Abill_ (@abillmk029) 's Twitter Profile
Abill_

@abillmk029

Goods Supply

ID: 1565090560238657545

calendar_today31-08-2022 21:35:39

296 Tweet

193 Followers

1,1K Following

Arafat Ally Haji (@arafat__ah) 's Twitter Profile Photo

#NasahaZaAAH Inawezekana kila Mtu ni mbaya kwenye simulizi zake ila usisahau popote penye simulizi za ubaya fahamu kuna wema ulitangulia, wema ukapuuzwa na uungwana ukachukuliwa poa, ndipo ubaya ukachukua nafasi.

Arafat Ally Haji (@arafat__ah) 's Twitter Profile Photo

#NasahaZaAAH โ€œHakuna Mtu mkimya kwenye maisha, ukiona haongei sana mbele yako ni kwakuwa wewe sio sehemu ya maisha yake, anaongea sana huyo kwa watu wake sahihiโ€

ลคล”ยชp qลณษ™ฤ™ล‹ ๐Ÿ’ƒ (@miss__yanga) 's Twitter Profile Photo

Ma goal yote tuliyofunga dhidi ya Azam fc๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’›๐Ÿ’›๐Ÿ’›๐Ÿ’›๐Ÿ’›๐Ÿ’›๐Ÿ’›๐Ÿ’›๐Ÿ’›๐Ÿ’›๐Ÿ’›๐Ÿ’›๐Ÿ’›๐Ÿ’›. DUBE. AZIZ BOKA GEN Z MZIZE.

Farhan Kihamu Jr (@fkihamu) 's Twitter Profile Photo

Mimi nadhani wakina Dada mkituomba Wanaume pesa tunapouliza ni ya nini haina haja ya kukunja sura, sisi sio Baba zenu wazazi, tuna haki ya kuhoji sio kupeana peana tu, ni haki yako kupewa pesa lakini haki huja na Wajibu wa kueleza pesa ni ya nini๐Ÿ˜€

Dr. Hamisi Kigwangalla (@hkigwangalla) 's Twitter Profile Photo

UKWELI KUHUSU MAISHA! Siku moja utapata ufunuo wa kwamba maisha ni bure kabisa. Kuanzia ile siku ulizaliwa mpaka ile utakayokufa. Hapa katikati kuna maisha fulani tu. Omba upate mwangaza wa kuyatafakari maisha mapema, itakusaidia sana kujua uishi vipi. Nimekutana na diary

Young Africans SC (@youngafricanssc) 's Twitter Profile Photo

"Twashomaa ee supu mala twashara ekadi" (Supu tumekunywa na kadi tumechukua). Wananchi wa Bukoba wamefurahi๐Ÿ”ฐ #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko

"Twashomaa ee supu mala twashara ekadi" (Supu tumekunywa na kadi tumechukua).

Wananchi wa Bukoba wamefurahi๐Ÿ”ฐ

#timuyawananchi 
#daimambelenyumamwiko
Abill_ (@abillmk029) 's Twitter Profile Photo

โ•ฑโ—ฅโ–ˆโ–ˆโ–ˆโ–ˆโ–ˆโ–ˆโ—ฃ โ”‚โˆฉโ”‚๐ŸŒ„โ–คโ”‚โ–คโ–คโ”‚๐Ÿ˜ฌ

โ•ฑโ—ฅโ–ˆโ–ˆโ–ˆโ–ˆโ–ˆโ–ˆโ—ฃ
โ”‚โˆฉโ”‚๐ŸŒ„โ–คโ”‚โ–คโ–คโ”‚๐Ÿ˜ฌ
Clatous Chota Chama (@clatouscc) 's Twitter Profile Photo

Off to Ivory Coast ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ Chipolopolo ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ is calling ๐Ÿ“ž Ukimpora Musonda hicho kibegi kwisha habari yake ๐Ÿคฃ

Off to Ivory Coast ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ
Chipolopolo ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ is calling ๐Ÿ“ž
Ukimpora Musonda hicho kibegi kwisha habari yake ๐Ÿคฃ