΏβ€πŸ¦―

...maandamano ya ONLINE tuu wamepaniki...siku ikiwa LIVE kama kishindo cha Wakoma watafanyaje?....  long live mjukuu <a href="/TitoMagoti/">Tito Magoti</a> πŸ’ͺ🏿πŸ’ͺ🏿πŸ’ͺ🏿... βš½οΈπŸ‘¨πŸΏβ€πŸ¦―
Kefa Wales (@kefajwales) 's Twitter Profile Photo

Tito Magoti I am proud of you Brother Leo umetufunza tukiamua for real this country want be the same again. Space ya watu 500+ watawala wamehanya & from today wewe ni mwanasheria wamgu rasmi. Kwasababu sitasita kutumia UHURU wangu wa Katiba yetu mbovu kusemea mabaya ya Serikali

<a href="/TitoMagoti/">Tito Magoti</a> I am proud of you Brother
Leo umetufunza tukiamua for real this country want be the same again. Space ya watu 500+ watawala wamehanya &amp; from today wewe ni mwanasheria wamgu rasmi. Kwasababu sitasita kutumia UHURU wangu wa Katiba yetu mbovu kusemea mabaya ya Serikali
goligani (@goligani) 's Twitter Profile Photo

Our own wakili msomi toka BACK BENCHA Tito Magoti TUNU YA TAIFA inayopenda kusema UKWELI bila kupepesa macho. MUNGU kubariki na kukulinda kaka.πŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ

Our own wakili msomi toka BACK BENCHA <a href="/TitoMagoti/">Tito Magoti</a> 
TUNU YA TAIFA inayopenda kusema UKWELI bila kupepesa macho.
MUNGU kubariki na kukulinda kaka.πŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ
Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

Je, kuna mabadiliko yoyote umeona kwa baadhi ya Taasisi za Utoaji Haki nchini tangu Tume ya Rais ya Haki Jinai ilipowasilisha Mapendekezo yake? Ungana na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kwa kushirikiana na JamiiForums kwa maoni katika Mjadala utakaofanyika leo Sept.

Je, kuna mabadiliko yoyote umeona kwa baadhi ya Taasisi za Utoaji Haki nchini tangu Tume ya Rais ya Haki Jinai ilipowasilisha Mapendekezo yake? 

Ungana na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kwa kushirikiana na JamiiForums kwa maoni katika Mjadala utakaofanyika leo Sept.
Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Meko alimuweka SHASHA lockup mara kadhaa alipotaka kujiuzulu. Uzoefu huo haujamsaidia. SASHA anaona sawa watoto wa w/wake wenzie watekwe & kuteswa kwa siku 18 sasa. Anyways, furahia mamlaka, asubuhi yaja. Stay stronger, young G.

Meko alimuweka SHASHA lockup mara kadhaa alipotaka kujiuzulu. Uzoefu huo haujamsaidia. 

SASHA anaona sawa watoto wa w/wake wenzie watekwe &amp; kuteswa kwa siku 18 sasa. 

Anyways, furahia mamlaka, asubuhi yaja. 

Stay stronger, young G.
Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Tuliwahi kuwa na Taifa la namna hii. Waziri Mkuu, Spika (not that ugly Tulia), & Mnadhimu wa Upinzani wanabadilishana mawazo. Hakuna aliyehofia kutekwa & kupotezwa, kando ya visa vichache. Alaaniwe mshenzi aliyetufikisha hapa tulipo leo.

Tuliwahi kuwa na Taifa la namna hii. 

Waziri Mkuu, Spika (not that ugly Tulia), &amp; Mnadhimu wa Upinzani wanabadilishana mawazo.

Hakuna aliyehofia kutekwa &amp; kupotezwa, kando ya visa vichache.

Alaaniwe mshenzi aliyetufikisha hapa tulipo leo.
Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Maisha ni mafupi sana. Ila watawala wanataka kutuuwa mapema watawale bila bugdha. God is this what you meant for us? Hatukuja duniani kuwa kondoo. And we reject all attempts to make us apologists. Release Deus Soka & all the boys, NOW.