Gebo Godwin
@gebor_28
ID: 1703425862169747456
17-09-2023 15:10:13
73 Tweet
30 Takipรงi
500 Takip Edilen
Pesa ambayo ilitakiwa kutolewa kama rambirambi katika msiba wa ndugu yetu kama angefariki kwa risasi na kuliwa na wanyama wakali porini, kwa kuwa lengo la wachomaji na watekaji halikutimia, imetolewa na mchomaji kama mchango wa matibabu kwa masimango. PESA HIYO IMERUDISHWA. ๐ช๐พ