Dsm Finest (@visitdar) 's Twitter Profile
Dsm Finest

@visitdar

My Content!? Visit My Highlightsโ€ข

Visit Dar_Es_Salaamโ€ข
Visit Tanzaniaโ€ข
Photographer

ID: 1741359188285046788

calendar_today31-12-2023 07:23:05

20,20K Tweet

3,3K Followers

2,2K Following

Lil_Dee๐Ÿ˜… (@lil_dee06) 's Twitter Profile Photo

๐’๐ญ๐จ๐ซ๐ข : ๐๐ '๐จ๐ฆ๐›๐ž ๐Œ๐ง๐ž๐ง๐ž โ€ข ๐‰๐ข๐ง๐ฌ๐ข ๐ฒ๐š ๐Š๐ฎ๐ฆ๐š๐ฅ๐ข๐ณ๐š ๐Š๐ข๐ฉ๐ข๐ง๐๐ข ๐ƒ๐š๐ซ๐š๐ฌ๐š๐ง๐ข. ๐’๐ญ๐จ๐ซ๐ข ๐Ÿ๐ฎ๐ฉ๐ข ๐ค๐ฐ๐š ๐ฉ๐ข๐œ๐ก๐š.

๐’๐ญ๐จ๐ซ๐ข : ๐๐ '๐จ๐ฆ๐›๐ž ๐Œ๐ง๐ž๐ง๐ž
โ€ข ๐‰๐ข๐ง๐ฌ๐ข ๐ฒ๐š ๐Š๐ฎ๐ฆ๐š๐ฅ๐ข๐ณ๐š ๐Š๐ข๐ฉ๐ข๐ง๐๐ข ๐ƒ๐š๐ซ๐š๐ฌ๐š๐ง๐ข.

๐’๐ญ๐จ๐ซ๐ข ๐Ÿ๐ฎ๐ฉ๐ข ๐ค๐ฐ๐š ๐ฉ๐ข๐œ๐ก๐š.
Enocs# (@enocksedek12790) 's Twitter Profile Photo

DRACULA โ€“ FIRST TRAILLER 2025 (Trela โ€‹โ€‹ya Kwanza | Keanu Reeves >>Keanu Reeves anaingia kwenye nafasi ya Dracula katika filamu ijayo, inayoitwa "Dracula," pamoja na nyota anayechipukia Jenna Ortega. >>Imetolewa na Legendary na Universal, usemi huu upya unaahidi tafsiri mpya

DRACULA โ€“ FIRST TRAILLER 2025

(Trela โ€‹โ€‹ya Kwanza | 
Keanu Reeves

>>Keanu Reeves anaingia kwenye nafasi ya Dracula katika filamu ijayo, inayoitwa "Dracula," pamoja na nyota anayechipukia Jenna Ortega.

 >>Imetolewa na Legendary na Universal, usemi huu upya unaahidi tafsiri mpya
๐’๐„๐๐ˆ๐Ž๐‘๐Ÿ˜… (@seniorking01) 's Twitter Profile Photo

NO BODY IS SAFE 5 ๐ŸŽถ๐Ÿ So hii kalamu ikisimama na kuanza kutupa wino Watoto utasikia "mom look Superhero" Sivunji bars na-Storm out, Like I'm the one Who let the dogs out, Scofield navuka wigo Alafu na-fly far (Shuu) Aftermath natoa salamu kwa survivors Ukoo wa mbuzi...๐ŸŽถโœŠ

Mvumbuzi๐Ÿ“ (@mvumbuzi_1) 's Twitter Profile Photo

Unataka kubadili maisha yako? Anza kwa kujiuliza maswali. Anza kwa kuchukua usukani wa maisha yako. Anza kwa kuacha imani na tabia zako zinazokukwamisha. Anza kwa kuchukua hatua zinazoweza kutekelezeka.

Unataka kubadili maisha yako? 

Anza kwa kujiuliza maswali.

Anza kwa kuchukua usukani wa maisha yako.

Anza kwa kuacha imani na tabia zako zinazokukwamisha.

Anza kwa kuchukua hatua zinazoweza kutekelezeka.
BAKU ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช (@baku10_moud) 's Twitter Profile Photo

Ilo shamba linamajani Kila pembe, Ilo shamba halilimwi na jembe , ilo shamba huwezi kuliona kizembe . Ilo shamba Lina matuta mawili tu Moja la viazi na lingine ni la vitunguu. Ilo shamba halina miguu ila linaeelea Kwa juu. Hilo ni shamba gani ?

๐‘ณ๐‘ผ๐‘ป๐‘ฏ๐‘ฌ๐‘น 18 (@amaryamary9) 's Twitter Profile Photo

Good afternoon X my family ๐ŸŒฑ๐๐„๐– ๐Œ๐€๐€๐’๐€๐ˆ ๐‡๐„๐‘๐๐€๐‹ ๐‚๐‹๐ˆ๐๐ˆ๐‚๐ŸŒฟ Unahisi kupungukiwa na nguvu za kiume? Unataka kurudisha ubora wa uhusiano wako? Usijali tena! Ofisi ya Dr MASAI MUUZA DAWA ๐ŸŒฟ Tunakuletea dawa za asili na za uhakika zinazokuongezea nguvu za kiume mara

Good afternoon X my family

 ๐ŸŒฑ๐๐„๐– ๐Œ๐€๐€๐’๐€๐ˆ ๐‡๐„๐‘๐๐€๐‹ ๐‚๐‹๐ˆ๐๐ˆ๐‚๐ŸŒฟ 

Unahisi kupungukiwa na nguvu za kiume? Unataka kurudisha ubora wa uhusiano wako? Usijali tena! Ofisi ya Dr <a href="/kimani_keyman/">MASAI MUUZA DAWA ๐ŸŒฟ</a> Tunakuletea dawa za asili na za uhakika zinazokuongezea nguvu za kiume mara
Lil_Dee๐Ÿ˜… (@lil_dee06) 's Twitter Profile Photo

๐’๐ญ๐จ๐ซ๐ข : ๐†๐š๐ฎ๐ง๐ข ๐ฅ๐š ๐Œ๐š๐ฆ๐š โ€ข ๐Œ๐š๐ฉ๐š๐ฆ๐›๐š๐ง๐จ ๐ฒ๐š ๐†๐š๐ฎ๐ง๐ข ๐Š๐š๐ญ๐ข๐ค๐š ๐‡๐š๐ซ๐ฎ๐ฌ๐ข ๐ฒ๐š ๐‘๐จ๐ฌ๐ž. Siku ya harusi ya Rose ilikuwa inakaribia. Hakuna kilichoweza kupunguza furaha yake hata kama mama yake mzazi wake, alikuwa amepewa talaka na baba yake. Mama

๐’๐ญ๐จ๐ซ๐ข : ๐†๐š๐ฎ๐ง๐ข ๐ฅ๐š ๐Œ๐š๐ฆ๐š
โ€ข ๐Œ๐š๐ฉ๐š๐ฆ๐›๐š๐ง๐จ ๐ฒ๐š ๐†๐š๐ฎ๐ง๐ข ๐Š๐š๐ญ๐ข๐ค๐š ๐‡๐š๐ซ๐ฎ๐ฌ๐ข ๐ฒ๐š ๐‘๐จ๐ฌ๐ž.

Siku ya harusi ya Rose ilikuwa inakaribia.

Hakuna kilichoweza kupunguza furaha yake hata kama mama yake mzazi wake, alikuwa amepewa talaka na baba yake.

Mama
DanielHK๐Ÿ (@rasoulhk) 's Twitter Profile Photo

PLEASE QUOTE & REPOST IFIKE MBALI WATU WAPONE๐ŸŒฟ๐ŸŒฟ๐ŸŒฟ ๐Ÿ“MWANAFAMILIA WA MASAI HERBAL CLINIC SIKU YA LEO, TUFAHAMU DAWA ZA KIMASAI ZENYE MATOKEO CHANYA KWENYE KUTIBU MAGONJWA MBALIMBALI. Dawa za Dr. masai MASAI MUUZA DAWA ๐ŸŒฟ zinapatikana hasahasa kutokana na mimea, magome na mizizi

PLEASE QUOTE &amp; REPOST IFIKE MBALI WATU WAPONE๐ŸŒฟ๐ŸŒฟ๐ŸŒฟ

๐Ÿ“MWANAFAMILIA WA MASAI HERBAL CLINIC SIKU YA LEO, TUFAHAMU DAWA ZA KIMASAI ZENYE MATOKEO CHANYA KWENYE KUTIBU MAGONJWA MBALIMBALI.

Dawa za Dr. masai <a href="/kimani_keyman/">MASAI MUUZA DAWA ๐ŸŒฟ</a> zinapatikana hasahasa kutokana na mimea, magome na mizizi
Dsm Finest (@visitdar) 's Twitter Profile Photo

Wazee Bajaji ๐Ÿ›บ yangu nimeacha City Centre hapo ndio natoka Morogoro now kwa Speed ๐Ÿš„ ya SGR mkia Juu nikifika Tuu naanza kupiga Kazi maana nime spend sana leo ๐Ÿฅน