REMIJA CLATOUS CHOTA CHAMA (@1960remija) 's Twitter Profile
REMIJA CLATOUS CHOTA CHAMA

@1960remija

GOD | Faith | Family | Ligi Kuu | Zilipendwa | Mwenyekiti | Yanga | Man United | Real Madrid | Mamelodi | Sebene & Rhumba | Tour Agent | Tweets Are My Opinions.

ID: 366866222

linkhttp://manutd.com calendar_today02-09-2011 23:50:30

95,95K Tweet

87,87K Takipรงi

572 Takip Edilen

REMIJA CLATOUS CHOTA CHAMA (@1960remija) 's Twitter Profile Photo

Kuna mataifa tulikuwa tumewaacha mbali sana kwenye mpira hasa timu ya Taifa, Cape Verde walikuwa ni kichwa cha mwendawazimu kwetu. Wenzetu wamefuata njia za mpira na sisi tumefuata siasa za mpira. Tumebaki wadumavu tangu Rais wa nchi ni Baba wa Taifa. Unamshindwa Ethiopia? ๐Ÿ˜‚

REMIJA CLATOUS CHOTA CHAMA (@1960remija) 's Twitter Profile Photo

Tazama mataifa yaliyo top 10 kwenye mpira Afrika, angalia CV za makocha wao, sisi siasa za uzawa kuanzia kwa wachezaji mpaka walimu wa timu ya taifa. Tuna fitna kwa wageni kuanzia wachezaji wa nje, makocha wa vilabu mpaka timu ya taifa. Kila kitu ni uzalendo/uzawa. Mxiii.

REMIJA CLATOUS CHOTA CHAMA (@1960remija) 's Twitter Profile Photo

Naingia kulala ila bado sijaelewa kwanini makocha wetu wameanza na wakabaji 7 kwenye mechi ya nyumbani dhidi ya Ethiopia timu ambayo ni ya 143. Wala haina haja ya D 2 leo wazawa wamepuyanga. Unaanza na Kibabage, Balua halafu Muda na Waziri wako nje! Upuuzi mtupu. ๐Ÿšฎ

REMIJA CLATOUS CHOTA CHAMA (@1960remija) 's Twitter Profile Photo

Kocha akajikuta Gamondi leo. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

REMIJA CLATOUS CHOTA CHAMA (@1960remija) 's Twitter Profile Photo

ะŸั€ะพัั‚ะธ ะผะตะฝั ะฟะพะถะฐะปัƒะนัั‚ะฐ. ะžั‡ะตะฝัŒ ัะธะปัŒะฝะพ ัะบัƒั‡ะฐัŽ ะฟะพ ั‚ะตะฑะต.

REMIJA CLATOUS CHOTA CHAMA (@1960remija) 's Twitter Profile Photo

Ofa ya Mzize ilianza $100k ilikua ni kama dharau kwa Yanga, wakarudi na $200k tukawaambia hauzwi, wakaboresha kwa $300k bado tukasema hapana, sasa imefika $400k na ushee. Rhulani Mokwena kaona nini kwa Mzize? Dalili zinaonesha atafika $600k/$800k.

REMIJA CLATOUS CHOTA CHAMA (@1960remija) 's Twitter Profile Photo

Tutakuwa wenyeji wa AFCON 2027, tulipaswa kuanza kuandaa timu mara baada ya kupata nafasi. Kocha ambae atakuwa na Stars 2027 alipaswa kuwa sehemu ya kufuzu AFCON 2025. Wala haina haja ya kuwa na D 2 kuelewa haya. Tunahitaji vijana kwenye taasisi ya mpira kwenda na kasi ya dunia.

REMIJA CLATOUS CHOTA CHAMA (@1960remija) 's Twitter Profile Photo

Tukisema tuwaondoe wageni kwenye LIGI yetu, hawa wazawa watatufikisha makundi, AFCON na ligi nafasi ya 6 Afrika? Tuchague vya kuzungumza kutunza afya za akili. ๐Ÿคฆ๐Ÿฝโ€โ™‚๏ธ