roadlife14 (@roadlife14) 's Twitter Profile
roadlife14

@roadlife14

Transit goods

ID: 1631572920081297409

calendar_today03-03-2023 08:31:26

1,1K Tweet

674 Takipçi

4,4K Takip Edilen

Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Tanganyika ilirithi jeshi kutoka kwa wakoloni wa kiingereza baada ya Uhuru Dec 9 1961 likijulikana kama KING’S AFRICAN RIFLES(KAR) na baadae kuitwa TANGANYIKA RIFLES(TR) Baada ya Uhuru,ili kukidhi matarajio ya watanganyika, zilitakiwa nafasi zote za juu za utawala

Tanganyika ilirithi jeshi kutoka kwa wakoloni wa kiingereza baada ya Uhuru Dec 9 1961 likijulikana kama KING’S AFRICAN RIFLES(KAR) na baadae kuitwa TANGANYIKA RIFLES(TR) 

Baada ya Uhuru,ili kukidhi matarajio ya watanganyika, zilitakiwa nafasi zote za juu za utawala
Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Jumanne,January 15 Mwaka 1964 Mwalimu akasafiri kwenda Nairobi ili kukutana na Waziri mkuu wa Kenya JOMO KENYATTA kujadili kuhusu shirikisho la Afrika Mashariki na kuzungumzia msimamo wake juu ya Zanzibar Jumatano, Jan 16 Sultan aliyepinduliwa Zanzibar akawa ametia nanga Dar

Jumanne,January 15 Mwaka 1964 Mwalimu akasafiri kwenda Nairobi ili kukutana na Waziri mkuu wa Kenya JOMO KENYATTA kujadili kuhusu shirikisho la Afrika Mashariki na kuzungumzia msimamo wake juu ya Zanzibar  
 
Jumatano, Jan 16 Sultan aliyepinduliwa Zanzibar akawa ametia nanga Dar
MDN NEWS (@mdnnewss) 's Twitter Profile Photo

Former Orlando Pirates player Thandani Ntshumayelo has been arrested for common assault under the Domestic Violence Act. He is currently at Randburg Magistrates Court.

Former Orlando Pirates player Thandani Ntshumayelo has been arrested for common assault under the Domestic Violence Act. He is currently at Randburg Magistrates Court.
millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Serikali imesema Kamati ya kuratibu upatikanaji wa vazi la Taifa imekusanya maoni kutoka kwa Wadau na Wananchi 2,452 katika Mikoa yote Tanzania na kwa sasa itakutana ili kuwashindanisha Wabunifu wa mavazi (Designers) ili watakaokuwa Washindi mavazi yao ndiyo yatakayopendekezwa

Fumbo Khan (@fumbokhanjr) 's Twitter Profile Photo

Mwalimu nyerere amepania uhuru wa Nchi Yetu ndio Maana Yupo Katika fedha Ya Tanzania, Naomba Kujua Bimkubwa kutupa Alama Ipi hadi Tuwaze Kumuweka Kwenye hela..??

Mwalimu nyerere amepania uhuru wa Nchi Yetu ndio Maana Yupo Katika fedha Ya Tanzania, Naomba Kujua Bimkubwa kutupa Alama Ipi hadi Tuwaze Kumuweka Kwenye hela..??
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Chuo anachosoma FAITH FAUSTINE MAFWELE; Chuo: Lanseria flight school Kipo: Pretoria South Africa. Namba zake: +27 62 520 9167 Mnaoishi SOUTH AFRICA TUNAWATEGEMEA KWENYE HILI. Mliopo Tanzania endeleeni kutuma jumbe kwa huyu binti namba yake ya whatsapp hiyo. Gen z Repost🤝🔥

Cyancute ⭐ (@cyancutytz) 's Twitter Profile Photo

Breaking News, 😭 Ule wimbo wa nay wamitego umefutwa Kule YouTube nay wamitego mwenyewe ajulikani alipo so sad 😢😭 Chapaa REPOST 500 Rais kitaa Arudi ila nyimbo Kali 😁

Breaking News, 😭

Ule wimbo wa nay wamitego umefutwa  Kule YouTube  nay wamitego mwenyewe ajulikani alipo so sad 😢😭

Chapaa REPOST 500 Rais kitaa  Arudi  ila nyimbo Kali 😁
Cyancute ⭐ (@cyancutytz) 's Twitter Profile Photo

Breaking News Hadi kufikia muda huu tumefanikiwa kumpa ya pongezi nay wamitego "Mbunge wetu na Rais wa kitaa kiasi Tsh. 11,375,000/= kutoka mitandao yote na bank account Tuendelee kuonyesha upendo kwa Nay wetu ✌️ People Chapaa REPOST 1500 Kwa Eshima yake "TUSEME kamanda

Breaking News 

Hadi kufikia muda huu tumefanikiwa kumpa ya pongezi nay wamitego "Mbunge wetu na Rais wa kitaa kiasi 
 Tsh. 11,375,000/=  kutoka mitandao yote na bank account

Tuendelee kuonyesha upendo kwa Nay wetu ✌️ People 

Chapaa REPOST 1500 Kwa Eshima yake "TUSEME kamanda