Dr Mmbaga (@zakayommbaga) 's Twitter Profile
Dr Mmbaga

@zakayommbaga

MEDICAL DOCTOR (M.D) clubhouse.com/@drmmbaga

ID: 832109728625000449

calendar_today16-02-2017 06:09:53

101,101K Tweet

13,13K Followers

1,1K Following

Thecla❤️‍🔥 (@avohcuddle) 's Twitter Profile Photo

1 Corinthians 15:58 NIV [58] Therefore, my dear brothers and sisters, stand firm. Let nothing move you. Always give yourselves fully to the work of the Lord, because you know that your labor in the Lord is not in vain. bible.com/bible/111/1co.…

Dr Mmbaga (@zakayommbaga) 's Twitter Profile Photo

Paragraph no 2, ni vigumu sana (almost impossible) mtu kujicanulate na kujiwekea drip mwenyewe, tena mkononi. As a doctor he could rather think about injection ila sio drip. I hope uchunguzi huu utasaidia kuja na majibu ya uhakika juu ya kifo hiki.

Dr Mmbaga (@zakayommbaga) 's Twitter Profile Photo

Nje ya paragraph ya 2, taarifa nyingine inayoweza kusaidia hapa ni Makisio ya muda uliopita tangu afariki mpaka mwili kuonekana, i.e kama simu ilituma ujumbe tar 10, na mwili umekutwa tarehe 13, status ya mwili kuharibikani ya siku 3 au zaidi?, i hope simu yake amekutwa nayo pia.

MalisaGJ (@malisagj_) 's Twitter Profile Photo

Shalom Baba Askofu Malasusa. Mimi ni Mlutheri kwa damu na nafsi (Lutheran by blood and soul). Mizizi yangu katika Ulutheri imeenda chini sana. Lakini nimekuzwa kiakili na Kanisa Katoliki. Nimesoma shule zao, vyuo vyao na nimefanya kazi na baadhi ya mashirika yao ya kitume.

Rev. Godwin Chilewa (@godchilewa) 's Twitter Profile Photo

Utekaji nyara unazidi kuwa tatizo kubwa nchini. Matukio ya watu kutekwa nyara na kuuawa yameongezeka kuliko kwa kiasi cha kutisha. Watu wasio na hatia wamekua w… Source: godchilewa search.app/Lghr53mNFsPR1Z…

Dr Mmbaga (@zakayommbaga) 's Twitter Profile Photo

Lichungeni kundi la Mungu lililo kwenu, na kulisimamia, si kwa kulazimishwa, bali kwa hiari kama Mungu atakavyo; si kwa kutaka fedha ya aibu, bali kwa moyo. Wala si kama wajifanyao mabwana juu ya mitaa yao, bali kwa kujifanya vielelezo kwa lile kundi. 1 Petro 5: 2-3.

Mmassy Jr (II) (@lellommassy) 's Twitter Profile Photo

NILICHOROPOKA KUTOLEWA KAFARA(YA KISHIRIKINA) MUHEZA TANGA 2012 📌SEHEMU YA TISA Kama hujasikia sehemu ya kwanza mpaka ya nane basi zipo kwenye uzi huu. Endelea.....

Dr Mmbaga (@zakayommbaga) 's Twitter Profile Photo

Niliponunua ka speaker kangu ka HK nikakuta kuna kijitabu kina barcode kwa ajili ya kujiregister, nimeenda kwenye kutafuta nchi naingiza Tz jamaa wanasema nchi yangu tuendelee kungoja😅😅😅

Niliponunua ka speaker kangu ka HK nikakuta kuna kijitabu kina barcode kwa ajili ya kujiregister, nimeenda kwenye kutafuta nchi naingiza Tz jamaa wanasema nchi yangu tuendelee kungoja😅😅😅
Typing error ⚠️ (@_typing_error) 's Twitter Profile Photo

Vaa sweta, usioge maji baridi, zingatia dawa za presha, kama bado upo kwenu ondoka na kama bado unakula nauli za vijana wa wenzio ulaaniwe.

Dr Mmbaga (@zakayommbaga) 's Twitter Profile Photo

I thought tungeanza na onyesho la jinsi ya kuzuia utekaji unaofanywa na watu wanaojitambulisha “kama polisi” wakati wa utekelezaji wa adhma zao.

Dr Mmbaga (@zakayommbaga) 's Twitter Profile Photo

Bro kama uliikimbia physics shuleni au uliisoma lakini hujui matumizi yake kwenye life la kila siku, ndugu yako nimekusogezea hii, kiufupi usikomae kubishana naye maana hutashinda😂😂😂.

Bro kama uliikimbia physics shuleni au uliisoma lakini hujui matumizi yake kwenye life la kila siku, ndugu yako nimekusogezea hii, kiufupi usikomae kubishana naye maana hutashinda😂😂😂.