adamlutta(@adamlutta) 's Twitter Profileg
adamlutta

@adamlutta

ID:829388725

calendar_today17-09-2012 16:34:36

92,4K Tweets

208,9K Followers

1,4K Following

V E N N AπŸ“Έ(@vennatz1) 's Twitter Profile Photo

Unaweza kufuga mbwa ili akulinde nakung'ata wengine lakini akawa anatafuna na familia yako bila wewe kujua

Sijui nilitaka nisemeje ila niendelee kupiga picha tu😎

account_circle
adamlutta(@adamlutta) 's Twitter Profile Photo

Mwaka 1915 Kuna Wanamke alichelewa kwenye mazishi ya Dada yake aliyekuwa anaitwa Essie Dunbar akaomba wamtoe kwenye Jeneza ili aone Uso wake kwa mara ya mwisho, Walivyofunua tu yule Dada alimwangalia kwa Tabasamu na kuamka. Dada Essie aliishi miaka 47 mingine kabla ya kufa tena

Fumbo Khan(@fumbokhanJr) 's Twitter Profile Photo

Harmonize anahisi Diamond platnumz kumtoza ile 600M haikuwa sawa kwasababu wao ni washkaji.

Bongo watu wengi hawajui mipaka ya kazi na Ushkaji.

Harmonize anahisi Diamond platnumz kumtoza ile 600M haikuwa sawa kwasababu wao ni washkaji. Bongo watu wengi hawajui mipaka ya kazi na Ushkaji.
account_circle
Lubasha Jr(@MarekaMalili) 's Twitter Profile Photo

Sisi vijana bwana, tukipata vihela vya bia, kubadilisha simu na mboga, na tugari twa 15m tunaanza dharau.
Oya maisha bado sana, tunakaa na wazee wenye properties za 4B na hawana huo ushamba.

account_circle
Lubasha Jr(@MarekaMalili) 's Twitter Profile Photo

Ila namna watoto wetu wa kike wanajua kutuchezea akili inabidi ufanyike study, naongea kama Victim πŸ˜‚

account_circle
adamlutta(@adamlutta) 's Twitter Profile Photo

Aise kwenye hii Dunia hakuna furaha, imagine ana hela nyingi sana halafu unapromote Upinde bila kutaka na Unalala na Nyoka.

account_circle