Joseph L. Haule (@professorjaytz) 's Twitter Profile
Joseph L. Haule

@professorjaytz

Hip Hop Artist

ID: 223900351

linkhttps://www.youtube.com/playlist?list=PLKtqLKQN6e79HEFdEHR7KuwJXeFGoPa9G calendar_today07-12-2010 16:48:41

32,32K Tweet

835,835K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Prophet Muhammad's cousin ✨ (@elnoviojudio) 's Twitter Profile Photo

Bongo Dsm Ndiyo mzee Kikao cha Dharura Nimeamini Jina langu Machozi jasho na damu Vijimambo Piga makofi Nikusaidiaje Taifa la kesho Usinitenge Zali la mentali Hapo vipi Nang'atuka Kamili gado Greatest of all time Joseph L. Haule 👏

Maalim Nash (@nashemcee) 's Twitter Profile Photo

Jana tulipata wasaa mzuri sana kumtembelea Mjomba @professorjaytz nyumbani kwake na kubadilishana maarifa na soga mbalimbali, hakika ilikua siku nzuri sana, tumekubaliana tutayarish EP ambayo mauzo yake pesa yote itaenda katika mfuko wa Professor Jay Foundation.

Jana tulipata wasaa mzuri sana kumtembelea Mjomba @professorjaytz nyumbani kwake na kubadilishana maarifa na soga mbalimbali, hakika ilikua siku nzuri sana,  tumekubaliana tutayarish EP  ambayo mauzo yake pesa yote itaenda katika mfuko wa Professor Jay Foundation.
Joseph Mbilinyi (@therealjongwe) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa leo amemtembelea Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Kilosa ⁦Joseph L. Haule⁩ … Tumezungumza kuhusu chaguzi zinazokuja pia amenieleza namna anavyofuatilia zoezi la kuandikisha wanachama Kidijitali kwenye wilaya yake na Jimbo la Mikumi #MWENYEKITI

Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa leo amemtembelea Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Kilosa ⁦<a href="/ProfessorJayTz/">Joseph L. Haule</a>⁩ … Tumezungumza kuhusu chaguzi zinazokuja pia amenieleza namna anavyofuatilia zoezi la kuandikisha wanachama Kidijitali kwenye wilaya yake na Jimbo la Mikumi #MWENYEKITI
Crown Media (@crownmediatz) 's Twitter Profile Photo

Ukiachana na orodha ya Album 5 bora za hiphop za muda wote iliyotolewa jana na Fareed K Kubanda leo rapa Webiro Wakazi Wassira #TheLeader ametaja orodha ya Album 5 bora za hiphop kwa upande wake ambazo ni; 1.Fungakazi - HardBlasters 2.Machozi Jasho na Damu - Joseph L. Haule 3.Ndani Ya Bongo - Joseph Mbilinyi

JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi (@jabirsaleh) 's Twitter Profile Photo

WIMBO PEKEE WA PROF JAY ULIOTAYARISHWA NA MASTER JAY NI……… Licha ya ukubwa wake Master J alitayarisha kwa asilimia zote wimbo mmoja tu wa @professorjaytz ,wimbo huo ni “BONGO DAR ES SALAAM” ambao Prof alimshirikisha @jidejaydee ,huu ni wimbo ambao aliutayarisha wote na👇🏾

Joseph L. Haule (@professorjaytz) 's Twitter Profile Photo

Asante sana Mungu kwa Zawadi ya uzima, na kunilinda siku zote za Maisha yangu, Nipo kamiligado tayari kwa Mapambano✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾 #KataaUtekaji #maskanikimara

Asante sana Mungu kwa Zawadi ya uzima, na kunilinda siku zote za Maisha yangu, Nipo kamiligado tayari kwa Mapambano✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾
#KataaUtekaji
#maskanikimara
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

J.O.S.E.P.H HAULE. Joseph L. Haule kila hatua DUA nigga. Nimefurahi kuona afya ya mwanangu imeimarika sana. Tunazo sababu nyingi za kumshukuru Mungu wetu. 🙏🏾

J.O.S.E.P.H  HAULE. <a href="/ProfessorJayTz/">Joseph L. Haule</a> kila hatua DUA nigga. Nimefurahi kuona afya ya mwanangu imeimarika sana. Tunazo sababu nyingi za kumshukuru Mungu wetu. 🙏🏾
Joseph L. Haule (@professorjaytz) 's Twitter Profile Photo

Ilikuwa Furaha kubwa sana leo kuonana tena ,Shukrani sana @exmayor_bonifacejacob na @martinmaranjamasese na makamanda wengine kwa kunitembelea Leo na kunijulia hali Mungu ni Mwema sana naendelea vizuri mpaka nataman kujiteka mwenyewe #TunakataaUtekaji✌🏾✌🏾

Ilikuwa Furaha kubwa sana leo kuonana tena ,Shukrani sana @exmayor_bonifacejacob na @martinmaranjamasese  na makamanda wengine kwa kunitembelea Leo na kunijulia hali Mungu ni Mwema sana naendelea vizuri mpaka nataman kujiteka 
 mwenyewe 
#TunakataaUtekaji✌🏾✌🏾