AmosiNyanda (@nyandaamosi) 's Twitter Profile
AmosiNyanda

@nyandaamosi

I Left My 9-5 Office For Lunch And NEVER returned…NOW Writing Copy for a Living—(The Prince Of Print)

ID: 1102572019684724737

linkhttps://amosinyanda.lpages.co/whatsapp-mkwanja-lp calendar_today04-03-2019 14:10:29

55,55K Tweet

69,69K Takipçi

655 Takip Edilen

AmosiNyanda (@nyandaamosi) 's Twitter Profile Photo

-Uki-Focus na Goals zako Bila Kukimbizana na Yeyote -Ukajipenda, Ukavaa Vizuri, Ukanukia Vizuri, Ukajipa Vocations za Hapa na Pale -Ukajifunza Kufurahi Peke yako Bila Kumtegemea yeyote Utakuwa na MVUTO Mbele ya Wanawake X10 Zaidi ya Ku-Chase JARIBU!

AmosiNyanda (@nyandaamosi) 's Twitter Profile Photo

Jipe Miezi 6 Tu ya Kuwa BEAST Kwenye Ujuzi Wowote 1)Tafuta Mentor wa Huo Ujuzi Unaotaka Kujifunza 2)Lipia Coaching & Mentorship Program kama Anayo 3)Potea Online kwa Miezi 3-6 Jinoe, Jifue 4)Ibuka Online Anza Ku-Shares FREE Value ya Kile Ulichojifunza

AmosiNyanda (@nyandaamosi) 's Twitter Profile Photo

Copywriting itanipa Kila Kitu Ninachokitaka Ndani ya Miaka 10 Ijayo 1). $1M+ 2). Ndinga Kali 3). Mjengo Mkali 4). Cryptos investment 5). Mke Mzuri Mwenye Akili sio Elimu Kama mentors wangu—Gary halbert & Tedy PS:If My Mentors Did It—I can do it too

AmosiNyanda (@nyandaamosi) 's Twitter Profile Photo

Weka Shabaha ya Kuwa MWEZI ili Hata Ukishindwa Kuwa Mwezi—Basi Bado Utabaki Kuwa NYOTA Inayong’aa Angani “Ruge Mutahaba”

AmosiNyanda (@nyandaamosi) 's Twitter Profile Photo

Ni Ruksa Kuwa NDOTO Kubwa Katika Maisha —Usiruhusu Wajinga Wachache Waliojikatia Tamaa Wakutoe Mchezoni REMEMBER: Your THOUGHTS Become THINGS!

shebby nakamu (@shabirnakamu) 's Twitter Profile Photo

Hii kitu nliiyona sana baada ya diamond kutangaza ndoto yake kubwa ji kuja kuwa tajiri namba moja duniani.. Nliiweka hivi👇🏾 x.com/shabirnakamu/s… Changamoto kubwa kwa wabongo ni kitu kinaitwa MINDSET.. wengi wao mindset zao zimeoza. Huu ndio ukweli