Justin A. Mwakatobe(@alipoki) 's Twitter Profileg
Justin A. Mwakatobe

@alipoki

Creativity | Advisor @Gene23Tech | Founder @bithubtz | Championed @sandctech @nunuget | #ICTHUB #BusinessStartUp #TechForSocialImpact #PWR_ALUMNI #MUST_ALUMNI

ID:449018083

linkhttps://www.must.ac.tz/department/MTA0 calendar_today28-12-2011 16:59:21

9,1K Tweets

958 Followers

1,9K Following

𝐉𝐚𝐬𝐮𝐬𝐢(@Chahali) 's Twitter Profile Photo

anakuletea uzi wa kuanzishia wiki yako. Unahusu vitu 15 vinavyochangia kukwamisha maendeleo yako. Ofkoz vipo zaidi ya 15 lakini kwa leo, hivi vyatosha. Salio la nyuzi kwenye ghala la Jasusi ni kubwa mno, kiasi kwamba anaweza kuzitundika kila saa kwa miaka kadhaa

#Jasusi anakuletea uzi wa kuanzishia wiki yako. Unahusu vitu 15 vinavyochangia kukwamisha maendeleo yako. Ofkoz vipo zaidi ya 15 lakini kwa leo, hivi vyatosha. Salio la nyuzi kwenye ghala la Jasusi ni kubwa mno, kiasi kwamba anaweza kuzitundika kila saa kwa miaka kadhaa
account_circle
Jumanne Mtambalike(@Afruturist) 's Twitter Profile Photo

Tanzania at 60: What Will The Next 60 Years Look Like? Some interesting facts.

✅ Less Than 10 Percent of Those Who Witnessed The Formation of The Union Remain Alive Today. (Calculated Using an AI Model)

✅ By 2100, Dar es Salaam Will Be The Second Largest City Population…

Tanzania at 60: What Will The Next 60 Years Look Like? Some interesting facts. ✅ Less Than 10 Percent of Those Who Witnessed The Formation of The Union Remain Alive Today. (Calculated Using an AI Model) ✅ By 2100, Dar es Salaam Will Be The Second Largest City Population…
account_circle
GDSC_ Mbeya University of Science and Technology(@gdscmust) 's Twitter Profile Photo

Join us at Build with AI in the exciting world of Artificial Intelligence! It also offers networking opportunities, sharing ideas, and collaboration on projects and experiments using Google’s latest AI/ML tools. bit.ly/gdsc-must

Join us at Build with AI in the exciting world of Artificial Intelligence! It also offers networking opportunities, sharing ideas, and collaboration on projects and experiments using Google’s latest AI/ML tools. bit.ly/gdsc-must #BuildwithAI #developerstudentclubs #gdsc
account_circle
Neurotech Africa(@NeuroTech_HQ) 's Twitter Profile Photo

Kuelekea Kongamano la Saba (7) linalohusu Akili Mnemba Jumamosi hii Tar.27 . Dr. Michael S. Mollel, PhD atakua mzungumzaji .

Dhima ya kongamano hili ni : ' Teknohama za Kiafrika: Kuunganisha Turathi na Ubunifu kupitia Akili Mnemba (AM) ya Kiswahili.

Mahali ni dLab Tanzania
Karibu!

Kuelekea Kongamano la Saba (7) linalohusu Akili Mnemba Jumamosi hii Tar.27 . Dr. Michael S. Mollel, PhD atakua mzungumzaji . Dhima ya kongamano hili ni : ' Teknohama za Kiafrika: Kuunganisha Turathi na Ubunifu kupitia Akili Mnemba (AM) ya Kiswahili. Mahali ni @dLabTz Karibu!
account_circle
Dr. Hamisi Kigwangalla(@HKigwangalla) 's Twitter Profile Photo

Nimefurahi tumekuwa na mjadala mzuri kuhusu kuweka akiba, kuwekeza, kuanzisha biashara na ujasiriamali. Huu ni mjadala muhimu kwenye jamii. Lakini, ni mjadala muhimu zaidi kwenye ‘nafsi’ ya kila mtu anayejitafuta.

Maisha ni magumu sana. Kiukweli, hayajawahi kuwa rahisi.

Kama…

account_circle
Tanzania Startup Association(@TanzaniaSA) 's Twitter Profile Photo

Happy International Girls in ICT Day 👩🏽‍💻👩🏽‍🔬📲🧬🔭

We applaud all the and join hands in encouraging more young women and girls to explore opportunities in Information and Communication Technology. Together, lets build a more inclusive digital future 🤝🏾…

Happy International Girls in ICT Day 👩🏽‍💻👩🏽‍🔬📲🧬🔭 We applaud all the #GirlsInICT and join hands in encouraging more young women and girls to explore opportunities in Information and Communication Technology. Together, lets build a more inclusive digital future 🤝🏾…
account_circle
Dr. Hamisi Kigwangalla(@HKigwangalla) 's Twitter Profile Photo

So, tunaendelea tulipoishia, au siyo?

8. Kama wewe hauna urithi wa biashara, asset ama mtaji kama nilivyokuwa mimi, basi njia yako ni ngumu zaidi. Tumia akili, elimu, uzoefu na maarifa yako yote kubuni wazo linalofaa. Ukiishakuwa na wazo na ukajua unahitaji nini, sasa utajua…

account_circle
Togolani Mavura(@tonytogolani) 's Twitter Profile Photo

Elimu Hukufungua Wewe ili Uweze Kufungua Milango ya Mema ya Maisha.

Mimi ni kati ya wengi tulioaminishwa na kuamini kuwa elimu ndio jawabu la kujenga usawa katika jamii. Ni mmoja wa wale ambao tulivutiwa na maneno ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyesema, 'Ukitaka kugawa…

Elimu Hukufungua Wewe ili Uweze Kufungua Milango ya Mema ya Maisha. Mimi ni kati ya wengi tulioaminishwa na kuamini kuwa elimu ndio jawabu la kujenga usawa katika jamii. Ni mmoja wa wale ambao tulivutiwa na maneno ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyesema, 'Ukitaka kugawa…
account_circle
George Raphael(@george_raphael_) 's Twitter Profile Photo

📢 Are you a graphics designer desperate to become a Fullstack Website Developer?
Join me this Saturday, as I take you through a step-by-step Journey of building a Blog with Laravel, Filament PHP, Tailwind CSS & Alpine free of charge!!

forms.gle/s837fBbE3ifzaN…

📢 Are you a graphics designer desperate to become a Fullstack Website Developer? Join me this Saturday, as I take you through a step-by-step Journey of building a Blog with Laravel, Filament PHP, Tailwind CSS & Alpine free of charge!! forms.gle/s837fBbE3ifzaN…
account_circle
Neema Mduma, PhD(@nakadori) 's Twitter Profile Photo

I am so excited to be among the guest speakers for the International Girls in ICT Day! 🌟 Empowering girls to lead in the world of ICT is key to shape a more inclusive future. 📚

I am so excited to be among the guest speakers for the International Girls in ICT Day! 🌟 Empowering girls to lead in the world of ICT is key to shape a more inclusive future. #GirlsInICT #Leadership #BakiShule📚
account_circle
Emmanuel Cosmas Msoka(@MsokaEmmanuel) 's Twitter Profile Photo

Emmanuel, ambaye amekuwa Balozi wa Vijana wa UNICEF, ameshinda tuzo hiyo ya amani ya Davis nchini ambayo inaambatana na ruzuku ambazo anatarajia kutumia kujenga maktaba ya amani kisiwani Zanzibar.

Emmanuel, ambaye amekuwa Balozi wa Vijana wa UNICEF, ameshinda tuzo hiyo ya amani ya Davis nchini ambayo inaambatana na ruzuku ambazo anatarajia kutumia kujenga maktaba ya amani kisiwani Zanzibar.
account_circle
Westerwelle Startup Haus Arusha(@WSH_Arusha) 's Twitter Profile Photo

🌟 We're hiring!

Join us as a Program Manager at Westerwelle Startup Haus in Arusha and empower entrepreneurs in Tanzania! 🇹🇿✨ Ready to make a difference? Apply through this link: bit.ly/wshapm24

🌟 We're hiring! Join us as a Program Manager at Westerwelle Startup Haus in Arusha and empower entrepreneurs in Tanzania! 🇹🇿✨ Ready to make a difference? Apply through this link: bit.ly/wshapm24 #Arusha #WSHA
account_circle