#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile
#NIPENI_MAUA_YANGU💐

@roma_mkatoliki

Rapper/Songwriter/Best Hip Hop Artist 2012 and Best Hip Hop Song(MATHEMATICS)2012, ACTIVIST🎤

ID: 586580157

linkhttps://open.spotify.com/album/1D5BKsZR378AEUKkca0Z9K?si=n6TlGIxGQUSDZ1DGXR3xDQ calendar_today21-05-2012 12:19:43

18,18K Tweet

1,2M Takipçi

155 Takip Edilen

#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Salvado 🇺🇬 jokes zake on stage anaandika sana content za politics na issue za gavoo yao……the same as na Omondi 🇰🇪 Nawish maskani atokee standup comedian awe anapita na content za politics lakini aziandike in a smart way katika namna ambayo haitawakwaza watawala…..ili awe

#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

454$ Si Haba!! Na Huku Street Ukipata Pesa Kula Raha/ Hatupendi Washa Hivyo Vijiti Ila Ni Stress Ya Mtaa/ Kidogo Chetu Katubariki Asante Jaaah…..

454$  Si Haba!!

Na Huku Street Ukipata Pesa Kula Raha/

Hatupendi Washa Hivyo Vijiti Ila Ni Stress Ya Mtaa/

Kidogo Chetu Katubariki Asante Jaaah…..
#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Mimi mtu anayethamini maendeleo ya vitu kuliko uhai wa mtu……sikubaliani naye hata kidogo. Kama unajenga mabarabara, madaraja, unaleta SGR, unanunua mandege etc. Lakini kuna watu wanauliwa bila hatia katika ardhi yako…… Sasa unataka hizo ndege apande nani? Huku 🇺🇸 wenzetu

#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Leo Ni Siku Ya 28 Mchizi Wangu #Deus Hatujui Uko Wapi, Hatujui Uko Hai Au Haupo, Hatujui Unapitia Mateso Kiasi Gani Muda Huu!! Nimewahi Kutekwa Siku 3, Nikikumbuka Mateso Tuliyopitia Ndani Ya Hizo Siku 3, Na-imagine Hizi Siku 28 Utakuwa Kwenye Hali Gani!! Familia Yako Inapitia

Leo Ni Siku Ya 28 Mchizi Wangu #Deus Hatujui Uko Wapi, Hatujui Uko Hai Au Haupo, Hatujui Unapitia Mateso Kiasi Gani Muda Huu!!

Nimewahi Kutekwa Siku 3, Nikikumbuka Mateso Tuliyopitia Ndani Ya Hizo Siku 3, Na-imagine Hizi Siku 28 Utakuwa Kwenye Hali Gani!! 

Familia Yako Inapitia
#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Dodoma ndio sehemu ilipaswa kuwa na amani na usalama mkubwa coz gavoo yote iko pale…..ila ndio kila kukicha mauaji ya kutisha!! Au wauaji ndio wanaishi huko!?🤔

#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Yaani ikijengwa miundo mbinu (barabara,reli,kununua ndege) sifa na pongezi anapewa Presidaah Na Gavoo, ingawaje hizo ni pesa za wapiga kura…hawalioni hilo wao wanampongeza mshindi wa kura. na wanaona ni sahihi!! Haya sawa ✅✅✅ nakubali.🙏 Sasa kwanini yakitokea

#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Ilipaswa ukimaliza kusikiliza speech useme AFADHALI ANGALAU SASA NINA AMANI NA MATUMAINI!!🙏 Ila hii speech ukimaliza kuisikiliza unajikuta unasema SIKU WAKINIDAKA NAMIMI NIMEISHA!!🥹

#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Sema mwanetu anapaisha sana Gozi!! Unaanzaje kubishana na mabinti!!🤔 Juzi Rosa Ree……Leo Diva!! Ndio kahamia huko? Its weird ujue

#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Imagine tumefikia hatua mtu anakamatwa na polisi tunafurahia na kushukuru Mungu kumuona anapelekwa kituoni na mamlaka zinakiri wako naye!! 🙏 Yaani tumezoeshwa magimbi kiasi kwamba leo wanatupa mihogo ya kuchemsha tunaona Waaaooh Afadhali🙏