Tonny (@_t0nnie) 's Twitter Profile
Tonny

@_t0nnie

Self Esteem

ID: 1124164813226225665

calendar_today03-05-2019 04:12:32

4,4K Tweet

677 Takipçi

364 Takip Edilen

Tonny (@_t0nnie) 's Twitter Profile Photo

Leo nilipata wasaa kuwasilisha mada juu ya maadui wetu wakuu kwa watoto wachanga. Takwimu zinaonesha takribani watoto wachanga elfu 44 na zaidi hupoteza maisha. Mada hii tumeijadili kwa kina na watumishi wenzangu wa Hospitali ya Kipatimu wilayani Kilwa. ⁦

Mapendo (@pjmapendo) 's Twitter Profile Photo

Tonny Kuchangia damu ni hatua ya awali na ya muhimu katika kuhakikisha "Upatikanaji wa kutosha wa Damu salama na yenye viwango". Si kila damu inayochangiwa ni damu salama. Damu salama ni damu ambayo imepitia mchakato mzima kuanzia uchangiaji, kupimwa magonjwa makuu yanayoweza kuambizwa

Mapendo (@pjmapendo) 's Twitter Profile Photo

Tonny kwa njia ya damu (HIV, Homa za ini, kaswende nk), utunzaji na usafirishaji wa damu na mazao yake. Kwenye utaalam wa Damu tunasema damu salama ni ile ambayo imeanzia kwenye kuchangia na inaweza kumfikia mhitaji. Mara nyingi damu unayochangia siyo hiyo inayomfikia mgonjwa wako.

Mapendo (@pjmapendo) 's Twitter Profile Photo

Tonny Kuna vigezo vinavyotumika kwa mgonjwa kabla ya kupewa damu. Kuna group la damu, compatibility (kupatana kwa damu). Inawezekana kabisa damu uliyochangia ikawa salama lakini siyo ya kupatana na uliyemchangia.

Tonny (@_t0nnie) 's Twitter Profile Photo

Eneo la kihistoria ambapo ilipiganwa vita ya majimaji. Kijiji cha Nandete… majina ya mashujaa waliopigana vita yakiwa yameandikwa apo…!

Eneo la kihistoria ambapo ilipiganwa vita ya majimaji. Kijiji cha Nandete… majina ya mashujaa waliopigana vita yakiwa yameandikwa apo…!
PAFLAR AFRICA (@paflar) 's Twitter Profile Photo

Our focus is to raise awareness of childhood arthritis by giving patients with PRDs a platform to share their experiences to understand their needs better and provide tailored support. paflar.org/patient-inform… #worldarthritisday2024

Our focus is to raise awareness of childhood arthritis by giving patients with PRDs a platform to share their experiences to understand their needs better and provide tailored support. paflar.org/patient-inform…
#worldarthritisday2024