DevotaTweve (@twevedevota) 's Twitter Profile
DevotaTweve

@twevedevota

| Instagram instagram.com/twevedevota_

ID: 2713275117

calendar_today15-07-2014 21:17:33

88,88K Tweet

84,84K Followers

902 Following

DevotaTweve (@twevedevota) 's Twitter Profile Photo

Wengi tumeshuhudia namna wasichana wakikosa ujasiri wakiwa katika kipindi cha hedhi kutokana na kujisitiri kwa vifaa visivyo sahihi na salama. Ni jukumu letu kuhakikisha serikali inaondoa kodi kwenye pedi ili ziuzwe kwa bei rahisi. #PediBure #PediBilaKodi