Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile
Samia Suluhu

@suluhusamia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. President of the United Republic of Tanzania

ID: 2652554565

calendar_today29-06-2014 07:42:17

1,1K Tweet

1,6M Takipçi

26 Takip Edilen

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Mapema leo katika Shule ya Polisi Tanzania, Moshi mkoani Kilimanjaro niliposhiriki Mkutano Mkuu wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi kwa Mwaka 2024 na Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Jeshi letu limepiga hatua kubwa katika